Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,410
- 5,177
Kwahiyo hata kugegedana ni mpango wa MunguUpo sahihi kabisa
Kwahiyo hata kugegedana ni mpango wa MunguUpo sahihi kabisa
Mzee japo sikufaham kwa sura ila mvuto unasidia kunasa watoto wakali coz nina jamaa angu anawanasa sana kwa impressin yake lkn jaribu kutengenrza imoression kama kutupia fresh, chaming, af jaribu kujiona kama you good no matter what, basi fanya uchunguz kama ukipita mbele ya girls unageuka mada yao au kukuangalia basi ongeza kuwa bisy then ukitaka girl mfwate tactically, pia tanguliza urafiki kuliko mahusiano ya mapenz ili hiyo girl akuzoee then ataona we upo kawida tu,....!!!mkuu..first impression kwa wadada huwa ni mvuto...so nakiri me sina mvuto so I can't impress them. .pesa nilizonazo zinanitosha mimi tu mkuu
Ndio mkuuKwahiyo hata kugegedana ni mpango wa Mungu
Ha ha ha ha ha haaUpoo
Na wewe nini kimekuweka kwenye foleni rafiki
mkuu,sema nini...nimechagua kuwa single tu coz nikisema nifanye kile wanawake wanapenda..nitajikuta nimewekeza muda wangu wote kwenye kuwavutia wao..so ni bora nifanye issue za maana tu..akitokeaga yeyote atakayekuwa interested na mtu wa dezain yangu poaMzee japo sikufaham kwa sura ila mvuto unasidia kunasa watoto wakali coz nina jamaa angu anawanasa sana kwa impressin yake lkn jaribu kutengenrza imoression kama kutupia fresh, chaming, af jaribu kujiona kama you good no matter what, basi fanya uchunguz kama ukipita mbele ya girls unageuka mada yao au kukuangalia basi ongeza kuwa bisy then ukitaka girl mfwate tactically, pia tanguliza urafiki kuliko mahusiano ya mapenz ili hiyo girl akuzoee then ataona we upo kawida tu,....!!!
pole mkuu..ichukulie hiyo kama changamoto tuTangu dem wang aniache .....naona mademu wote mafala na sioni sbb ya kuwa na demu so na focus kwenye malengo yangu ila......nawapa onyo alichonifanya mwenzao sio kzuri nilikuwa kama chizi....so nikija kuzipata helaa za maana heeee watajua kama dinyo mijino au dinyo gaucho na ndo kipnd watakacho elewa kat ya kuku na yai lpi limekuja mwanzo duniani .....shenz
cheche ya ommy dimpoz hahahaFor sure miss natafuta, i was real kwa yule pimbi mpaka kila mtu alijua Na sio kwamba ni mzur Sana hapan, kawaida tu...!! Imagine mtu mpaka anakili kwamba unacare sana, fikilia mtu nimemkuta ana ugonjwa wa ngozi bada ya kulala nae lkn mwanaum nimeenda phamacy menunua dawa ya elf 50 dozi af after two weeks ananambia huo upuzi!!!!! Mi napendag Sana an lkn kwa tukio hili bora usingle, nilikaa nae mwaka mmoja Na nusu af sex mara moja utasema nataka sex tu hapo?
Sante.ila dah mkuu ilikuwa nalia kama mtotopole mkuu..ichukulie hiyo kama changamoto tu
Mekusoma mkuu pia kuwa Na demu alaf kipato hakitosh lzm wew upungukiwe, ili yeye umtimizie mimi toka nipo single within one month nimefanya shopping ya laki Na thelathin lkn ndo ningekua nae ooooh nomaa mara kusukua, vocha, mpaka unapauka af bado anazingua, ko ni uamuzi mzuri man focus ken vitu vya msing kama upo chuo tafuta GPA ya kutoshamkuu,sema nini...nimechagua kuwa single tu coz nikisema nifanye kile wanawake wanapenda..nitajikuta nimewekeza muda wangu wote kwenye kuwavutia wao..so ni bora nifanye issue za maana tu..akitokeaga yeyote atakayekuwa interested na mtu wa dezain yangu poa
Hhahaahhahh pumbafu sana wewe [HASHTAG]#mango[/HASHTAG] g. AM just kidding an nakwambia nyimbo zote zilizotoka currently kuanzia wa jux, lavalva, hamonenga, utafikir nimeimbiwa Mimi kwa jinsi nilivo jitoa kwake lkn ndo ivooo, ila nilimkumbusha kila kitu nilichomfanyia mpaka chupi nilizomnunulia nilimwambia ko wanakuvua wengine hhaahhahha najua nae anawaza sana japo kacholopokacheche ya ommy dimpoz hahaha
Yaan hutoki wala haingii mtuVyuma vimekaza
mkuu,,,tafuta mwingine tu...she has gone...hakuna hata haja ya kumuwazia mtu ka huyoHhahaahhahh pumbafu sana wewe [HASHTAG]#mango[/HASHTAG] g. AM just kidding an nakwambia nyimbo zote zilizotoka currently kuanzia wa jux, lavalva, hamonenga, utafikir nimeimbiwa Mimi kwa jinsi nilivo jitoa kwake lkn ndo ivooo, ila nilimkumbusha kila kitu nilichomfanyia mpaka chupi nilizomnunulia nilimwambia ko wanakuvua wengine hhaahhahha najua nae anawaza sana japo kacholopoka
Dah mkuu....mapenz yalinitesa...unajua nilipo mfata ilikuwa simpendi ila na mm ilikuwa nataka niambiwe tu kama nina demu ila tatzo tuligomban na nikajihsi siwez kumkosa dahh .....tena nililia choon nafanya haja kubwa....niliumwa na tumbo la kuharisha na homa kama week 3......tena nakumbuka ilikuwa singi class yangu naenda class yao masela walinita majna kama....muarabu fighter..polisi..bodyguardduh...mkuu unalilia mwanamke?