kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,966
- 26,182
wakuu,kwa wale wenzangu na mimi Mlio single ebu tajeni sababu zinazowafanya muwe single mpaka leo.
nikianza na mimi..niko single coz sina mvuto wala swaga kwa wadada..yani kila sehemu ninapopiga sound nakataliwa..hivo nimeamua kujikalia single tu.
ebu na nyie funguken wakuu
nikianza na mimi..niko single coz sina mvuto wala swaga kwa wadada..yani kila sehemu ninapopiga sound nakataliwa..hivo nimeamua kujikalia single tu.
ebu na nyie funguken wakuu