Smartphone Tz
Member
- Oct 29, 2020
- 34
- 29
Tatizo unakaza sana akili
Vipo vitu vya kutuumiza kichwa, ila mapenzi ni sehemu ambayo ilitakiwa iwe na furaha na faraja tu. Sasa kama na huko bado mambo tight,piga chiniZingatia ushauri huu, usijifanye unajua kupenda sana just relax.
Hii hoja imenipa faraja mkuuNakushangaa sana mtu sio mke wako unapata stress ya nini? Mtumie anafaa kwa matumizi acha kupanic boss
Tajiri na Mimi nije..hua nakunywaga Zile wine za Lita tanoNjo kidimbwi tupate bia mkuu usahau stress
Tajiri na Mimi nije..hua nakunywaga Zile wine za Lita tano
Kwan umemvisha ata pete? Mpaka unastress kiasi icho bro! Kama n wako hakksha anakaa kushoto kwako . life is too short ,,lets enjoy for a whileHabarini wana nnzengo wa JF, natumai wote ni wazima.
Kuna jambo niwashirikishe labda mtanisaidia wakuu , haiwezekani unapiga simu ya mpenzi wako SAA 6 usiku inatumika halafu akwambie alikuwa anaongea na Dada ake . sasa Mimi nimekaza nimemwambia siwezi kumuelewa mpaka aniambie alikuwa anaongea na nani mda huo .Na screenshots zote nazitaka .
Yani nahisi kudanganywa wazi wazi , halafu namwambia kajibu powa, sasa anijui vizuri huyu.
NB;siyo mbaya naona malaika mtoa roho analimendea penzi langu
Umri wake?Habarini wana nnzengo wa JF, natumai wote ni wazima.
Kuna jambo niwashirikishe labda mtanisaidia wakuu , haiwezekani unapiga simu ya mpenzi wako SAA 6 usiku inatumika halafu akwambie alikuwa anaongea na Dada ake . sasa Mimi nimekaza nimemwambia siwezi kumuelewa mpaka aniambie alikuwa anaongea na nani mda huo .Na screenshots zote nazitaka .
Yani nahisi kudanganywa wazi wazi , halafu namwambia kajibu powa, sasa anijui vizuri huyu.
NB;siyo mbaya naona malaika mtoa roho analimendea penzi langu
We uliskia waapiiii!😂Ndio maana unakataliwa na kumwagwa kila siku, ...
Hii ndio point ya msingi ambayo kijana anatakiwa aelewe. Halafu hii tabia ya kutongoza videmu vyenye mambo mengi halafu watu wanalialia mi nashangaaga ujue.Mkuu mwanamke kama ujamlipia mahari, ujamuoa, ulali nae daily(hauishi nae), yupo mbali nawewe, hujui anakula nini, analala wapi yaani inshort humuoni asikusumbue kichwa kiasi hicho maana utaambiwa nipo nyumbani nimelala kumbe yupo kifuani kwa mwana wanakula maisha.
Hii ndio point ya msingi ambayo kijana anatakiwa aelewe. Halafu hii tabia ya kutongoza videmu vyenye mambo mengi halafu watu wanalialia mi nashangaaga ujue.