Sababu gani zimekufanya ukawa single mpaka leo?

Ni baada ya kuachwa wakati niliwekeza Sana kwa huyo mwanamke kuanzia feelings, time, vihela vidogo vidogo, pamoja na energy lkn bado simple tu ET nimerudia Na ex wangu coz nashindwa kumtoa akilin, dadek huyo mpuuzi namuombea mabaya Sana uko aliko mana alivokuja kwang alinisisitizia nimpend Sana sababu alikotoka aliachwa Na huyo huyo ex wake,!!!! Kwa iki kisa bora niwe single tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23],..we miss natafta utakua mtoto wa mjin sana wew,umenifurahsha sana leo,ningekua karib hapo ningekutandika na castle light kama 8 hiv
yaani mtu sasa hivi anigegede? labda nimtake tu mwenyewe ila sidanganyiki tena kwa kweli. kama haipo ni haipo tu mapenzi hayalazimishwi kwa papuchi
 
mimi nilikuwa na mke tumeachana niko single mpaka leo mwaka wa tano , sitaki kuoa mke tena labda girlfriend sawa mambo ya wanawake siyawezi tena
na uwezo ninao
ilikuaje ukaamua kuchukua maamuzi magumu hivo mtaalamu?
 
mimi nilikuwa na mke tumeachana niko single mpaka leo mwaka wa tano , sitaki kuoa mke tena labda girlfriend sawa mambo ya wanawake siyawezi tena
na uwezo ninao
[emoji1][emoji1]polee sanaa
 
Ni baada ya kuachwa wakati niliwekeza Sana kwa huyo mwanamke kuanzia feelings, time, vihela vidogo vidogo, pamoja na energy lkn bado simple tu ET nimerudia Na ex wangu coz nashindwa kumtoa akilin, dadek huyo mpuuzi namuombea mabaya Sana uko aliko mana alivokuja kwang alinisisitizia nimpend Sana sababu alikotoka aliachwa Na huyo huyo ex wake,!!!! Kwa iki kisa bora niwe single tu
wanaume mnapendaga na nyie?
 
We

ww kweli umevurugwa na jinsi unavyozidi kutuchukia ndivyo unazidi kujiumiza mwenyewe!! Matusi yako hayatupunguzii kitu, jikubali tu jinsi ulivyo.
simchukii mtu mkuu naishi maisha yangu? yaani hamnihusu
 
Ni baada ya kuachwa wakati niliwekeza Sana kwa huyo mwanamke kuanzia feelings, time, vihela vidogo vidogo, pamoja na energy lkn bado simple tu ET nimerudia Na ex wangu coz nashindwa kumtoa akilin, dadek huyo mpuuzi namuombea mabaya Sana uko aliko mana alivokuja kwang alinisisitizia nimpend Sana sababu alikotoka aliachwa Na huyo huyo ex wake,!!!! Kwa iki kisa bora niwe single tu
huyo muendee kwa sangoma mkuu
 
wanaume mnapendaga na nyie?
For sure miss natafuta, i was real kwa yule pimbi mpaka kila mtu alijua Na sio kwamba ni mzur Sana hapan, kawaida tu...!! Imagine mtu mpaka anakili kwamba unacare sana, fikilia mtu nimemkuta ana ugonjwa wa ngozi bada ya kulala nae lkn mwanaum nimeenda phamacy menunua dawa ya elf 50 dozi af after two weeks ananambia huo upuzi!!!!! Mi napendag Sana an lkn kwa tukio hili bora usingle, nilikaa nae mwaka mmoja Na nusu af sex mara moja utasema nataka sex tu hapo?
 
Back
Top Bottom