Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.

So im just keeping it real.
Sasa embu jiulize amekuacha hadi sasa umuongelee vibaya tena kwa uhuru wako wote...............huoni ni kwa namna gani anakupenda? Usimtanie Mungu hata kwa fikra zako
 
naona bangi imebanguliwa kwako haya endelea na hamisini zako mwaya
 
Mungu hana akili kama zako, yaani kwa bandiko hilo tu amuue (Nooooo) kitu bora kabisa kwa Mungu ni kuwa anakuacha ufanye yako, uchague kupitia uchaguzi wa kile unachopenda na kufanya but End of All ndo utajua ulipanda nini, kunde ukavuna karanga hama ubuyu ukavuba mchicha..!!
kaona aniquote mm kwako naona kashindwa kukuquote
 
Haya Pole Ndugu Yetu Kwa yanayokukuta Dunia Haina Huruma Jifunze Kutafuta Amani Ya Moyo itakusaidia Kubadilisha Mawazo Na Fikra Zako Mungu Bado Anakupenda Yeye ndiye Pekee Anayekulipa Ijara Njema
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaaa aisee Bujibuji umenifanya nicheke hapa ingawa sikutaka kucheka kabisa kwanini usimwambie ajichunguze nafsini mwake maana alichokiandika pale ndicho kimtokacho na anacho kinachomuuza hawezi kusema anamchukia yule aliyemuumba kwa upendo
Wokovu ni neema, atakutana na Mungu kwa wakati wake, sio kila mtu anatakiwa kushuhudiwa
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.

So im just keeping it real.
Pamoja na mawazo yako bado ukitubia kwa Mungu ni,wa rehema atakuhrumia tu,Mungu atabaki kuwa Mungu tu,,
 
Hata shetani aloambiwa atakwenda motoni hakuuliza hayo na wala hamchukii muumba wake. Na mbele ya haki pia atakukana shetani kwa dhambi yako hii. Kifupi huna ujanja ukichukia usichukie ushaumbwa utahukumiwa kwa yako .tubu mapema usiwe kama shetani alokataa kutubu
 
Mungu hana akili kama zako, yaani kwa bandiko hilo tu amuue (Nooooo) kitu bora kabisa kwa Mungu ni kuwa anakuacha ufanye yako, uchague kupitia uchaguzi wa kile unachopenda na kufanya but End of All ndo utajua ulipanda nini, kunde ukavuna karanga hama ubuyu ukavuba mchicha..!!

Uchaguzi wetu binadamu mara nyingi (kama sio zote) unakuwa influenced na shetani, shetani ambae ameruhusiwa na Mungu ili atujaribu na kutuendesha sisi wanadamu (according to the bible Mungu hamjaribu mtu yoyote).

Ni kweli Mungu hana akili kama za kwangu ama za binadamu yoyote, na nimeshaongea hayo kwenye hii thread nlioandika, ndo maana nkasema maybe kututupa binadamu motoni is the best decision he could come up with and it's His nature. There is nothing we can do about it. TODAYS
 
Mungu hakumuumba Mwanadamu na lengo la kumuangamiza.
Baada ya sisi wanadamu kuruhusu dhambi iingie kwenye nafsi yetu, yatubidi tufe ili hiyo dhambi iondokane nasi, ila kifo chenyewe ndio kile ambacho ukifa ndo kile kifo cha milele
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.

So im just keeping it real.
 
Okoyoko hapo ulipo geuka nyuma haraka utamwona Mungu anataka kuzungumza nawe
 
Asa mtu ukifa unaenda wap? Je unajijua kuwa umekufa? Na je,unajijua kuwa uliwah ishi dunian? Maswali ni meng mno
Yote hayathibitishi kwamba Mungu yupo.

Na zaidi, yanaonyesha Mungu hayupo.

Chukulia kifo. Kinaonyesha Mungu hayupo.

Haiyumkiniki Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aruhusu kifo kitenganishe viumbe wake wanaopendana na anaowapenda.

Kuwepo kwa kifo kunaonyesha Mungu huyo hayupo.

Habari nyingine ni hadithi tu.
 
Mungu hakumuumba Mwanadamu na lengo la kumuangamiza.
Baada ya sisi wanadamu kuruhusu dhambi iingie kwenye nafsi yetu, yatubidi tufe ili hiyo dhambi iondokane nasi, ila kifo chenyewe ndio kile ambacho ukifa ndo kile kifo cha milele

Jibu lako limetokana na mtazamo wa kibiblia.

Ngoja nikupe mfano:
Kulikuwa na watu wawili, mtu wa kwanza alinunua nguo nzuri aliyoipenda na wakati anaiununua kiukweli kabisa hakuwa na lengo la kuitupa na kuichoma, ila baadae baada ya kuivaa hiyo nguo na kuona nguo ilikuwa mbaya in the end aliamua kutupa na kuuchoma hiyo nguo.

Mtu wa pilli alipewa nguo na mtu asiempenda, aliichukia sana hiyo nguo na bila hata kuivaa hiyo nguo huyo mtu alienda kutupa na kuchoma hiyo nguo.

Kuna tofauti ganii kati ya hao watu wawili? Si wote waliishia kutupa na kuchoma moto hizo nguo? Root
 
hatakufa kwa sababu anania ya kujifunza, Mungu atampa upeo ili ajue moyo wake utakacho, Mungu anawapenda watu wanaofikiri na kujaribu kumuwazia yeye na kwa hao hujitokeza na kuwafundisha maana wanao moyo wa kutafuta maarifa
Bora hata wewe umejibu kwa busara bila kujitia dhambi.

Wengine wana comment kutetea uwepo wa Mungu huku wakimhukumu hapohapo mwenzao bila kutambua kuwa kuhukumu ni dhambi pia.

[HASHTAG]#accordingtoBible[/HASHTAG]
 
1.kukujib swal la kwanza,..ndio ana councious kamil kabsa ila ni wel developed,imagine the councious iliyopo everywea.councios iliyo vunja laws of matter.(hop unazijua laws of matter)..kwasabab huwez tengneza kitu usichokijua maana yake,iwapo bnadam ana councious je ambae created him itakuaje.2.chanzo chake ni swali gum ambalo halina jibu,..na ndomana hata maandiko meng ya wanadam yameshindwa,kwa akili yangu ndogo hili jib limeshindikana,nikiweza jib hil bas namim ntakua Mungu.3.lengo la uumbaji ni lengo binafsi la any councious,hata wew kuna vitu unaweza amka tuu asubuh ukaanza vifanya,ni moja ya projects zake mwenyew binafsi na uwezo wake,kama wew unaeza amka asubuh ukasema,wel kwa nafas yangu ya kiuchumi n elim yangu let me make labda viatu vya ngoz or chuma,wateva,u do wat u like..so its a project.4.ushahid,ni kwamba,kuna pande mbili za mifumo ulimwenguni,mfumo hai na mfumo usio hai.jinsi mifumo ambayo sio hai creation zake mara nying hua random,yan mfumo unaojitengeneza ambao hau involve any councios ya being mingi hua inakua random,ila,mifumo ambayo hua inakua created na councious hua ina create vitu vyenye mifumo systematic,sasa ukiangalia,mifumo ya ulimwengu yote ni systematic,kuanzia sayar kuzunguka nyota,au mwili wa binadam ni ushahid tosha ,kwa madaktar watathibitisha haya,na kwa wanasayans ya atomic watathibitisha haya,so hili linatupa mwangaza kua kuna a councious ambayo ina lead haya yote.jinsi viumbe hai vnavyotegemeana ,etc ni vtu complex kwakwel.5.wanasayansi hufanya mambo kwa ku reason na pia,hutumia laws of nature kutafsiri maswala mbalimbali,kutokana na the great creator kuumba ulimwengu kwa kutumia sayansi basi kuna baadhi ya mantiki hua wanazi discuss,halaf wanasayans weng sio kwamba hukataa kua creator or the initiator of all hayuko,hukubali hili,ndomana hata einstein mwanasayans namba moja alikubali,..wasichokubal ni stori hizi zilizopo ambazo znalengo la kushape watu kwenye mlengo fulani,na reasoning ya watu wa religion hua very cheap yan mtu mwenye akili zake akiskia hua anaona ni kama hamna kitu or ni pumba ndomana hua hawatak kujishugulisha,
 
Back
Top Bottom