Mungu akulinde sanaMwaka 2015 Rwandair ilipata hasara ya dola milion 53 na serikali kutoa msaada wa zaidi ya dola milion 56 kulioiga jeki tena shirika ilhali wanyarwanda wanakula mlo mmoja kwa siku na Maisha yao yanazidi kuwa magumu maradufu. Picha hiyo hapo inaonyesha list ya mwaka 2014 hasara na grant View attachment 809300
..that is a transfer of knowledge siyo transfer of technology.
..transfer of technology ni pale boeing watakapotupa michoro ya ndege zao ili kutuwezesha waTz kuunda ndege zetu wenyewe.
NB:
..katika hoja yako nyingine ulisema ATCL itakuza BIASHARA.
..Sasa napenda kukueleza kwamba Tz iliongoza ktk kuvutia mitaji toka nje ktk ukanda wa Afrika Mashariki bila kuwa na shirika lake la ndege.
..Mabilioni yaliyonunua ndege yalipaswa kuwekezwa ktk maeneo yanayogusa watu wengi zaidi, na sekta zenye kuleta faida ya moja kwa moja.
..
So what? Tesla na Uber tangia zianzishwe hazijawahi kutengeneza faida, miaka yote wako kwenye red, mbona hao huwasemi au kwa sababu ni Muzungu?
Lkn waheshimiwa, hivi mlitaka taifa kubwa kama Tanzania lisiwe na ndege?
Maisha haya! Kwa siasa za kiafrika politics its all about "influence" and not "facts" once ukijitokeza una facts, logics, and innovative idea unaonekana traitor and snitch asie mzalendo lakini nafahamu siasa na facts havikai sehemu moja na Daima siasa inapoingilia dirishani kwenye nyumba uhalisia unatokea mlangoni..hivi havijawai kukaa sehemu moja labda kwa wenzetu wa majuu ambao wamepevuka tangu zamani kiakili.
Hili suala la kununuliwa kwa Dreamliner limemebwa zaidi kisiasa kuliko uhalisia na hata mkuu wa kaya alisema dhumuni lingine pia mbali na mingine yote ilikuwa ni kuondoa aibu..! Loh! Siasa ilitawala then uhalisia ukaruka dirisha ukaondoka zake maana hawa wawili ni Nuru na Giza kamwe akiwepo mmoja sharti mwingine aondoke. Baada ya kununuliwa Dreamliner siasa aliingilia dirishani na uhalisia utakuwa ushatutoroka na ndio maana hata mtandaoni tunabishana kwa siasa bila uhalisia wa mambo.
Nimebahatika kufahamu mechanism ya haya mawili ndio maana nakuletea uhalisia huu toka Rwandair ili tujue kwamba kuanzisha successful airline ni rahisi sana kusema ili utekelezaji wake ni Pasua kichwa...kwa hizi rekodi fupi zilizovuja zinathibitisha Rwandair ilipata hasara kwa miaka minne mfululizo kuanzia 2013.
Kwenye hii picha hapa chini inaonyesha statement of comprehensive income ya Rwandair kwa mwaka 2013-2014 ambapo kwa mwaka 2013 ilipata hasara ya dola milion 48 na serikali ikatoa dola milion 54 ili kuipiga jeki shirika liendelee kufanya kazi na waendelee kupata national prestige wakati kihualisia wanagugumia machungu. Nasisitiza juhudi zetu sisi wakosoaji wa hili suala sio kudidimimiza juhudi za serikali bali kutoa angalizo kwamba vita tulivyochagua kuvipigana ni vita vigumu na wanaoshinda ni wale walio na huge capital, innovative idea, resourceful, strong determined ambao ni wachache sana hapa afrika na Dunia.
Ila kwa vile hatukujiandaa vya kutosha kwenye hili...sio siri I can't see at the end of the tunnel.
Picha zingine za statement of comprehensive income nazileta kwenye comments hapa chini.
Stick around!View attachment 809296
Mkuu JokaKuu, kutoheshimu misingi ya kitaaluma ni sehemu ya umaskini wetu...hoja yako ingekuwa na mashiko kama RwandaAir wangekuwa wanapata faida.
..umesema RwandaAir walikuwa wakitumia anga la Tz na anga la Rw.
..sasa pamoja na hayo wamekuwa wakipata HASARA tangu shirika hilo lianzishwe.
..Now, what makes you believe kuwa sisi tukitumia anga la Tz tu, tutapata faida?
..Tukubaliane tu kuwa tumewekeza ktk mradi ambao utahitaji RUZUKU toka serekalini kwa muda mrefu.
But Tesla and Uber are private companies, they do not use public funds to run. Tumia akili ndugu
Tesla ni giant project hizo mkuu! Hawa jamaa chini ya spaceX ya Elon Musk wanataka kuchukua Mars iwe koloni lao..unadhani nani ndio atakuwa mkoloni its simple ni marekani sasa kwanini USA isifund hiyo project?Nani amekudanganya kwamba tesla na uber hawatumii fedha umma? Kwa sababj tu hayaitwi Mashirika ya umma kama kwetu haimaniishi kwamba US government haiweki fedha yake!
huoNa Jibu lako linaweza kuwa sababu kwanini sisi Watanzania ni maskini.
MaskiniNimekuuliza kistaarabu sana ili tupate suluhu lakini umenijibu kipumbavu sana mkuu.
Na Jibu lako linaweza kuwa sababu kwanini sisi Watanzania ni maskini.
Hana akili huyo hajui kampuni za mafuta za vyakula zinazouzia ndege zitauza sana Na ajira zitaongezeka Na TRA Na mamlaka ya viwanja vya ndege ziitapata pesa sana Na wauza samaki Mwanza watauza sana Kwa wakazi wa dar Wapanda ndege wanaonunua samaki Mwanza kupeleka Dar hilo litakuwa chadema Chadema ndio wenye IQ ndogo wakifuatiwa Na ACT wazalendoRafiki
mashirika ya ndege ya serikali ni investment za sadaka!..ziko kwa ajili ya kukuza sekta zingine
ukijenga barabarab ya bilioni 300 unapataje kujua barabara imeleta faida?.inakuza sekta zingine
utakapoacha kufananisha mashirika ya ndege ya serikali na yale ya binafsi ni faida kwako!....
Kubali umeachwa mbali sana
Kwa uwezo wako wa kufanya reasoning huu ...Tanzania ni haki yetu tuwe maskini maana ili nchi iendelee na kustawi lazma mentality and mindset ziwe za juu.huo
Maskini
Hana akili huyo hajui kampuni za mafuta za vyakula zinazouzia ndege zitauza sana Na ajira zitaongezeka Na TRA Na mamlaka ya viwanja vya ndege ziitapata pesa sana Na wauza samaki Mwanza watauza sana Kwa wakazi wa dar Wapanda ndege wanaonunua samaki Mwanza kupeleka Dar hilo litakuwa chadema Chadema ndio wenye IQ ndogo wakifuatiwa Na ACT wazalendo
Tesla ni giant project hizo mkuu! Hawa jamaa chini ya spaceX ya Elon Musk wanataka kuchukua Mars iwe koloni lao..unadhani nani ndio atakuwa mkoloni its simple ni marekani sasa kwanini USA isifund hiyo project?
Kwanza kumzungumzia mfano wa Tesla na ununuaji wa ndege Tanzania ni irrelevant and illogical... Yaani mbingu na ardhi. Watu wanafikiria kuchukua koloni huko Mars wewe unaleta habari gani?
Hatukosoi kununua ndege bali tunachokosoa ni Haikuwa muda sahihi kununua ndege...! Watanzania hawahitaji ndege wanahitaji elimu bora ili kesho wafyatue ndege zao hapa hapa nchini.
Hautakuwa na akili sahihi kama utasema Tesla hawajawahi kupata faida!? Nadhani hujui hata spaceX ikoje!? Na hujui project za Elon Musk zinavyokwenda kubadilisha Dunia.Mada inahusu Rwandair kuendeshwa kwa hasara kwa miaka 4 mfululizo na mimi nikajibu kwamba kuna Makampuni makubwa Duniani ambayo hayajawahi kufanya faida tangia yaanzishwe kama uber na tesla, hivyo faida au hasara ya nchi nyingine siyo kigezo cha sisi kuacha kufufua ATCL yetu, yhayo mengine ni nje ya Mada!
huo
Maskini
Hana akili huyo hajui kampuni za mafuta za vyakula zinazouzia ndege zitauza sana Na ajira zitaongezeka Na TRA Na mamlaka ya viwanja vya ndege ziitapata pesa sana Na wauza samaki Mwanza watauza sana Kwa wakazi wa dar Wapanda ndege wanaonunua samaki Mwanza kupeleka Dar hilo litakuwa chadema Chadema ndio wenye IQ ndogo wakifuatiwa Na ACT wazalendo
Yaani wana very mediocre ideas na ajabu ukute hapa tunabishana na watu wafanya maamuzi makubwa serikalini...hizo ajira haziwezi kupatikana bila kuwekeza MABILIONI ktk ununuzi wa ndege, na kuendelea kutoa RUZUKU mwaka hadi mwaka?
..unanikumbusha mheshimiwa mmoja alisema sgr itakuwa inabeba wauza mchicha toka dodoma kuwaleta Dsm.
Hii habari kamanda kwa upande wetu haitusaidii chochote..Rwanda na TZ nani ni more experi enced than the other.. nani ambayealianza shirika la ndege..je umelinganisha mazingira gani kati ya maeneo haya mawili..mazingira ya biashara yanafanana au hayafanani..?? Lakini pia nikwambie ungejua mojawapo ya madhumuni ya kurudisha airline yetu nadhani usingekuja kutukatisha tamaa hapa..hatuhitaji..huwezi kutaka maendeleo halafu unakuwa unaogopa ogopa eti kuanguka..hivi unajua Billy Gates na matajiri wengi Duniani walivyoanzisha biashara walianguka mara ngapi kabla hawajakamata kasi ya uhakika..??? Mwanamme haogopiogop namna hii aisee...acha tabia za kike hizo..Maisha haya! Kwa siasa za kiafrika politics its all about "influence" and not "facts" once ukijitokeza una facts, logics, and innovative idea unaonekana traitor and snitch asie mzalendo lakini nafahamu siasa na facts havikai sehemu moja na Daima siasa inapoingilia dirishani kwenye nyumba uhalisia unatokea mlangoni..hivi havijawai kukaa sehemu moja labda kwa wenzetu wa majuu ambao wamepevuka tangu zamani kiakili.
Hili suala la kununuliwa kwa Dreamliner limemebwa zaidi kisiasa kuliko uhalisia na hata mkuu wa kaya alisema dhumuni lingine pia mbali na mingine yote ilikuwa ni kuondoa aibu..! Loh! Siasa ilitawala then uhalisia ukaruka dirisha ukaondoka zake maana hawa wawili ni Nuru na Giza kamwe akiwepo mmoja sharti mwingine aondoke. Baada ya kununuliwa Dreamliner siasa aliingilia dirishani na uhalisia utakuwa ushatutoroka na ndio maana hata mtandaoni tunabishana kwa siasa bila uhalisia wa mambo.
Nimebahatika kufahamu mechanism ya haya mawili ndio maana nakuletea uhalisia huu toka Rwandair ili tujue kwamba kuanzisha successful airline ni rahisi sana kusema ili utekelezaji wake ni Pasua kichwa...kwa hizi rekodi fupi zilizovuja zinathibitisha Rwandair ilipata hasara kwa miaka minne mfululizo kuanzia 2013.
Kwenye hii picha hapa chini inaonyesha statement of comprehensive income ya Rwandair kwa mwaka 2013-2014 ambapo kwa mwaka 2013 ilipata hasara ya dola milion 48 na serikali ikatoa dola milion 54 ili kuipiga jeki shirika liendelee kufanya kazi na waendelee kupata national prestige wakati kihualisia wanagugumia machungu. Nasisitiza juhudi zetu sisi wakosoaji wa hili suala sio kudidimimiza juhudi za serikali bali kutoa angalizo kwamba vita tulivyochagua kuvipigana ni vita vigumu na wanaoshinda ni wale walio na huge capital, innovative idea, resourceful, strong determined ambao ni wachache sana hapa afrika na Dunia.
Ila kwa vile hatukujiandaa vya kutosha kwenye hili...sio siri I can't see at the end of the tunnel.
Picha zingine za statement of comprehensive income nazileta kwenye comments hapa chini.
Stick around!View attachment 809296
Haya maneno ya kutunga wajameni yatatufikisha wapi..?? Au nyinyi ni warwanda mnataka mtukatishe tamaa ili shirika lenu lisipate challenge sio..hapa mmegonga mwamba..tafuteni story nyingineKagame anatuingiza chaka.
Magu alivyosema, Kagame alimwambia "we nunua tu, usiogope" nikasema hapa tushaingizwa cha kike.
Ina maana Magu kakosa wakumshauri bongo mpk Kagame?
Unataka kuiga twaweza, shauri yakoKwahiyo unataka tufanye nini? Hii draft mtu yoyote anaweza kutengeneza acheni utoto kama siasa zimewashinda kaeni kimya nchi inasonga mbeleView attachment 809307View attachment 809308