Sababu za vegetarians kutokula nyama

Sababu za vegetarians kutokula nyama

na Tai Chi Pia, Kung Fu kama Tai Chi ni michezo inayohitaji vital energy na concentration ya hali ya juu, ni sehemu ya meditation pia kama nyongeza kwa wale wanaopenda

Mkuu naomba faida za meditation.
 
Meditation ni dini niliwahi jiunga na watu wa lifewave society au the path tulikuwa tukikatazwa kwenda kanisani au msikitini

Meditation ni dini? Are you serious mkuu au umependa tu kuchangia? Meditation is human nature, ukilala ni meditation, ukiota ndoto that's meditation, yoga ni part ya meditation. Meditation technique ya kukaa na kufocus on your breath and not to think about Anything ipo map aka mahospitalini, ipo kwenye ukristu, Judaism, Islam all religions zamani zilifahamu umuhimu wa meditation kuleta amani, labda waliokuelekeza walikuwa na udini.

Ila naamini wapo viongozi wa dini wanakataza waumini wasimeditate, sio kwamba ina udini, meditation ni practice ya zamani sana tangu mababu na mababu, tatizo ukimeditate sana waweza kuwa enlighted na kuwa na hekima na ufahamu mkubwa zaidi hata ya viongozi wako wa dini. Some priests na religious people wanaogopa kuwa enlighted na kupotosha kwa kuwaambia wengine kuwa meditation is pagan. Meditation is human nature.

Sijawahi sikia kuwa meditation ni udini. Ni sawa na kusema kufanya mazoezi ni ubaunsa tu. Meditation ni sawa na kurefresh akili, kuondoa negative thoughts, connect your soul, know your self, open your energies, focus on your heart, be one with your mind n.k

Hata mahospitali na watu wa afya wanashauri. Unless ulipata mwalimu mdini na asiyejitambua.
 
na Tai Chi Pia, Kung Fu kama Tai Chi ni michezo inayohitaji vital energy na concentration ya hali ya juu, ni sehemu ya meditation pia kama nyongeza kwa wale wanaopenda

Ukiangalia hizo style za kupigana zinafundisha self control. Meditation inawasaidia kujicontrol hasa kuondoa hasira na kupanick.
 
Ukiangalia hizo style za kupigana zinafundisha self control. Meditation inawasaidia kujicontrol hasa kuondoa hasira na kupanick.

yeah ni kweli kabisa na kuwa na self focused mind kwenye kila movement. ni wonderful experiece kwakuwa unachofeel ni ile vital energy kwenye kila movement, ukinyanyua mguu ukishusha mkono nk taratibu but very very determined, calculated n organised!
 
ni kweli kabisa lengo kuu la meditation ni kuwa na self focused mind kwenye kila utendalo unenalo na uliwazalo, yaani popote ulipo lolote ufanyalo usisahau 1.wewe ni nani 2. uko wapi 3. unafanya nini. huku ndiko kujitambua, wengi hatujitambui ndio maana huwa tunafanya vitu ambavyo si sahihi
 
Mimi pia ni mmoja katika ya watu ambao hawali nyama. Mwanzoni nilifanya kutokana na Imani Yangu, lakini kwa sasa naona umuhimu na faida yake hata kwa nje ya Imani.

Sio tu Buddhism, Hinduism, Rastafaris, Ethiopian Monks, Nazarenes(Jews), na ancient Egyptians hata ukristu kuna makundi yasiyokula nyama hasa ukristu wa kale ulielewa umuhimu wa vegetarianism.

Kihistoria, imani za kale zilianza kuuliza kwanini sisi wanadamu tupo hapa duniani? Nini kinachotutofautisha na wanyama na mimea? Hivyo watu waliokuwa ENLIGHTENED kama Krishna, Buddha, Waisraeli wa kale, waliona umuhimu wa kuishi kwa Amani. Sio kuishi tu kwa amani na mwanadamu mwenzako bali kwa viumbe vyote. Haina haja ya kumpiga mnyama bila sababu na baadaye wakaona hata kumpiga mnyama haitoshi, ili kuwa na amani na kuweza kuboost Third Eye, Karma, na kubalance Chakras zako, Ishi kwa kutoua mnyama kabisa. Kila kiumbe kina haki ya kuishi. Mimea ndio source ya kwanza ya chakula then Nyama ni Secondary source. Haina haja ya kumchinja mnyama na kumla wakati kuna vyakula vingi haviitaji kuua kiumbe. Tunapaswa kuishi kwa kuheshimu all aspects of life duniani. Kuna sababu nao wakaishi hivyo yanini niwaue, nao husikia maumivu, wanyama wanahisia ambazo hata sisi tunazo mfano upendo, huhisi maumivu, n.k lakini pia nao wanahaki kuhishi. Sisi wanadamu tuna akili ya kuwatunza na kuwajali kwani wote tumeumbwa pamoja.

Tatizo ni ego ya mwanadamu kuwa sisi ndio kila kitu na kila uhai wa kiumbe tunaweza kuutoa. Kuwa vegetarian kunakupa sio tu afya ya mwili hasa katika miaka ya vyakula vya madawa bali hata inatupa afya kiroho na kiakili. Ni vigumu kumuelezea mtu. Lakini ni kitu ambacho hakiitaji Kiongozi wa dini, wala kitabu cha dini, ni kitu kitokacho kwa hisia, hisia ya upendo tuliyozaliwa nayo sisi wanadamu kutoka aliyetuumba.

mkuu umeongea vizuri sana swali linakuja samaki je? manake hata yy ana uhai na ni kiumbe cha mungu.
 
mkuu umeongea vizuri sana swali linakuja samaki je? manake hata yy ana uhai na ni kiumbe cha mungu.

hata samaki haliwi labda kwa sababu maalum hasa tiba, tena kwa kiwango fulani, kumbuka hata wale wasiokula nguruwe wanaruhusiwa kula kwa sababu maalum
 
mkuu umeongea vizuri sana swali linakuja samaki je? manake hata yy ana uhai na ni kiumbe cha mungu.

Good question mkuu. Kuna sababu nyingi za kuwa vegetarian. The term vegetarian halimfungi mtu katika ulaji wa samaki, maziwa na mayai. Vegan ni jina litumikalo kwa wasiokula nyama, wala samaki, wala maziwa na mayai.

Hivyo vegetarians wanatofautiana sababu za kuwa vegetatian. Hivyo katika ulaji wa samaki na maziwa wanatofautiana pia.

Mfano, vegetarians wa biblia wanaweza kula samaki (lakini sio samaki mkubwa zaidi ya size ya unyayo), pia wanaweza kula maziwa na mayai. Mfano Wanaziri. Ila ilikuwa haikatazwi kutokula samaki. Samaki na maziwa na mayai kutokula ilikuwa ni option.

Vegetarians wa kwa ajili ya afya wapo wanaokula mayai na maziwa na wapo wasiotumia kabisa kituchochote cha mnyama.

Activists wanaopenda haki sawa kwa kila mnyama hawali samaki, wala nyama wala maziwa na mayai. Hata products zanyama hawatumii mfano ngozi za leathers n.k (nilishawahi kuwa na rafiki wa aina hii).

So, inategemea na view ya mtu au imani.
 
Nin tofauti kati ya vegetarian na vegan

Vegetarians wanaweza wakala nyama, mayai na maziwa.

Vegans hawali wala kutumia kitu chochote ambacho ni product ya mnyama yoyote (hata samaki).
 
Mimi pia ni mmoja katika ya watu ambao hawali nyama. Mwanzoni nilifanya kutokana na Imani Yangu, lakini kwa sasa naona umuhimu na faida yake hata kwa nje ya Imani.

Sio tu Buddhism, Hinduism, Rastafaris, Ethiopian Monks, Nazarenes(Jews), na ancient Egyptians hata ukristu kuna makundi yasiyokula nyama hasa ukristu wa kale ulielewa umuhimu wa vegetarianism.

Kihistoria, imani za kale zilianza kuuliza kwanini sisi wanadamu tupo hapa duniani? Nini kinachotutofautisha na wanyama na mimea? Hivyo watu waliokuwa ENLIGHTENED kama Krishna, Buddha, Waisraeli wa kale, waliona umuhimu wa kuishi kwa Amani. Sio kuishi tu kwa amani na mwanadamu mwenzako bali kwa viumbe vyote. Haina haja ya kumpiga mnyama bila sababu na baadaye wakaona hata kumpiga mnyama haitoshi, ili kuwa na amani na kuweza kuboost Third Eye, Karma, na kubalance Chakras zako, Ishi kwa kutoua mnyama kabisa. Kila kiumbe kina haki ya kuishi. Mimea ndio source ya kwanza ya chakula then Nyama ni Secondary source. Haina haja ya kumchinja mnyama na kumla wakati kuna vyakula vingi haviitaji kuua kiumbe. Tunapaswa kuishi kwa kuheshimu all aspects of life duniani. Kuna sababu nao wakaishi hivyo yanini niwaue, nao husikia maumivu, wanyama wanahisia ambazo hata sisi tunazo mfano upendo, huhisi maumivu, n.k lakini pia nao wanahaki kuhishi. Sisi wanadamu tuna akili ya kuwatunza na kuwajali kwani wote tumeumbwa pamoja.

Tatizo ni ego ya mwanadamu kuwa sisi ndio kila kitu na kila uhai wa kiumbe tunaweza kuutoa. Kuwa vegetarian kunakupa sio tu afya ya mwili hasa katika miaka ya vyakula vya madawa bali hata inatupa afya kiroho na kiakili. Ni vigumu kumuelezea mtu. Lakini ni kitu ambacho hakiitaji Kiongozi wa dini, wala kitabu cha dini, ni kitu kitokacho kwa hisia, hisia ya upendo tuliyozaliwa nayo sisi wanadamu kutoka aliyetuumba.
imani za kutungwa na binadamu lazima zikwame mahali fulani,bila wao wenyewe kujuwa,au walijuwa baadaye lakini ikawa bado wanaendelea na imani hiyo,baada ya kuona walifanya sivyo.Lazima ufahamu hata mimea,miti,majani vyote ni vitu vyenye uhai,kama wanyama walivyo na uhai,kwa hiyo hata ukiwa unakula mboga,ujuwe unakula kitu ambacho kilikuwa na uhai,wewe ndio umekikatisha maisha yake,kisayansi na kinadharia mimea,miti ,majani ni living things,ni vitu vyenye uhai.
 
mi nimesoma kidogo imani za kibuda na hata zile five prisets(sheria)/misingi yao,nilichokiamini na kikuibwa mno ni kwamba mtu asiekula kitu chenye roho mara nyingi huwa na huruma sana, na hata hawa jamaa wana msingi mzuri sana ktk dini yao, huu uislam na ukristu mbwembwe nyingi mno
miti na mimea yote ina uhai,ni living things,labda wangekula mawe,chupa,makaratasi,vyuma,vitambaa,mchanga,hapo ingekuwa sawa.Lakini mimea ni living things,kitu chenye uhai.
 
imani za kutungwa na binadamu lazima zikwame mahali fulani,bila wao wenyewe kujuwa,au walijuwa baadaye lakini ikawa bado wanaendelea na imani hiyo,baada ya kuona walifanya sivyo.Lazima ufahamu hata mimea,miti,majani vyote ni vitu vyenye uhai,kama wanyama walivyo na uhai,kwa hiyo hata ukiwa unakula mboga,ujuwe unakula kitu ambacho kilikuwa na uhai,wewe ndio umekikatisha maisha yake,kisayansi na kinadharia mimea,miti ,majani ni living things,ni vitu vyenye uhai.

Una view nzuri, ambayo ni view ya sasa ya sayansi. Sayansi ni nzuri. Naipenda, lakini ukiishi kwa sayansi kuna vitu hutavielewa kamwe. Kuna sababu ya kila kitu kuwepo hapa duniani, kuna Law of Cause and Effect. Kila ukionacho kwa uniqueness yake kina faida yake na umuhimu.

Sayansi inasema vyote ni uhai, lakini haiendi deep why mimea ina uniqueness yake. Mimea hujitengenezea chakula, sisi wanyama hatuwezi. Mimea hailii ukiichuma, haina spirit, haina Souls.

Sayansi yenyewe inakubali kuwa kwa kuangalia kucha, meno, enzymes zetu, bowel movement na system ya mwanadamu, mimea ndio asili yake. Na hata japokuwa mwanadamu ameanza kula nyama less that 5 - 2 million bado habadiliki wala kuadopt kuwa carnival na hatakuja kubadilika....kula mimea ni nature yake milele. Tofauti na nguruwe ambaye ameshaanza kudevelop enzymes tofauti na sisi. Its strange mkuu.

Mimea ni viumbe hai, lakini ni source ya kwanza ya chakula duniani. Nyama, maziwa, mayai n.k visingekwepo bila plants on earth na ndio maana mimea imeanza kutawala nchi kavu kabla ya wanyama.

Vyote ni uhai lakini kuna tofauti kubwa, la si hivyo vingekuwa Kingdom moja.

Kingine, suala la vegetarianism sio imani. Its nature.
 
Napenda kukufahamisha ya kwamba "Buddhists" wanakula nyama, tena sana! Rejea vizuri kwenye vyanzo vyako vya taarifa au hata pitia wikipedia Buddhist vegetarianism - Wikipedia, the free encyclopedia

Wasiyokula nyama ya ng'ombe ni "Hindus" kwani wao wanamchukulia mnyama huyo kuwa ni muhimu sana kwakuwa anawapatia maziwa!!!! Yaani ng'ombe kwao ni sawa na mama!

Ila wahindu wanakula vizuri tu nyama ya kuku (wengi sana), na baadhi yao hula "buffalo" shombe (siyo mwitu).

msichanganye hili na wachina

Buddhists hawali nyama.

usichanganye buddhism na wachina

maji pia wasinywe,maana maji imegundulikana pia ndani yake kuna viumbe hai,vidudu vya aina kadhaa vya maradhi,na vina uhai,

kikwajuni one, hapa ni jukwaani na tunachokifanya ni kujadili kwanini vegens na vegets hawali nyama, faida na hasara zake, ukisema basi wasinywe maji nk ni poor conclusion, kumbuka tunachambua kila kitu kwa mapana yake! tusiwe na simple conclusion zisizofikirisha
 
Napenda kukufahamisha ya kwamba "Buddhists" wanakula nyama, tena sana! Rejea vizuri kwenye vyanzo vyako vya taarifa au hata pitia wikipedia Buddhist vegetarianism - Wikipedia, the free encyclopedia

Wasiyokula nyama ya ng'ombe ni "Hindus" kwani wao wanamchukulia mnyama huyo kuwa ni muhimu sana kwakuwa anawapatia maziwa!!!! Yaani ng'ombe kwao ni sawa na mama!

Ila wahindu wanakula vizuri tu nyama ya kuku (wengi sana), na baadhi yao hula "buffalo" shombe (siyo mwitu).

Buddhist haifungi mtu suala la ulazima wa kula nyama. Ila kutokula nyama ni part ya Karma cleaning. Kuwa mfuatiliaji mzuri na msomaji mzuri. Other things Google can tell you. Buddha na monks wengi hawali nyama. Nyama tangu traditions inakuaminiwa ni karma mbaya na haikupi enlightment. Sio kila kitu Google. Nipe email kama unataka nikupe PDF ya Maisha na safari za Buddhists.
 
Napenda kukufahamisha ya kwamba "Buddhists" wanakula nyama, tena sana! Rejea vizuri kwenye vyanzo vyako vya taarifa au hata pitia wikipedia Buddhist vegetarianism - Wikipedia, the free encyclopedia

Wasiyokula nyama ya ng'ombe ni "Hindus" kwani wao wanamchukulia mnyama huyo kuwa ni muhimu sana kwakuwa anawapatia maziwa!!!! Yaani ng'ombe kwao ni sawa na mama!

Ila wahindu wanakula vizuri tu nyama ya kuku (wengi sana), na baadhi yao hula "buffalo" shombe (siyo mwitu).

ni kweli lakini kumbuka ndani ya buddhism kuna seck nyingi na zinatofautiana kwenye mengi kuanziaa meditation, mavazi chakula na chanting kwa mfano buddhist wengi wa Japan wanakula nyama lakini kwa kiwango fulani, kwasababu maalum na si kama walavyo wengine kwa ulafi na hamu ya matamanio ya mwili
 
Back
Top Bottom