Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,544
- 3,001
Ngapi huko
Its an handcap
A half either win option favorite
Its an handcap
A half either win option favorite
Baba mzeee uncle hapn nilimmuambia hvyo ingawa mam ake alikuwa Kam hapendi mtoto wake aniite hvyoKwa hiyo dogo alikuwa anakuita uncle au baba?
Wanatamani sana kuolewa.Huyu single mother wangu namuonea huruma sana mana sina plan kabisa ya kumuoa japo ana mbususu tamu sana sana yani
Hapo sawa.Baba mzeee uncle hapn nilimmuambia hvyo ingawa mam ake alikuwa Kam hapendi mtoto wake aniite hvyo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jamaa atapindua meza na come back yakibabeFt 4-1
Wana huruma eeh sawa sawa..Habari za wakati huu
Kusema tu ukweli mimi nitaoa single mother, mwanamke mwenye mtoto nikikosa bikira. Kwa sababu;
~ Mtamu sana.
~ Anajua kupenda.
~ Amekomaa kiakili.
~ Wapo makini sana kwenye maisha kwa maana hakuna kigeni kwake kwenye mapenzi.
~ 80% wengi huwa wanakuwa wasafi ndani mpaka nje.
~ Hakunaga kigeni kwao.
~ Wajuzi hawa watu, wana utu na utulivu.
~ Wanahuruma sana.
Mje mniue
Kweli mkuuHivi inakuaje mpaka mtu unafikia hatua ya kuoa mwanamke mtumba wanawake wengi Hawana shukrani tambua hilo hata ukimstiri bado atakuona we ni mshamba na mdhaifu umeacha pisi kali umedondokea
Kwake
Asante mheshimiwa kwa muongozo nadhani mtoa mada alikimbia kwenye kikaoKikao kiliamua "hadi uoneshwe kaburi"
Kwa hii comment fungua uzi kabisaUtakuja upige simu utaambiwa baby sory nimetoka nipo Mkoa fulani huyu mtoto amekuwa akinisumbua sana anasema anataka kumuona baba yake, anasema anaumia shuleni akiona wenzake wanatembelewa na baba zao wazazi, anasema
Kwani huyo mtoto hana baba yake mzazi na baba zake wakubwa na wadogo mpaka wewe ubebe majukumu yao?Tatizo ni yule mtoto. Kuanza tena kulea bao la mtu mwingine ni ngumu sana
Nina hakika wewe ni single mother kabisa!Habari za wakati huu
Kusema tu ukweli mimi nitaoa single mother, mwanamke mwenye mtoto nikikosa bikira. Kwa sababu;
~ Mtamu sana.
~ Anajua kupenda.
~ Amekomaa kiakili.
~ Wapo makini sana kwenye maisha kwa maana hakuna kigeni kwake kwenye mapenzi.
~ 80% wengi huwa wanakuwa wasafi ndani mpaka nje.
~ Hakunaga kigeni kwao.
~ Wajuzi hawa watu, wana utu na utulivu.
~ Wanahuruma sana.
Mje mniue