Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

1.kukujib swal la kwanza,..ndio ana councious kamil kabsa ila ni wel developed,imagine the councious iliyopo everywea.councios iliyo vunja laws of matter.(hop unazijua laws of matter)..kwasabab huwez tengneza kitu usichokijua maana yake,iwapo bnadam ana councious je ambae created him itakuaje. 2.chanzo chake ni swali gum ambalo halina jibu,..na ndomana hata maandiko meng ya wanadam yameshindwa,kwa akili yangu ndogo hili jib limeshindikana,nikiweza jib hil bas namim ntakua Mungu.3.lengo la uumbaji ni lengo binafsi la any councious,hata wew kuna vitu unaweza amka tuu asubuh ukaanza vifanya,ni moja ya projects zake mwenyew binafsi na uwezo wake,kama wew unaeza amka asubuh ukasema,wel kwa nafas yangu ya kiuchumi n elim yangu let me make labda viatu vya ngoz or chuma,wateva,u do wat u like..so its a project.4.ushahid,ni kwamba,kuna pande mbili za mifumo ulimwenguni,mfumo hai na mfumo usio hai.jinsi mifumo ambayo sio hai creation zake mara nying hua random,yan mfumo unaojitengeneza ambao hau involve any councios ya being mingi hua inakua random,ila,mifumo ambayo hua inakua created na councious hua ina create vitu vyenye mifumo systematic,sasa ukiangalia,mifumo ya ulimwengu yote ni systematic,kuanzia sayar kuzunguka nyota,au mwili wa binadam ni ushahid tosha ,kwa madaktar watathibitisha haya,na kwa wanasayans ya atomic watathibitisha haya,so hili linatupa mwangaza kua kuna a councious ambayo ina lead haya yote.jinsi viumbe hai vnavyotegemeana ,etc ni vtu complex kwakwel.5.wanasayansi hufanya mambo kwa ku reason na pia,hutumia laws of nature kutafsiri maswala mbalimbali,kutokana na the great creator kuumba ulimwengu kwa kutumia sayansi basi kuna baadhi ya mantiki hua wanazi discuss,halaf wanasayans weng sio kwamba hukataa kua creator or the initiator of all hayuko,hukubali hili,ndomana hata einstein mwanasayans namba moja alikubali,..wasichokubal ni stori hizi zilizopo ambazo znalengo la kushape watu kwenye mlengo fulani,na reasoning ya watu wa religion hua very cheap yan mtu mwenye akili zake akiskia hua anaona ni kama hamna kitu or ni pumba ndomana hua hawatak kujishugulisha,
Big up kwa uchambuz murua mkuu..ila mm nna swali moja..sisi binadamu tukifa huenda wap? Mwil huoza,je nafsi zetu huish wap? Nafs inaweza fahamu kuwa mwili haupo?
 
Fear ndio kitu pekee kina fanya watu waabudu vitu vya kubuni.
Unakuta kitabu kinasema utachomwa moto blah blah blah...
Vitisho kibao.
 
basi, mpende shetani kwa akili zako zote, kwa moyo wako wote na kwa nguvu zako zote... mwisho kiama ni chako mkuu
 
Big up kwa uchambuz murua mkuu..ila mm nna swali moja..sisi binadamu tukifa huenda wap? Mwil huoza,je nafsi zetu huish wap? Nafs inaweza fahamu kuwa mwili haupo?
Yeye who created you ndio anajua ukifa unaenda wapi,kuna ukuta mkubwa saana uliopo btn pale kiumbe kinapoloose energy na kufa na kiumbe kilicho hai,..je ushawai kukumbuka au niseme ubongo wako unaweza kumbuka pind ulipokua tumbon kwa mama,hyo ndo siri iliyofichwa na the creator,..tuachane na stor za kwenye vitab tunavoita vitakatifu ambazo aliandika binadam,vina ukwel pia mchache na vina speculation nyiing ..the creator is too huge for such stories..ila nachoamini ni kua energy hua inakua transformed frm one form to another,so hata counscious/Nafsi pia..kwa great invention hii sidhan kama nafsi dies,..ndomana ukilala usingiz,huendelea kuota na kupata images,ni same thing,i think wen u die,the conscious remains perhaps ,inaona yote yanayoendelea,.ila inakoenda siwez kua na majib kamil sjui inaenda wap..hapo ndo upeo wa bnadam unapoishia..ndomana weng huja na speculations kua unaenda huku mara huku,ila the true creator sidhan kama amefunua haya..usi refer kwenye vitab vitakatifu,coz wao waliishia kujiuliza maswal kama haya so wakaona ok lets say kuna kitu hik na hik
 
Tafuta mwalimu mzuri wa dini (ya kikristo) akueleweshe vizuri mambo ya fuatayo utajua ukweli na kuishi vizuri kwa amani bila ya kuwa na maswali hayo hapo juu kuhusu Mungu.

1.kwa nini Mungu aliumba dunia
2.Kwa nini Mungu alimuumba mwanadamu
4.Kwanini Mungu ametuacha tunateseka (magonjwa, njaa, vita, umasikini na hata kifo)
3.utawala wa shetani
4.Utawala wa Mungu
5.Kuhusu kifo, wafu na dhana ya ziwa la moto au jehanamu

Kwa hakika ukiyajua hayo na kuyaelewa Utazidi kumpenda Mungu naye atakuonesha njia ya kupita ukiwa hapa duniani.
 
Huu uzi utafika mahal watu watatoleana matusi,jaman mnaoamin mungu yupo msibishane na hawa wasiaf wanaomfuata lucifer,jibu kubwa na lamaana ni kukaa kimya kutokujib kitu
Hamuwezi kujibu kwa sababu Mungu hayupo. Majibu yenu yanakosa logic.
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.

So im just keeping it real.
Mtoa mada kama bado unapumua....huja chelewa, Yeye ni mwingi wa rehema atakusamehe.
 
Mtoa mada ndani ya siku chache utakufa. Tafuta mtu wako karibu aje atupe TANZIA yako. Usimjaribu Bwana Mungu na Muumba wako. Naona unachokitafuta utakipata tu.
Mungu sio kama mwanadamu uwazavyo wewe sivyo awazavyo yeye, huyu mtoa mada anamatatizo sycological anahitaji matibabu tuu
 
Nenda kalale mkuu km una usngzi.

Unaenjoy sna ukibishana na The QUEEN ee
Kwa mawazo yako mafupi, ikiwa kijijini kwenu ni muda wa kulala, basi dunia nzima ni uda wa kulala.

No wonder unaamini Mungu yupo.

Umekimbia kujibu swali.
 
Back
Top Bottom