Sababu gani zimekufanya ukawa single mpaka leo?

Sababu gani zimekufanya ukawa single mpaka leo?

wakuu,kwa wale wenzangu na mimi Mlio single ebu tajeni sababu zinazowafanya muwe single mpaka leo.
nikianza na mimi..niko single coz sina mvuto wala swaga kwa wadada..yani kila sehemu ninapopiga sound nakataliwa..hivo nimeamua kujikalia single tu.
ebu na nyie funguken wakuu
Mkuu hemu kua muwazi ni kukosa mvuto tu au na mkwanja pia ni shida , mm naona nina mvuto wakutosha tu ila pia nastruggle kuwanasa watoto wakali
 
3 yrs umri unaenda... umuhimu upo banah, na usiwe negative kila mara
Umri haunipi pressure kabisaa,yaan ni kwamba nilishaishiwa mood kabisa so hata nikianzisha mahusiano nitakuwa naigiza tu kwa mwenzangu..
 
Mkuu hemu kua muwazi ni kukosa mvuto tu au na mkwanja pia ni shida , mm naona nina mvuto wakutosha tu ila pia nastruggle kuwanasa watoto wakali
mkuu..first impression kwa wadada huwa ni mvuto...so nakiri me sina mvuto so I can't impress them. .pesa nilizonazo zinanitosha mimi tu mkuu
 
Umri haunipi pressure kabisaa,yaan ni kwamba nilishaishiwa mood kabisa so hata nikianzisha mahusiano nitakuwa naigiza tu kwa mwenzangu..
heri yako wewe unaewapata unawadengulia
 
nakutana na miwanaume inayopenda kumaa tu .aya mlinitoomba mlipata nini mamaku nyie ?
Acha umaku miss Natafuta.. sasa kumwaga matusi namna hiyo ndio kumaaa... nisha nini?!.. si usengee.. nyaji huo?!.. wanaume serious wakikutaka unazingua unataka wenye pesa ambao kila mwanamke anamtaka... ndio ushindane na wenzako wenye shida ya pesa na sio wenza kama wewe.. usituletee makuzi.
 
Hakuna raha kama kuwa single... Maana unaweza kuyaishi maisha ya ndoa bila hata kutoa posa.
 
Back
Top Bottom