Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Yote hayathibitishi kwamba Mungu yupo.

Na zaidi, yanaonyesha Mungu hayupo.

Chukulia kifo. Kinaonyesha Mungu hayupo.

Haiyumkiniki Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aruhusu kifo kitenganishe viumbe wake wanaopendana na anaowapenda.

Kuwepo kwa kifo kunaonyesha Mungu huyo hayupo.

Habari nyingine ni hadithi tu.
Hhmm!! mbn ilo jina lako haliendani na unayozungumza,mwanzo nlivoona jina lako nlikuona wa maana kumbe na ww ndo wakina nanilii
 
Hhmm!! mbn ilo jina lako haliendani na unayozungumza,mwanzo nlivoona jina lako nlikuona wa maana kumbe na ww ndo wakina nanilii
Jina langu maana yake nini?

Mwanzo uliniona wa maana kwa kuangalia jina tu? Huoni haya kusema hivyo? Yani uko so biased kiasi unamuona mtu wa maana kwa kuangalia jina tu?

Hujajibu maswali ya hoja, unajianika ujinga wako tu wa kumuona mtu wa maana kwa kuangalia jina.

Unaweza kuthibitisha Mungu wako yupo?
 
Hahaha ,sina haja ya kubishsana na ww mpk hapo ulipofikia,kauli zako na jina lko vitu viwil tofaut,all the best
 
Jina langu maana yake nini?

Mwanzo uliniona wa maana kwa kuangalia jina tu? Huoni haya kusema hivyo? Yani uko so biased kiasi unamuona mtu wa maana kwa kuangalia jina tu?

Hujajibu maswali ya hoja, unajianika ujinga wako tu wa kumuona mtu wa maana kwa kuangalia jina.

Unaweza kuthibitisha Mungu wako yupo?
Hoja nilishajib kasome previous posts plz
 
Unajua maana ya mabishano ww??u seem stressed kapate tiba mbadala mkuu
Ukiona kama niko stressed hiyo nibishara kwamba Mungu wako hayupo.

Mungu wako angekuwepo usingeona mtu ambaye hayuko stressed yuko sressed.

Unaweza kuthibitisha kwamba Mungu wako yupo?
 
Hakuna kiumbe kinaitwa Mungu wala Shetani,hizo ni mbwembwe za matapeli.
 
Ukiona kama niko stressed hiyo nibishara kwamba Mungu wako hayupo.

Mungu wako angekuwepo usingeona mtu ambaye hayuko stressed yuko sressed.

Unaweza kuthibitisha kwamba Mungu wako yupo?
Kuamin kua mungu yupo na kituliza iman yko hakika usingelikua na stress ila inaonekana uovu kwako umepitiliza kias kwamba huna raha na maisha yko ww mwnyw
 
Kuamin kua mungu yupo na kituliza iman yko hakika usingelikua na stress ila inaonekana uovu kwako umepitiliza kias kwamba huna raha na maisha yko ww mwnyw
Unaweza kuthibitisha kwamba Mungu wako yupo?
 
Nishathibitisha acha ukilaza nkujibu mara ngapi ww,ndo mana nkakwambia kasome previous post niliijib kwa urefu
Umethibitisha wapi? Vipi? Onyesha hapa.

Wewe hata hujielewi.

Mara hutaki kubishana nami.

Mara you are all over me.

Mungu wako angekuwepo angekupa angalau akili.
 
Umethibitisha wapi? Vipi? Onyesha hapa.

Wewe hata hujielewi.

Mara hutaki kubishana nami.

Mara you are all over me.

Mungu wako angekuwepo angekupa angalau akili.
Rudia posts za nyuma uvivu na upunguf wa imani umekujaa..

Alaf ninawaswas ww ni miongon mwa wafuas wa lucifer u r among the illuminators ,pole sana
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.

So im just keeping it real.
Mwenzetu viroba unavipata wapi mbona sisi wengine hatuvioni?
 
Rudia posts za nyuma uvivu na upunguf wa imani umekujaa..

Alaf ninawaswas ww ni miongon mwa wafuas wa lucifer u r among the illuminators ,pole sana
Kama Mungu wako yupo, ni mjuzibwa yote, muweza yote na ana upendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Back
Top Bottom