Saa 6 usiku inatumika

Saa 6 usiku inatumika

kilamba lamba

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
427
Reaction score
738
Habarini wana nnzengo wa JF, natumai wote ni wazima.

Kuna jambo niwashirikishe labda mtanisaidia wakuu, haiwezekani unapiga simu ya mpenzi wako saa 6 usiku inatumika halafu akwambie alikuwa anaongea na dada yake. Sasa mimi nimekaza nimemwambia siwezi kumuelewa mpaka aniambie alikuwa anaongea na nani muda huo na screenshots zote nazitaka.

Yaani nahisi kudanganywa wazi wazi, halafu namwambia kajibu powa, sasa anijui vizuri huyu.

NB: Siyo mbaya naona malaika mtoa roho analimendea penzi langu
 
Una umri gani mkuu?
Ukinipa jibu then nitakua na chance ya kukujibu vizuri zaidi
 
Stress za mapenzi zitakuja kuwauwa. Mtu hata hujamtolea mahari, kwao hujulikani, still unataka kumuendesha. Kama haelewi bila kutumia nguvu, basi pigs chini. Ila ukijifanya CIA au FBI utakuja kufa kwa stress.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Zingatia ushauri huu, usijifanye unajua kupenda sana just relax.
 
Back
Top Bottom