Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Kama Mungu wako yupo, ni mjuzibwa yote, muweza yote na ana upendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Nenda page ya 12 alaf ndo uje hapa
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa huu mtiririko wako.Naona umegusa Big Bang na ukapita mulemule, kila ulichosema ni kweli.

Kwa haya maelezo yako, moja kwa moja umepingana na uwepo wa Personal GOD.Mungu anayedhaniwa kujua hadi idadi ya nywele zetu pamoja na kutuona kwenye privacy zetu na kurekodi tuyafanyayo ili siku ya mwisho aje atuulize kwanini tuliyafanya.Ni Mungu ambaye yupo interested sana na maisha ya watu.Huyu Personal God ambaye ndiye Mungu anayehubiriwa na dini zote, kimsingi tunaweza kumwita Mungu mnoko.

Lakini pia naona unaonesha kuamini uwepo wa 'Einsteinian GOD' Mungu ambaye ndiye source na creator wa kila kitu na akishaumba hana haja ya kuja kudili na viumbe vyake tena. Sasa nina maswali machache juu ya huyo 'Mungu wako'.

1.Je ni Mungu mwenye consciousness? yaani anajua kwamba sasa hivi naumba kitu fulani na kwa ajili ya jambo fulani?
2.Je ni nini chanzo cha huyo Mungu?

3.Nini lengo la huu uumbaji wake?

4.Kuna ushahidi gani wa uwepo wa huyo Mungu?

5.Huoni kwamba idea ya uwepo wa The Creator ni maelezo ya wanasayansi waliyoyatengeneza kwenye fikra zao ili iwe kama jibu pindi waulizwapo nini chanzo cha universe? Mimi nadhani kusema kwamba kuna The Creator ni alternative scientific answer ya swali linalouliza nini chanzo cha ulimwengu baada ya lile jibu la 'mythological Personal God' kutoku-appeal kwenye akili za scientists?
1.kukujib swal la kwanza,..ndio ana councious kamil kabsa ila ni wel developed,imagine the councious iliyopo everywea.councios iliyo vunja laws of matter.(hop unazijua laws of matter)..kwasabab huwez tengneza kitu usichokijua maana yake,iwapo bnadam ana councious je ambae created him itakuaje. 2.chanzo chake ni swali gum ambalo halina jibu,..na ndomana hata maandiko meng ya wanadam yameshindwa,kwa akili yangu ndogo hili jib limeshindikana,nikiweza jib hil bas namim ntakua Mungu.3.lengo la uumbaji ni lengo binafsi la any councious,hata wew kuna vitu unaweza amka tuu asubuh ukaanza vifanya,ni moja ya projects zake mwenyew binafsi na uwezo wake,kama wew unaeza amka asubuh ukasema,wel kwa nafas yangu ya kiuchumi n elim yangu let me make labda viatu vya ngoz or chuma,wateva,u do wat u like..so its a project.4.ushahid,ni kwamba,kuna pande mbili za mifumo ulimwenguni,mfumo hai na mfumo usio hai.jinsi mifumo ambayo sio hai creation zake mara nying hua random,yan mfumo unaojitengeneza ambao hau involve any councios ya being mingi hua inakua random,ila,mifumo ambayo hua inakua created na councious hua ina create vitu vyenye mifumo systematic,sasa ukiangalia,mifumo ya ulimwengu yote ni systematic,kuanzia sayar kuzunguka nyota,au mwili wa binadam ni ushahid tosha ,kwa madaktar watathibitisha haya,na kwa wanasayans ya atomic watathibitisha haya,so hili linatupa mwangaza kua kuna a councious ambayo ina lead haya yote.jinsi viumbe hai vnavyotegemeana ,etc ni vtu complex kwakwel.5.wanasayansi hufanya mambo kwa ku reason na pia,hutumia laws of nature kutafsiri maswala mbalimbali,kutokana na the great creator kuumba ulimwengu kwa kutumia sayansi basi kuna baadhi ya mantiki hua wanazi discuss,halaf wanasayans weng sio kwamba hukataa kua creator or the initiator of all hayuko,hukubali hili,ndomana hata einstein mwanasayans namba moja alikubali,..wasichokubal ni stori hizi zilizopo ambazo znalengo la kushape watu kwenye mlengo fulani,na reasoning ya watu wa religion hua very cheap yan mtu mwenye akili zake akiskia hua anaona ni kama hamna kitu or ni pumba ndomana hua hawatak kujishugulisha,
 
1)mungu katuumba na kutuleta dunian tumtii na kufata maarisho yake na sio kufanya maasi kama alivyoyakataza.na aliahidi waovu wote makazi yao ni motoni.

2)shetani kikawaida yupo kwaajil ya kupotosha watu,mfn(ww afanyapo kosa sasa ivi usimlaumu mzaz lile kosa litahesaba ni lako na utahukumiwa ni ww)ndivo ilivo kwa adam wao walijua fika shetan ni mtu wa vishawish na he is exist,lkn shetan aliwazid akili ,kwaio kosa hapo si la alietuumba bali lihesabike kwa alielitenda.

3)Tunamtumikia mungu kwasaabu yy ndie alietuumba na kutupa pumzi ambayo leo hii tunaipumulia,tunakula na kutembea juu ya mgongo wa ardhi yake bila malipo yyt.
Iweje usifate amri zake ,tunafata amri zake kwani mafundisho yake siku zote yanafaida kubwa kwetu na makatazo yake ukiyachunguza basi jua yanamadhara makubwa mno kwetu.Pia tunamtii aliahid wote watakaomfuata maarisho yake na kumtii basi makazi yetu ninpeponi na si moton.

4)kama kuchoma moto ni his nature iweje mpk leo hii uko hai ww,kwanini hajakuangamiza mpk dakika hii ambapo kabla hukuandika thread ungekikua ushaangamizwa,hana ukatili uo kwani yy ndie aliekuumba na kukuwacha uwe hai mpk dakika hii hapa upo hapa jf.

5)hawez kamwe kukujib faceface kama ww ni nani kwa mfano.
Kumbuka sisi wanaadam wote tuko ktk majarbu hapa dunian,tukifanyacho ndicho tukijengacho huko akhera,
Ww unapokua chumba cha mtihani unaenda ww kama ww pale ndo inatizamwa akili yako kama utavurunda au utajenga ndipo sasa tulipo,tupo duniani tunaishi ishi tu majibu tunayo wenyew,sasa ni upto u.
mwisho wa siku mtihani wako uliopewa dunian kuujaza utahesabiwa na utalipwa kwa ulichokichuma.

6)dunia ni nzuri ila watu ndo waovu,umechoka kuishi usimlaumu aliekuumba umeletwa in exam fanya kilichokuleta ukivuruga ni ww ukijenga pia ni ww,kila mtu atakufa pekeake kama ulivokuja dunian pekeako ndivo utavoondoka.

Post hii haijajibu swali hili.

Kama Mungu yupo, ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, na upendo wote, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?

Swali hili halijajibiwa.
 
Nyote mnaokataa dini kua hamna mungu manake hamuna dini na hio humaanisha mnamuabudu shetani lucifer si ndio,ok ol the best waabudu mashetani.
Uyouyo shetani ndie atakaekuja kukukana siku ambayo tarumneta litapigwa na wanaadam wote kukusanyika kupokea amali zao
 
Still Mungu anatupenda na mawazo yake ni zaidi yetu, alalapo mtu sisi hubaki tunalia japo yeye anajua zaidi kwa nini mtu fulani alale kwa wakati fulani. Kuna raha gani duniani isababishe sisi kumlalamikia Mungu alalapo mtu? Siku zote twaomba Baba mapenzi yako yatimizwe, kwa nini yakitimizwa tunalalamika? Mungu akujalie kumfahamu zaidi japo naona kwa maswali yako, unamfahamu vizuri tu, sasa baki njia kuu ya kumuamini.
 
Nyote mnaokataa dini kua hamna mungu manake hamuna dini na hio humaanisha mnamuabudu shetani lucifer si ndio,ok ol the best waabudu mashetani.
Uyouyo shetani ndie atakaekuja kukukana siku ambayo tarumneta litapigwa na wanaadam wote kukusanyika kupokea amali zao
Mimi sikubali kuwepo kwa Mungu.

Mnaoamini dini mmefundisha shetani alitoka kwa Mungu. Aliasi.

Maana yakeni kwamba, mimi ambaye siamini kuwepo kwa Mungu siwezi kuamini kuwepokwa shetani huyo.

Kwa sababu, inabidi uamini Mungu yupo ili uamini shetani yupo.

Kwa hiyo habari yako ya kulundika wasioamini Mungu kwamba wanaamini shetani inakosa logic.

Actually, wanaoamini kuwepo kwa Mungu wanamuamini shetani kuliko mimi.

Kwa sababu wanaoamini Mungu wenu huyo yupo, at least wanaamini shetani yupo.

Mimi sikubali kwamba Mungu yupo wala shetani yupo.

Kwa hiyo wewe unayeamini Mungu yupo unamuamini shetani kuliko mimi nisiyekubali kwamba Mungu yupo.
 
Post hii haijajibu swali hili.

Kama Mungu yupo, ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, na upendo wote, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?

Swali hili halijajibiwa.
Learn frm it
 

Attachments

  • _20170509_171127.JPG
    _20170509_171127.JPG
    91.6 KB · Views: 85
Njia za Mungu hazichunguziki, wengi waliojaribu kumchunguza Mungu..the 'Most High' kwa sasa ni vichaa wanaokota makopo mitaani! Watch out!
 
Learn frm it
Hujajibu swali.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.

So im just keeping it real.
Wewe na waliokupa like jiandaeni kuwa mishkaki ya milele yz shetsni!
Tubu!
 
Huwez pata raha kirahis ivo,huwez pata jannah kirahis ivo,lazma ujue kwanza lengo la ww kuwepo duniani
Hujajibu swali.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?
 
Hujajibu swali.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?
Siwez kujib swali moja mara 20,kichwa chako ndani kimestick kias kwamba umekariri hata ukieleshwa huelew
 

Attachments

  • _20170509_171600.JPG
    _20170509_171600.JPG
    126 KB · Views: 59
Siwez kujib swali moja mara 20,kichwa chako ndani kimestick kias kwamba umekariri hata ukieleshwa huelew
Hujajibu hata mara moja, nini ishirini.

Kamaumejibu weka post number hapa.

Hiyopost ya 112 niliyonukuu hapo juu haina jibu la hili swali.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?

Hujajibu swali hili.
 
Hehehe Umenifurahisha unavyotoa estimate ya number of stars na galaxies japo your numbers are innacurate.

Turudi kwenye the main question, kwa nini unahisi ulivyotaja vyote hapo vina prove kua mungu yupo? Uwepo wa galaxies haupo related na mungu, science told you so na ukameza, we dini ulimezeshwa toka unakua ukameza, sikushangai hata mimi nilizaliwa kwa familia ya kikristo tena walio deep sana nikamezeshwa mambo for 20years naenda church every sunday. I'm out of that bubble now.

Njoo na real arguments za kuprove uwepo wa mungu sio kusema kua yupo ameumba hiki na hiki kwa hiyo hatuwezi kumuelewa, hehehe wtf! Sasa umeelewaje kua yeye ndiye aliumba?

Unasema njia pekee ni kuamini? Hehe ukiamini ndiyo unajua kua yupo? Niliamini 20years mbona sikujua ka yupo, wala kumuona wala kumsikia, we ukiamini binadamu anapaa na wewe utapaa? Please stop childish arguments.
Well,ungekuja na number zako accurate.But my numbers are accurate or approximate according to latest science articles.
Back to the topic,Kama unaona nlichoandika Ni childish ngoja nkusaidie kufikiri. Nilichokuwa najaribu kusema Ni kile alichokiongea Plato miaka mingi iliyopita kwamba 'self motion is prior to all motions'.Na hii ndio iliyoleta argument ya the self mover yani Mungu.
Nilitaja ukubwa wa universe ili tujiulize Kama alivyojiuliza plato kwamba motion za sayari na nyota pamoja na viumbe Lazima vina source ya hiyo movement au uhai (being) na hiyo source inabidi iwe un moved.au self moved.Ndiye Mungu aliye yai.
 
Well,ungekuja na number zako accurate.But my numbers are accurate or approximate according to latest science articles.
Back to the topic,Kama unaona nlichoandika Ni childish ngoja nkusaidie kufikiri. Nilichokuwa najaribu kusema Ni kile alichokiongea Plato miaka mingi iliyopita kwamba 'self motion is prior to all motions'.Na hii ndio iliyoleta argument ya the self mover yani Mungu.
Nilitaja ukubwa wa universe ili tujiulize Kama alivyojiuliza plato kwamba motion za sayari na nyota pamoja na viumbe Lazima vina source ya hiyo movement au uhai (being) na hiyo source inabidi iwe un moved.au self moved.Ndiye Mungu aliye yai.

Kama self motion ni possible, Mungu hahitajiki.
 
Back
Top Bottom