Sababu gani zimekufanya ukawa single mpaka leo?

Sababu gani zimekufanya ukawa single mpaka leo?

Dah mkuu....mapenz yalinitesa...unajua nilipo mfata ilikuwa simpendi ila na mm ilikuwa nataka niambiwe tu kama nina demu ila tatzo tuligomban na nikajihsi siwez kumkosa dahh .....tena nililia choon nafanya haja kubwa....niliumwa na tumbo la kuharisha na homa kama week 3......tena nakumbuka ilikuwa singi class yangu naenda class yao masela walinita majna kama....muarabu fighter..polisi..bodyguard
Ina maana mpaka leo bado una stress? Mbona hueleweki boss..
 
Huhuhuh..! Umehisi nimeadmit u mzuri[emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125] kwanza demu mzuri na smart usiku huu hayuko macho nyie mapopo na mabundi ndiyo mnasanda na khali zenu..!

By the way ngoja nilale, nisije achwa bure sababu ya nyie wakina cha ukucha..! Mshelisheli akiniona whatsap lazima nitakuwa na kesi ya kujibu..!
Kuwa macho au kulala ni choice ya mtu binafsi,waliozoea kulelewa kama makinda ya ndege ndo wanapenda kulala hovyo..but sisi tunaosaka noti ndo mida ya kukagua tuliyoyafanya mchana .siwez kujishtukia hata siku moja coz najiamini..na naamini kuwa Mungu ameniandalia wakati sahihi na sio sasa.
Siku hizi ni mambo ya kusoma nyakati na sio kukurupukaa
 
Ni baada ya kuachwa wakati niliwekeza Sana kwa huyo mwanamke kuanzia feelings, time, vihela vidogo vidogo, pamoja na energy lkn bado simple tu ET nimerudia Na ex wangu coz nashindwa kumtoa akilin, dadek huyo mpuuzi namuombea mabaya Sana uko aliko mana alivokuja kwang alinisisitizia nimpend Sana sababu alikotoka aliachwa Na huyo huyo ex wake,!!!! Kwa iki kisa bora niwe single tu
Duu jifunze kusamehe ili uishi kwa amani kaka
 
Nilipokuwa chuo ckuwa na mpemzi wa level yangu nikiamini angenisumbua kama yule wa sec. Sasa kaolewa na mganga wa kienyeji. Nilienda kufanya kazi tempo huko morogoro. Nikautana na binti mamke alikuwa secretary MZUMBE univ.nilimpenda sana na nakir kuwa nilimsomesha pia, alikuwa mzuri na nilipanga awe mama watt wangu. Alipofika chuo mzumbe mm nikiwa kazin akakutana na mwanafinzi mwenziwe . Bila kujali utu aliniambia hanitaki coz umri umeachana sana kati yetu. Niliumia sana .from that day sijawahi mpenda mwanamke .kila nikitaka kuoa nafikir huyo co lama yule wa moro
 
Daah watu wanapitia mengi na machungu sanaa
Ila mkuu kuwa real man kutokuwa na mke still stress zipo tu hazitakuishia
 
Sababu kila ninaemtongoza anawaza kunichuna wakati mimi nahitaji mke wa kujenga nae familia.
 
mkuu,sema nini...nimechagua kuwa single tu coz nikisema nifanye kile wanawake wanapenda..nitajikuta nimewekeza muda wangu wote kwenye kuwavutia wao..so ni bora nifanye issue za maana tu..akitokeaga yeyote atakayekuwa interested na mtu wa dezain yangu poa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu Uzi wakwenda nao taratibu naona kuna nondo muhimu sana ona jamaa hapa [emoji119]
 
Ina maana mpaka leo bado una stress? Mbona hueleweki boss..
Yap..bado.namkumbuka ila so sana maana namkumbuka kwa kipindi ...nikiwa busy sana huwa simkumbuki ila kama sipo busy ndo anakuja dah.....pia kelele za masela zinanifanya nimkumbuke maana wananita jna la mume wake....pia nikiona masela wanaongea na mademu zao ndo na zidi kumia nafsi
 
Back
Top Bottom