RwandAir imepata hasara kwa miaka minne mfululizo

Ndio maana ulipata div 0; rudia tena kusoma hiyo thread hususani para ya mwisho utaelewa vizuri zaidi; mtoa mada anachoshauri sio kufunga biashara bali KUJIPANGA SAWASAWA! Muraa upo hapo?!
Acha ukilaza wewe binti
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Kwamba hayo mapato ya utalii ni kwa ajili ya ruzuku kwenye mindege siyo?
Wananchi hawana maji safi, elimu duni miundombinu mibovu na wengine hawajui wale nini wala walale wapi halafu wewe unajifanya kuelewa...!!
Shame on you..
Ukishakuwa mfuasi wa lumumba buku7 inaonekana akili zinahamia kwenye wenzere!
Kwa ujinga huu mtasubiri sana.
 
Mie naona tatizo letu ni kutokuwa na wataalam(sijui kama wapo ila hawasikilizwi lol)…

….kungekuwa na wataalan wana uwezo wa kuforesee

kila kitu kabla ya kupurchase hilo lindege…..

sio tu kuweka ma probability,this will do this,

wakati in reality vitu viko tofauti.

mie naona pia wangewa engage wananchi katika miradi yake mingi,kuepusha malalamishi,wananchi kuwa resentful,kuona serikali na wao ni tofauti….

weekend hii...wacha tugonge vyombo😀
Hao wataalamu hawajipendi?
 
Kwa ujinga huu mtasubiri sana.
Afadhali ujinga kuliko upumbavu...
Mjinga huerevuka lakini mpumbavu atazidi kupumbazwa tu...!
Pole sana, bahati mbaya huo ugonjwa wako unaokusumbua hautibiki tena, umechelewa!
 
Maisha haya! Kwa siasa za kiafrika politics its all about "influence" and not "facts" once ukijitokeza una facts, logics, and innovative idea unaonekana traitor and snitch asie mzalendo lakini nafahamu siasa na facts havikai sehemu moja na Daima siasa inapoingilia dirishani kwenye nyumba uhalisia unatokea mlangoni..hivi havijawai kukaa sehemu moja labda kwa wenzetu wa majuu ambao wamepevuka tangu zamani kiakili.

Hili suala la kununuliwa kwa Dreamliner limemebwa zaidi kisiasa kuliko uhalisia na hata mkuu wa kaya alisema dhumuni lingine pia mbali na mingine yote ilikuwa ni kuondoa aibu..! Loh! Siasa ilitawala then uhalisia ukaruka dirisha ukaondoka zake maana hawa wawili ni Nuru na Giza kamwe akiwepo mmoja sharti mwingine aondoke. Baada ya kununuliwa Dreamliner siasa aliingilia dirishani na uhalisia utakuwa ushatutoroka na ndio maana hata mtandaoni tunabishana kwa siasa bila uhalisia wa mambo.

Nimebahatika kufahamu mechanism ya haya mawili ndio maana nakuletea uhalisia huu toka Rwandair ili tujue kwamba kuanzisha successful airline ni rahisi sana kusema ili utekelezaji wake ni Pasua kichwa...kwa hizi rekodi fupi zilizovuja zinathibitisha Rwandair ilipata hasara kwa miaka minne mfululizo kuanzia 2013.

Kwenye hii picha hapa chini inaonyesha statement of comprehensive income ya Rwandair kwa mwaka 2013-2014 ambapo kwa mwaka 2013 ilipata hasara ya dola milion 48 na serikali ikatoa dola milion 54 ili kuipiga jeki shirika liendelee kufanya kazi na waendelee kupata national prestige wakati kihualisia wanagugumia machungu. Nasisitiza juhudi zetu sisi wakosoaji wa hili suala sio kudidimimiza juhudi za serikali bali kutoa angalizo kwamba vita tulivyochagua kuvipigana ni vita vigumu na wanaoshinda ni wale walio na huge capital, innovative idea, resourceful, strong determined ambao ni wachache sana hapa afrika na Dunia.

Ila kwa vile hatukujiandaa vya kutosha kwenye hili...sio siri I can't see at the end of the tunnel.

Picha zingine za statement of comprehensive income nazileta kwenye comments hapa chini.

Stick around!View attachment 809296
 
Zinapozungumzwa faida za kuwa na shirika la ndege kiuchumi kuna faida za moja kwa moja kimapato (kwa shirika) na faida zisizo za moja kwa moja. Ukiangalia faida za moja kwa moja biashara ya airline ni ngumu na mara nyingi ina hasara.

Ila ukiangalia faida zisizo za moja kwa moja ni kama kuendesha viwanja wa ndege vikubwa (Dar, Zanzibar, Kilimanjaro na Mwanza) kama "hubs"na viwanja vya mikoa mingine. Hii inaleta ajira na kuingiza faida. Vile vile shirika la ndege linaweza kuongeza utalii kutoka idadi ndogo ya sasa ambayo ni kama 20-30% ya pato la taifa mpaka mara mbili ya hapo na zaidi. La tatu ni kuimarisha usafiri wa ndani (mobility) katika shughuli za kiuchumi na kijamii kati ya mkoa na mkoa (domestic routes).

Hoja ni kwamba kwa kuangalia faida hizi kwa upana, Tanzania haiwezi kulinganishwa na nchi nyingine za Afrika kutokana na "potential" ya sekta ya utalii, ukubwa wa nchi na ukuwaji wa uchumi ( ambao utaongeza uwezo wa wananchi kutumia ndege kwa shughuli za kibiashara na kijamii). Tanzania ina "potential" zaidi.

Mpaka sasa sijaona tafiti zilizofanywa Tanzania kuchanganua faida za shirika la ndege kwa upana huu. Wengi huangalia tu mahesabu ("balance sheet") ya shirika bila kufikiria hizi faida nyingine. Ni kama kufikiria faida ya kuwa na kiwanda kwa kuangalia uzalishaji tu bila kuangalia faida kwenye mnyororo wote wa thamani ("value chain").
 
Kwahiyo ukipats hasara unaacha biashara?

Inawezekana shirika linapata hasara lakini watalii wameongezeka kwa hiyo inafidia ndio maana serikali inatoa ruzuku.

Vitu vingine ukichukulia juujuu unaweza usielewe.
watalii hawaongezwi na uwepo wa ndege wewe acha uzuzu wako. inamana watu wanaenda israel kwasababu kuna ndege nyingi? kama hutangazi vivutio kutwa kucha wazir anashinda mitandaoni na kupiga picha na bunduki . kama una makodi ya ajabu kwa wageni kama haya mlionayo nyie hapa huyo mtalii atakuja kufanya nn?
 
inaweza kuwa hasara kwa mtazamo WA kihasibu lkn in a broad picture ya kinchi isiwe hasara ikiwa ni faida, kwa mf Kama shiriki lilisaidia kuongeza watalii ambao waliingiza faida maradufu na kutrade off hasara ya shirika hatuwez kusema kuwa nchi imepata hasara
 
Mkuu mbona povu? Siku yako imeanza vibaya nini? Nimezungumzia mnyororo wa thamani ("value chain") na jitihada za kuimarisha mnyororo huo kuanzia kuimarisha viwanja vya ndege, kanda mpya za utalii kusini nyanda za juu na utalii wa asili. Hizi jitihada naziona siku hadi siku. Sasa hizi ndio zitachagizwa na shirika la ndege. Mfano wako wa Israel hauendani na hoja yangu. Sijui Israel umeitoa wapi.

Kimsingi nakubaliana kwamba mapato ya moja kwa moja ya airline yanaweza kuleta hadara ndio maana nikazungumzia kuangalia faida kwa upana wa hiyo biashara na "ripple effect"
 
inaweza kuwa hasara kwa mtazamo WA kihasibu lkn in a broad picture ya kinchi isiwe hasara ikiwa ni faida, kwa mf Kama shiriki lilisaidia kuongeza watalii ambao waliingiza faida maradufu na kutrade off hasara ya shirika hatuwez kusema kuwa nchi imepata hasara
inaweza kuwa hasara kwa mtazamo WA kihasibu lkn in a broad picture ya kinchi isiwe hasara ikiwa ni faida, kwa mf Kama shiriki lilisaidia kuongeza watalii ambao waliingiza faida maradufu na kutrade off hasara ya shirika hatuwez kusema kuwa nchi imepata hasara
inaweza kuwa hasara kwa mtazamo WA kihasibu lkn in a broad picture ya kinchi isiwe hasara ikiwa ni faida, kwa mf Kama shiriki lilisaidia kuongeza watalii ambao waliingiza faida maradufu na kutrade off hasara ya shirika hatuwez kusema kuwa nchi imepata hasara
 
Ungeleta na mahesabu ya ATCL since 2000. Maana Shirima lipo siku zote. Then tutalinganisha na baada ya miaka minne ijayo.

Pili, ungetupatia na mahesabu y Tanesco ili tuone kama tunaweza achana na biashara ya kuzalisha, kisambaza na kuuza Umeme.

Tatu, angalia indirect profit ya national carrier, kama ilivyo issue ya kujenga miundombinu inayofacilitate biashara. Hizi ndizo hardwares za uchumi, Mkuu apambane tu na softwares sasa mambo yatakaa poa. Sio mtu anauza uji anasumbuliwa kibali ambacho tayari alishakikata.
 
Yaani wana very mediocre ideas na ajabu ukute hapa tunabishana na watu wafanya maamuzi makubwa serikalini.

Dark continent
Dark people
Dark ideas.
Afrika.

Hatutoboi!
Una uhakika upi kwamba wewe sio sehemu ya dark ideas. Usiweke watu wote kwenye kundi moja mkuu.

Kwa taarifa yako anayeongoza ATCL ni mtu aliyekubali kuacha kazi yake Senegal na kuja hapa Tanzania kwa sababu ya uzalendo wa taifa lake.

Usikariri jana ukadhani na leo itakuwa vile vile. Do not underestimate what we have in terms of having capable brains.
 
Maisha haya! Kwa siasa za kiafrika politics its all about "influence" and not "facts" once ukijitokeza una facts, logics, and innovative idea unaonekana traitor and snitch asie mzalendo lakini nafahamu siasa na facts havikai sehemu moja na Daima siasa inapoingilia dirishani kwenye nyumba uhalisia unatokea mlangoni..hivi havijawai kukaa sehemu moja labda kwa wenzetu wa majuu ambao wamepevuka tangu zamani kiakili.

Hili suala la kununuliwa kwa Dreamliner limemebwa zaidi kisiasa kuliko uhalisia na hata mkuu wa kaya alisema dhumuni lingine pia mbali na mingine yote ilikuwa ni kuondoa aibu..! Loh! Siasa ilitawala then uhalisia ukaruka dirisha ukaondoka zake maana hawa wawili ni Nuru na Giza kamwe akiwepo mmoja sharti mwingine aondoke. Baada ya kununuliwa Dreamliner siasa aliingilia dirishani na uhalisia utakuwa ushatutoroka na ndio maana hata mtandaoni tunabishana kwa siasa bila uhalisia wa mambo.

Nimebahatika kufahamu mechanism ya haya mawili ndio maana nakuletea uhalisia huu toka Rwandair ili tujue kwamba kuanzisha successful airline ni rahisi sana kusema ili utekelezaji wake ni Pasua kichwa...kwa hizi rekodi fupi zilizovuja zinathibitisha Rwandair ilipata hasara kwa miaka minne mfululizo kuanzia 2013.

Kwenye hii picha hapa chini inaonyesha statement of comprehensive income ya Rwandair kwa mwaka 2013-2014 ambapo kwa mwaka 2013 ilipata hasara ya dola milion 48 na serikali ikatoa dola milion 54 ili kuipiga jeki shirika liendelee kufanya kazi na waendelee kupata national prestige wakati kihualisia wanagugumia machungu. Nasisitiza juhudi zetu sisi wakosoaji wa hili suala sio kudidimimiza juhudi za serikali bali kutoa angalizo kwamba vita tulivyochagua kuvipigana ni vita vigumu na wanaoshinda ni wale walio na huge capital, innovative idea, resourceful, strong determined ambao ni wachache sana hapa afrika na Dunia.

Ila kwa vile hatukujiandaa vya kutosha kwenye hili...sio siri I can't see at the end of the tunnel.

Picha zingine za statement of comprehensive income nazileta kwenye comments hapa chini.

Stick around!View attachment 809296
Ingefurahisha kama facts zako zingeishia 2017, picha halisi ingeonekana, 2013 na 2014 sawa kabisa lakini miaka 2015, 2016, 2017 kunauwezekano yakawepo mabadiliko chanya. Hata hivyo biashara ya ndege ni biashara ya hasara average return ya biashara ya ndege ni hasi ( - negativie) kote duniani. Shirika la ndege inatunza hadhi ya taifa husika na mara nyingi huendeshwa na ruzuku kutoka serikalini. Hii nayo ni fact ambayo unatakiwa kuitilia maanani.
Nitajie mashairka ya ndege 10 duniani yanayomilkiwa na serikali ambayo yanapata faida. Ukifanya utafiti huu utashangaa. Hii nayo ni fact.
 
Back
Top Bottom