Sababu za vegetarians kutokula nyama

Sababu za vegetarians kutokula nyama

Evidence inaonyesha kuwa kwa wastani Vegetarians wanaishi miaka kumi zaidi hapa duniani ukilinganisha na wala nyama. Faida za vegetarianism ni nyingi sana. Ila kwa kweli kuiacha nyama ni kazi sana. Binafsi sili nyama siku tatu za wiki, nne zilizosalia nyama kama kawaida tu. Nia yangu ni kuachana na nyama kabisa.
 
Hiyo sababu haina mshiko wala haiwezi kuhold watertight. Wewe nani kakwambia kuwa Miti au Mimea haina uhai? Na mimi Mpenzi wa Miti na Mimea nasema kuwa hewezi kuuwa miti na mimea na kuila kwasababu ya shibe lako. Tafuta kitu kingine ule kwa shibe yako na iache mimea yenye uhai iishi.

Hivyo basi, sababu wanazo tumia vegetarians eti kula Mbuzi Katoliki utakuwa umeua mnyama ni ileile naitumia kwa kusema KULA MAJANI, MIMEA nk UTAKUWA UMEA UHAI WA MAJANI/MIMEA/MITI etc.
ati Mbuzi katoliki ndo Mbuzi gani mkuu Au Yule MWENYE mafuta sanaaaa kwenye nyama yake???
 
Kwa sisi waafrika tunapenda sana nyama, ikitengwa sinia ya wali utaona mikono inaenda kwanza kwenye nyama..
 
Buddhist haifungi mtu suala la ulazima wa kula nyama. Ila kutokula nyama ni part ya Karma cleaning. Kuwa mfuatiliaji mzuri na msomaji mzuri. Other things Google can tell you. Buddha na monks wengi hawali nyama. Nyama tangu traditions inakuaminiwa ni karma mbaya na haikupi enlightment. Sio kila kitu Google. Nipe email kama unataka nikupe PDF ya Maisha na safari za Buddhists.
Gringob1780@gmail.com NA MIMI nitumie mkuu
 
Ni uzi mzuri sana, nimeupenda. Japo nakula nyama, sijisikii vizuri sana na nahisi kuelemea upande wa 'Vegetarian'. Nitajitahidi kutokula nyama kwa kipindi fulani kama mkuu Mshana Jr na Apollo hapo (You have my salute).

Kwa kuongezea ni kwamba, wakati mwingine ni kiasili tu(naturally) from young age mtu anaamua kutokula nyama. See this young girl in this video:
 

Attachments

Acheni wenda wazimu wa kusema kula nyama ni kutesa wanyama katika kuchinja ili upate shibe yako. Kumbuka hata unavyochuma majani, nayo pia yanakuwa yanataka uhai mpaka yatakapokufa yenyewe. Kimsingi kila kilichokuwa hai kinaishi, ndio maana hata kwenye Biblia Takatifu Mambo Ya Walawi 11 imejieleza kiunaga ubaga
 
Je kila kinachoishi kina roho? Kina damu?
 
Dah natamani kujifunza, ila ni mtihani sana kwangu, kuna mwaka nyama ilinikataa kabisa, kila nikila naumwa sana na tumbo na kujikuna,nikila nateseka sana, dah nilitafuta dawa kwa juhudi zote, mpaka zikanikubali, natamani sana kipindi kile ningepotezea!
 
yani leo ukimuu mnyama ukala nyama yake next reincarnation yeye atazaliwa binadamu na wewe mnyama halafu atatenda kama wewe ulivyotenda

Chicken and egg situation

Then the phenomenon will continue and continue
 
Acheni wenda wazimu wa kusema kula nyama ni kutesa wanyama katika kuchinja ili upate shibe yako. Kumbuka hata unavyochuma majani, nayo pia yanakuwa yanataka uhai mpaka yatakapokufa yenyewe. Kimsingi kila kilichokuwa hai kinaishi, ndio maana hata kwenye Biblia Takatifu Mambo Ya Walawi 11 imejieleza kiunaga ubaga
Mimea ina damu? Ina roho? Inachinjwa?

Jr
 
Back
Top Bottom