Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Inaonekana uko stressed muda huu (point yako ya sita) as if kuna jambo baya umefanya,linakuumiza,unalijutia

Kama iko hivyo kweli ni heri ukatubu kwa imani yako na kuamini sisi binadamu hakuna mkamilifu,wote tunamkosea Mungu

Kwa imani yangu nafahamu Mungu ni pendo na huwa hakusudii baya lolote litutokee
Sasa kama humpendi yeye manake hata ndani yako hakuna upendo

USHAURI
Usipende kumuongelea Mungu kiboya boya kama unawongelea wachumba zako huko

Hayo maswali # 1,2&3 nimeshindwa kuyajibu kwasababu sipo into dini kabisa
Jamaa yuko stressed indeed.
 
Pole mambo yakiharibika mawazo kama hayo huja kwa sana tu ila yatapita na Mungu atakusaidia
 
Mtoa mada ndani ya siku chache utakufa. Tafuta mtu wako karibu aje atupe TANZIA yako. Usimjaribu Bwana Mungu na Muumba wako. Naona unachokitafuta utakipata tu.
kwamba kufa ni adhabu, hata wewe utakufa bila ya kufanya jambo la kumjaribu muumba.

acha kutishia watu kifo,maana hata akifa hakuna atakalo kuwa anajua
 
Mada kama hizi zingekuwa zinafutwa na mods haraka ingekuwa poa kuliko wanavyokimbilia haraka kufuta mada zinazouliza mtoto wa pili wa frola mbasha amezaa nani.mods hizi sio mada za kujadiliwa kwa maoni yangu.
 
Mungu yupo.Na njia pekee Ni kuamini.Unapoanza kutumia akili yako kung'amua kila kitu it turns to be a paranoid.Because we just can't explain God.Its beyond human intelligence.

Hatuwezi tukazungumzia intelligence iliyotuumba,hatuwezi tukamjadili Mungu Kama specimen.Mungu aliyeumba the universe.Universe Ina Kama galaxies trillion mbili! ambazo technology ya mwanadamu inaweza ikaona,ziko zaidi.Na galaxy yetu Ina mpaka nyota billion 400 na zaidi labda,na Kama sayari billion 100.Galaxy yetu Ina mpaka solar systems 500 na zaidi zinagundulika.

Sisi binadamu kwenye solar system yetu yenye sayari nane na satellites au miezi Kama 150 hivi na nyota moja(jua)…tunathubutu kusema Mungu hayupo?

Hehehe Umenifurahisha unavyotoa estimate ya number of stars na galaxies japo your numbers are innacurate.

Turudi kwenye the main question, kwa nini unahisi ulivyotaja vyote hapo vina prove kua mungu yupo? Uwepo wa galaxies haupo related na mungu, science told you so na ukameza, we dini ulimezeshwa toka unakua ukameza, sikushangai hata mimi nilizaliwa kwa familia ya kikristo tena walio deep sana nikamezeshwa mambo for 20years naenda church every sunday. I'm out of that bubble now.

Njoo na real arguments za kuprove uwepo wa mungu sio kusema kua yupo ameumba hiki na hiki kwa hiyo hatuwezi kumuelewa, hehehe wtf! Sasa umeelewaje kua yeye ndiye aliumba?

Unasema njia pekee ni kuamini? Hehe ukiamini ndiyo unajua kua yupo? Niliamini 20years mbona sikujua ka yupo, wala kumuona wala kumsikia, we ukiamini binadamu anapaa na wewe utapaa? Please stop childish arguments.
 
Mmmmmmmh mwanawane ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,unatisha ila kwa majabu yake Mungu kwa huruma zake unaweza shangaa hakufanyi chochote na Siku moja ukawa mchungaji
 
Mkuu inaonekana unajuta sana,ila hujawa wazi unajuta kwa tukio gani. Ila nafuu yako umeona hasira uzielekezee kwa Almighty
 
Mkuu inaonekana unajuta sana,ila hujawa wazi unajuta kwa tukio gani. Ila nafuu yako umeona hasira uzielekezee kwa Almighty

In general najuta kuwa hapa duniani, ingawa starehe zipo na tunazifanya, lakini dunia sio sehemu nzuri ya kuishi, kuna njaa, vita, magonjwa etc.. Analyse
 
Mmmmmmmh mwanawane ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,unatisha ila kwa majabu yake Mungu kwa huruma zake unaweza shangaa hakufanyi chochote na Siku moja ukawa mchungaji

Hayo ni maswali ninayojiuliza kuhusu Mungu. Inawezekana nikawa mchungaji huko mbeleni. Mungu ndo anaejua nikasale
 
In general najuta kuwa hapa duniani, ingawa starehe zipo na tunazifanya, lakini dunia sio sehemu nzuri ya kuishi, kuna njaa, vita, magonjwa etc.. Analyse
Sawa,ila sidhani njaa au mateso ya wengine yanakusababisha ww ujute.

Inawezekana tunaguswa na matatizo ya wengine,pia yanatuumiza sana. Ila mpaka kufikia kujuta kuwepo duniani,basi kuna kitu kitakuwa kimemfika.

Hii ni JF mkuu,weka tatizo mezani tukupe faraja na michango ya kimawazo.
 
Viroba vya kwenye madumu ni hatari sana, bora waache vile vidogovidogo.
 
Hadi unafikia hatua ya kuandika yeye anayajua mawazo yako lakini kwa upendo wake maana yeye ni Pendo amekuacha na amekupa muda ili utubu, Kuhusu Jehanam na kuchomwa ni issue simple kama Mimi nataka kuchoma shati ulilovaa ukiamua kulivua hutaungua na huo moto lakini ukiamua kuling'ang'ania mwilini mwako lazima na wewe uungue, hivyo shati ni mfano wa dhambi Mungu anataka kumteketeza shetani na kuiteteketeza dhambi, hivyo uking'ang'ania dhambi moto utakuhusu na wewe, Chagua kuacha Dhambi, Ubarikiwe unapofikiria kubadilika mtazamo wako
 
Inaonekana uko stressed muda huu (point yako ya sita) as if kuna jambo baya umefanya,linakuumiza,unalijutia

Kama iko hivyo kweli ni heri ukatubu kwa imani yako na kuamini sisi binadamu hakuna mkamilifu,wote tunamkosea Mungu

Kwa imani yangu nafahamu Mungu ni pendo na huwa hakusudii baya lolote litutokee
Sasa kama humpendi yeye manake hata ndani yako hakuna upendo

USHAURI
Usipende kumuongelea Mungu kiboya boya kama unawongelea wachumba zako huko

Hayo maswali # 1,2&3 nimeshindwa kuyajibu kwasababu sipo into dini kabisa
asanter kumweka sawa kama hata soma hizi comment zako nadhani atabadilika kwani mm nimemshangaa sana yaani anamchukia Mungu aisee inastaajabisha uenda huyu ana tatizo la kisaikolojia tena anamwambia Mungu anamchukia kwa kumuumba yeye aisee liko tatizo kama hatatubu dhambi hizo alizofanya jehanamu inamngoja kabisa
 
Mtoa mada ndani ya siku chache utakufa. Tafuta mtu wako karibu aje atupe TANZIA yako. Usimjaribu Bwana Mungu na Muumba wako. Naona unachokitafuta utakipata tu.
Mungu hana akili kama zako, yaani kwa bandiko hilo tu amuue (Nooooo) kitu bora kabisa kwa Mungu ni kuwa anakuacha ufanye yako, uchague kupitia uchaguzi wa kile unachopenda na kufanya but End of All ndo utajua ulipanda nini, kunde ukavuna karanga hama ubuyu ukavuba mchicha..!!
 
Mpende sana shetani wala usimwache, yeye hana double standard, ni mzuri na ana upendo wa dhati kwa watu wake
hahahahaaaaaaaaaaaaaaa aisee Bujibuji umenifanya nicheke hapa ingawa sikutaka kucheka kabisa kwanini usimwambie ajichunguze nafsini mwake maana alichokiandika pale ndicho kimtokacho na anacho kinachomuuza hawezi kusema anamchukia yule aliyemuumba kwa upendo
 
asanter kumweka sawa kama hata soma hizi comment zako nadhani atabadilika kwani mm nimemshangaa sana yaani anamchukia Mungu aisee inastaajabisha uenda huyu ana tatizo la kisaikolojia tena anamwambia Mungu anamchukia kwa kumuumba yeye aisee liko tatizo kama hatatubu dhambi hizo alizofanya jehanamu inamngoja kabisa

Wewe kwa matendo uliyo nayo jehanamu haikungoji? Au unakula raha za dunia hlf unapanga utubu ukiwa on your death bed? Do u think mambo unayofanya na mawazo unayowaza yanaakisi kumpenda Mungu toka moyoni? ladyfurahia
 
Back
Top Bottom