Shukrani mkuuNa sio nyama tu wadau, hata wadudu kama senene, samaki, pweza na aina zote za vyakula ambavyo vinahusisha kupoteza uhai wa kiumbe ambacho ni conscious (kina ufahamu) kuhusu pains.
Je ukishafanikiwa kuwa hivyo mpaka ikawa umefungua third eye, na baadae tena ukarudia kula nyama kama mwanzo hilo Jicho la tatu (pineal gland) linajifunga kwakua tu umerudia kula nyama?Na sio nyama tu wadau, hata wadudu kama senene, samaki, pweza na aina zote za vyakula ambavyo vinahusisha kupoteza uhai wa kiumbe ambacho ni conscious (kina ufahamu) kuhusu pains.
Sahihi kabisa..kwakuwa mnyama husika anakuwa amechinjwa rasmi kwa amri yakoKweli. Na kingine cha kuepuka katika nyama
- Usiagize uchinjiwe. Ukimwambia mtu akuchinjie mnyama sio sahihi pia.
mi nimesoma kidogo imani za kibuda na hata zile five prisets(sheria)/misingi yao,nilichokiamini na kikuibwa mno ni kwamba mtu asiekula kitu chenye roho mara nyingi huwa na huruma sana, na hata hawa jamaa wana msingi mzuri sana ktk dini yao, huu uislam na ukristu mbwembwe nyingi mno
Je kuna toba kama nilikula kabla sijajua haya?Kwahiyo huwezi kutoa uhai wake kwa ajili ya shibe yako, utakuwa unajitengenezea karma mbaya, yani leo ukimuu mnyama ukala nyama yake next reincarnation yeye atazaliwa binadamu na wewe mnyama halafu atatenda kama wewe ulivyotenda imani hii imezama mno mioyoni mwao kiasi kwamba ni ngumu mno kuwakuta wanakula nyama. Kuna mazingira ambayo yanaweza kuwafanya wale nyama nayo ni
Kwa imani ya Mungu mmoja toba ipo.. Kwa imani za miungu kuna cause, (condition) and effect! KARMA..!! Hapo kwenye kula bila kujua ndio patakuletea wepesi . ..!Je kuna toba kama nilikula kabla sijajua haya?
Nawezaje kuipata hiyo toba?
Binafsi niliacha kula nyama baada ya kushuhudia viumbe hao wakiteseka baada ya kuwaona wenzao wakichinjwa
Yawezekana ndiyo maana nasi baadhi yetu huteseka sana kabla ya kifoKwa imani ya Mungu mmoja toba ipo.. Kwa imani za miungu kuna cause, (condition) and effect! KARMA..!! Hapo kwenye kula bila kujua ndio patakuletea wepesi . ..!
Wenzetu wenye kutambua haya mambo humtreat vizuri mnyama mpaka kifo..Na hata anapochinjwa hajui
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Ni hivyo ata mtu akipata maambukizi ya bacteria mwilini mwake asimeze dawa ili asije uwa viumbe wa Munguhii imani inaenda mbali zaidi kwakuwa hata dawa za kuulia wadudu wao hawatumii kabisa, na kama wakiitumi wanatumia ile tu ya kulewesha na si kuondoa uhai, kwa vegetarians kuuwa kiumbe ni dhambi kubwa kuliko zote na karma yake ni mbaya sana

Swali fikirishi.Kama Ni hivyo ata mtu akipata maambukizi ya bacteria mwilini mwake asimeze dawa ili asije uwa viumbe wa Mungu![]()
Nimemaanisha wadudu wa mimea mashambani, sio bacteria wa mwilini.. Lakini pia chunguza dawa za mbu zinazotengenezwa na makampuni ya kihindi zile za kupuliza haliuwi zinalewesha tuu..kwakuwa wahindi ni mojawapo ya watu wanaoamini sana karmaKama Ni hivyo ata mtu akipata maambukizi ya bacteria mwilini mwake asimeze dawa ili asije uwa viumbe wa Mungu![]()
Nmekuelewa mshana mm napenda kumeditate je kutokula nyama Ina umuhimu gan kwenye kutaamuli ? Na kama nakula nyama je itaathiri vp taamuli yangu mkuu?Nimemaanisha wadudu wa mimea mashambani, sio bacteria wa mwilini.. Lakini pia chunguza dawa za mbu zinazotengenezwa na makampuni ya kihindi zile za kupuliza haliuwi zinalewesha tuu..kwakuwa wahindi ni mojawapo ya watu wanaoamini sana karma
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyama ina damu.. Damu ina roho.. Tunapokula nyama tunakula roho zenye tabia tofauti..lakini nyama ulayo ni ya kiumbe kilichouliwa...kuna ghadhabu ndani yake..cheki wala nyama wengi walivyo wepesi kukasirika!Nmekuelewa mshana mm napenda kumeditate je kutokula nyama Ina umuhimu gan kwenye kutaamuli ? Na kama nakula nyama je itaathiri vp taamuli yangu mkuu?
Nyama ina damu.. Damu ina roho.. Tunapokula nyama tunakula roho zenye tabia tofauti..lakini nyama ulayo ni ya kiumbe kilichouliwa...kuna ghadhabu ndani yake..cheki wala nyama wengi walivyo wepesi kukasirika!
Kimwili nyama hukomaza misuli hivyo huleta discomfort kwenye meditation
Sent using Jamii Forums mobile app
rabiHasa Tarime.Nyama ina damu.. Damu ina roho.. Tunapokula nyama tunakula roho zenye tabia tofauti..lakini nyama ulayo ni ya kiumbe kilichouliwa...kuna ghadhabu ndani yake..cheki wala nyama wengi walivyo wepesi kukasirika!
Kimwili nyama hukomaza misuli hivyo huleta discomfort kwenye meditation
Sent using Jamii Forums mobile app
@Mshana Jr Vietnam, Bangladesh ndizo nchi zinazoongoza kuwa na mabudha huko wanakula kila kinacho tambaa na kuruka na kutembeausichanganye buddhism na wachina