Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

Shida ni tr 2 za EU ndiyo maana wanatumia uongo mkubwa kudanganya watu kupitia Bunge na Nec. Kweii chadema wapeeke jina mtu yupo mahabusu na wamshauri DPP amwachie, uongo mwingine wa ajabu. Mahera anadai Nov 19 chadema wamepeeka majina kesho yake Azam Tv anaripotiwa kuwa hajapokea majina toka CDM, uongo wa ajabu kabisa. Wameshikwa pabaya hizo pesa za EU hawapati mabeberu siyo wajinga kihivyo.
 
Bado tu watu dili hawajaisha ccm, mbona imechukua mda mrefu sana tangu baba wa taifa astaff.
 
Ila kwa kweli ki ubinadamu, mtu yoyote angakuwa amevaa viatu vya nusrat hanje asingekubali kukaataa ubunge na kuendelea kusota jela.

Tuwe tu wakweli saa nyingine
Lakini unakubali kwamba walioucheza huo mchezo hawakujua kama mambo yangekua hivi? Huyo dada kutoka kwake ni furaha kwa kila mpenda haki lakini hawa wanaoendelea kutudanganya ni bora wakae kimya maisha yaendelee. Kama unakubali huu mchezo umechezwa basi tuko pamoja, hayo ya huyo dada kutoka ni furaha kwa wote na hilo limepiganiwa kwa muda mrefu.

Tunajua Mahera na washirika wengine hawawezi kutoka na kuliweka hili sawa, lakini watu wameshajua na hivyo tuache maisha yaendelee.

Kosa la huyu dada limekuja mwishoni baada ya kuungana na wenzake kukataa kwenda kwenye kamati ya chama chake. Hii ilikua fursa kwake kwenda kuomba samahani na 100% angesamehewa na hata sasa huyu ana nafasi kubwa ya kusamehewa kurudi kwenye chama chake kama ataomba msamaha na kuukataa ubunge ambao aliingizwa bila kufuata taratibu za chama chake.
 
CCM bhana sijui akili walishazipeleka wapi? Mahera anadai majina ya covid 19 yaliletwa na chadema ndio hayo aliyoyapeleka kwa Ndugai.

1. Mahera anadai CHADEMA iliwasilisha hayo majina tarehe 19 November 2020. Tarehe 20 Nov 2020 huyohuyo Mahera akiwa Azam tv alidai tume haijapokea majina ya viti maalumu kutokea CHADEMA. (Angalieni hizi tarehe mtaona nani muongo). Wanasema ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu maana hii ni aibu.

2. Nusrat Hanje: tufanye basi ni kweli Mahera anasema ukweli kuwa Chadema iliwasilisha majina ya viti maalumu. Swali la kujiuliza: Nusrat Hanje alikuwa mahabusu, Chadema wana mamlaka gani nchi hii ya kuweka jina la Nusrat kwenye orodha ya viti maalumu na kuhakikisha wanamtoa mahabusu ili akaapishwe? Hapa ndio ninapowaona ccm either walishatuona watanzania hatuna akili au wao ndio hawana akili. Chadema ina mamlaka gani ya kumtoa mwanachama wake mahabusu ili awahi kuapishwa?

Ushauri wangu kwa chadema. Fungueni kesi mahakamani. Hii kesi ni rahisi sana kushinda. CCM imepanga huu mchezo kiboya sana.

Tunashukuru Nusrat Hanje ametoka mahabusu. Sasa dada wa watu yupo huru.
Hii ni analysis ya nguvu. Safi sana.

Usisahau caliber ya watu hawa. Walimfikisha mahakamani Abdul Nondo kwa kosa la "kujiteka mwenyewe" na wakapinga asiachiwe kwa dhamana kwa madai kwamba ni kwa ajili ya usalana wake, "kwani waliomteka bado hawajapatikana"
 
CCM bhana sijui akili walishazipeleka wapi? Mahera anadai majina ya covid 19 yaliletwa na chadema ndio hayo aliyoyapeleka kwa Ndugai.

1. Mahera anadai CHADEMA iliwasilisha hayo majina tarehe 19 November 2020. Tarehe 20 Nov 2020 huyohuyo Mahera akiwa Azam tv alidai tume haijapokea majina ya viti maalumu kutokea CHADEMA. (Angalieni hizi tarehe mtaona nani muongo). Wanasema ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu maana hii ni aibu.

2. Nusrat Hanje: tufanye basi ni kweli Mahera anasema ukweli kuwa Chadema iliwasilisha majina ya viti maalumu. Swali la kujiuliza: Nusrat Hanje alikuwa mahabusu, Chadema wana mamlaka gani nchi hii ya kuweka jina la Nusrat kwenye orodha ya viti maalumu na kuhakikisha wanamtoa mahabusu ili akaapishwe? Hapa ndio ninapowaona ccm either walishatuona watanzania hatuna akili au wao ndio hawana akili. Chadema ina mamlaka gani ya kumtoa mwanachama wake mahabusu ili awahi kuapishwa?

Ushauri wangu kwa chadema. Fungueni kesi mahakamani. Hii kesi ni rahisi sana kushinda. CCM imepanga huu mchezo kiboya sana.

Tunashukuru Nusrat Hanje ametoka mahabusu. Sasa dada wa watu yupo huru.
CCM sasaivi hawaangalii tena haya mambo kwa sasaivi wao akili yao iko mbali sana, unaweza kwenda siku kwanza mahakamani kufungua hili shauri ukaambiwa tunalipilia mbali huko na msisogee tena kwenye jengo hili la mahakama., nchi yenu ipo kihuni sana
 
Kwenye hili game sasa CCM itawabidi wajiandae kuwatoa kafara wachache mahakamani na wabunge wa upinzani washinde.
 
CCM sasaivi hawaangalii tena haya mambo kwa sasaivi wao akili yao iko mbali sana, unaweza kwenda siku kwanza mahakamani kufungua hili shauri ukaambiwa tunalipilia mbali huko na msisogee tena kwenye jengo hili la mahakama., nchi yenu ipo kihuni sana

Nchi inahitaji kuwaformated kabisa
 
Na ccm wamekaribisha corona 19 (wabunge 19 ) ili waendelee kuvuna pesa au?
Corona walikuwepo toka zamani huko bungeni ila muda ule wakati wanaitwa corona walikuja juu ila sasa wenyewe wamekubali kuitana corona.
 
Sasa hakuna katiba wala Sheria kinachofanyika ni kutumia katiba za Mabutu wa zaire na Iddy Amin dada wa Uganda kuendesha kwa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
Tatizo waafrika wenyewe hamna utamaduni wa kuheshimu hizo katiba,unaweza kukuta mtu anapiga kelele kwa serikali kufanya jambo lililo kinyume na katiba ila mtu huyohuyo chama chake cha siasa kikifanya jambo kinyume na katiba ya chama yeye ndio wa kwanza kutetea hilo jambo bila kuangalia kuwa imevunja katiba. Unakuta tunatetea udikteta wa vyama vya siasa ila et tunataka kupinga udikteta wa serikali.
 
Mtoa rushwa na mpokea rishwa wote ni wahalifu, polepole kawanunua covid 19 kala 10% cha juu kwenye huo ununuzi haramu wa kishetani, wote ni wagonjwa wa corona baada ya kuambukizana
Narudia tena kuwa Polepole aliwaita wapinzani wote kuwa ni corona na wapinzani wakang'aka sana ila sasa walewale waliyong'aka kwa kuitwa hilo jina ndio hao hao leo hii wanaitana kwa wenyewe kwa wenyewe kwa jina lilelile walilolikataa.

Hii inaonesha Polepole alikuwa sahihi kuwaita hawa jamaa kuwa ni corona. Kama Polepole hakuwashikia bunduki ili kuwanunua basi hapo wa kulaumiwa si polepole maana hao waliyonunuliwa si watoto au watu wenye matatizo ya akili,hii inaonesha tuna wapinzani ambao hawapo kwa ajiri ya kutetea wananchi.
 
Hii ilikua fursa kwake kwenda kuomba samahani na 100% angesamehewa na hata sasa huyu ana nafasi kubwa ya kusamehewa kurudi kwenye chama chake kama ataomba msamaha na kuukataa ubunge ambao aliingizwa bila kufuata taratibu za chama chake.
Angerudishwa mahabusu.

CCM ni kama shetani, hana udugu wa kudumu!
 
Ila kwa kweli ki ubinadamu, mtu yoyote angakuwa amevaa viatu vya nusrat hanje asingekubali kukaataa ubunge na kuendelea kusota jela.

Tuwe tu wakweli saa nyingine
Tatizo hapa sio ubunge wa Bi Hanje, bali tatizo ni namna gani alitolewa mahabusu? Nani alimteua kuwa mbunge kwa mujibu wa sheria za nchi? Nadhani ukweli uanzie hapo kwanza.
 
hapa ndo huwa napingana na watu wanao sema TISS imejaa wajuvi wa mambo na akili kubwa

ukweli TISS imejaa shilawadu tu, wambea wambea kufatilia mambo ya kipumbavu itakapo fika sehemu ya kutumia akili ndo unagundua jamaa n weupe sana kichwani
 
CCM iliyounda serikali ya awamu ya Tano imejaa wajinga wengi, kwa kuwa mwenyekiti wao taifa hashitakiwi basi Wana CCM wote wanaamini hawawez kushitakiwa,

Hebu fikiria Kama nchi yetu ingekuwa kweli inaongozwa kwa mujibu wa Sheria, am sure SB,AG,NEC,IGP hawa wote walipaswa kuondoka kwenye nyazifa zao.
 
CCM bhana sijui akili walishazipeleka wapi? Mahera anadai majina ya covid 19 yaliletwa na chadema ndio hayo aliyoyapeleka kwa Ndugai.

1. Mahera anadai CHADEMA iliwasilisha hayo majina tarehe 19 November 2020. Tarehe 20 Nov 2020 huyohuyo Mahera akiwa Azam tv alidai tume haijapokea majina ya viti maalumu kutokea CHADEMA. (Angalieni hizi tarehe mtaona nani muongo). Wanasema ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu maana hii ni aibu.

2. Nusrat Hanje: tufanye basi ni kweli Mahera anasema ukweli kuwa Chadema iliwasilisha majina ya viti maalumu. Swali la kujiuliza: Nusrat Hanje alikuwa mahabusu, Chadema wana mamlaka gani nchi hii ya kuweka jina la Nusrat kwenye orodha ya viti maalumu na kuhakikisha wanamtoa mahabusu ili akaapishwe? Hapa ndio ninapowaona ccm either walishatuona watanzania hatuna akili au wao ndio hawana akili. Chadema ina mamlaka gani ya kumtoa mwanachama wake mahabusu ili awahi kuapishwa?

Ushauri wangu kwa chadema. Fungueni kesi mahakamani. Hii kesi ni rahisi sana kushinda. CCM imepanga huu mchezo kiboya sana.

Tunashukuru Nusrat Hanje ametoka mahabusu. Sasa dada wa watu yupo huru.
Tatizo ninaloliona mimi ni ccm walishajiaminisha kwamba wana mamlaka yote katika nchi hii, hivyo wanaweza kufanya lolote na wakati wowote na maisha yakaendelea kama kawaida. Hasa katika uongozi wa huyu mzee imekuwa mambo yakienda kimaamuzi zaidi kuliko sheria zinavyosema, lakini wananchi bado tuna uvumilivu, unafiki, ubinafsi na uoga dhidi ya wanao tufanyia maovu yote haya. Hivyo wataendelea kutuburuza adi siku m/mungu atakapo ingilia kati, maana sisi wenyewe tumeshashindwa kujisimamia kupinga maovu yote tunayo fanyiwa.
 
CCM bhana sijui akili walishazipeleka wapi? Mahera anadai majina ya covid 19 yaliletwa na chadema ndio hayo aliyoyapeleka kwa Ndugai.

1. Mahera anadai CHADEMA iliwasilisha hayo majina tarehe 19 November 2020. Tarehe 20 Nov 2020 huyohuyo Mahera akiwa Azam tv alidai tume haijapokea majina ya viti maalumu kutokea CHADEMA. (Angalieni hizi tarehe mtaona nani muongo). Wanasema ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu maana hii ni aibu.

2. Nusrat Hanje: tufanye basi ni kweli Mahera anasema ukweli kuwa Chadema iliwasilisha majina ya viti maalumu. Swali la kujiuliza: Nusrat Hanje alikuwa mahabusu, Chadema wana mamlaka gani nchi hii ya kuweka jina la Nusrat kwenye orodha ya viti maalumu na kuhakikisha wanamtoa mahabusu ili akaapishwe? Hapa ndio ninapowaona ccm either walishatuona watanzania hatuna akili au wao ndio hawana akili. Chadema ina mamlaka gani ya kumtoa mwanachama wake mahabusu ili awahi kuapishwa?

Ushauri wangu kwa chadema. Fungueni kesi mahakamani. Hii kesi ni rahisi sana kushinda. CCM imepanga huu mchezo kiboya sana.

Tunashukuru Nusrat Hanje ametoka mahabusu. Sasa dada wa watu yupo huru.
Mtanzania anae waamini ccm akappimwe akili
 
Back
Top Bottom