SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,947
- 2,032
Naona cha arusha,malawi kinavyowaongoza kuchangia hapa,we mtu uone dhambi kuchuma majan ya maboga kisa yamechanua.Madokta wa magonjwa ya afya ya akili piteni hapa mchukue watu wenu muondoke nao
kiukweli napenda kubadili maisha yangu kwenye mcingi huu..
ctaki kula nyama, kunywa pombe, kuendekeza anasa tena....
napenda kufanya meditation ingawa inanipa wakati mgumu kiukweli nahitaji mwalimu anielekeze
katika hili...
note: mi naishi Lushoto-Tanga hivyo kuhudhuria temple huko Dar ni ngumu xo I need altenative...
Kwenye somo la biology tumefundishwa kwamba mimea nayo ni viumbe hai,isipokuwa mawe sio hai,labda sasa tugeukie kula udongo na mawe,ili tusije tukaviua viumbe vyenzetu
Hata mimea Ina haki ya kuishi kwani ndio inayotupatia hewa ya oxygen, wasile kitu chochote wanywe maji tu.
Nimejaribu kuwa vegetarian, naanza kuweza.
hivi hizo vegatables sio viumbe hai? si vina uhai? haya usile kwa sababu unaviua vinahitaji kuishi ni viumbe hai. sasa sijui utakula mawe!
mshana jr tedo Apollo Kichuri hatari
Biology inazungumzia body (physical structure) as Physical Anthropology. Lakini haizungumzii intangible parts kama Souls, Spirit ambavyo ndivyo vitofautishavyo mmea na mwanadamu. Hivyo wote ni viumbe na vinatofautiana. Mfano mmea hauna soul, Biology haiwezi kuzungumzia hizo tofauti za intangible na ndio maana ikaitwa inabase na Physical Anthropology.
imekaa vizuri napata shida kuelewa inakuwaje mtu afananishe kiumbe na mmea? nabaki na taharuki