RwandAir imepata hasara kwa miaka minne mfululizo

RwandAir imepata hasara kwa miaka minne mfululizo

Mie naona tatizo letu ni kutokuwa na wataalam(sijui kama wapo ila hawasikilizwi lol)…

….kungekuwa na wataalan wana uwezo wa kuforesee

kila kitu kabla ya kupurchase hilo lindege…..

sio tu kuweka ma probability,this will do this,

wakati in reality vitu viko tofauti.

mie naona pia wangewa engage wananchi katika miradi yake mingi,kuepusha malalamishi,wananchi kuwa resentful,kuona serikali na wao ni tofauti….

weekend hii...wacha tugonge vyombo😀
 
Kagame anatuingiza chaka.
Magu alivyosema, Kagame alimwambia "we nunua tu, usiogope" nikasema hapa tushaingizwa cha kike.

Ina maana Magu kakosa wakumshauri bongo mpk Kagame?
Huyu hapa anaitwa David himbara ni mnyarwanda anaeishi uhamishoni aliliona hili na katoa angalizo tangu zamani but hakuna aliempa attention wamenunua ngoja tumuache muda hakimu wa haki aamue. Jamaa alisema hivi;
Presidents Museveni and Magufuli, do you really want to travel this route Excellencies, your countries are well-served by major global airlines. International and regional airlines connect the two countries to key destinations. What is it that national airlines will perform — which other airlines cannot do? Or is this about a desire for creating a prestigious symbol to project Uganda and Tanzania, internationally? Be that as it may, your Excellencies, do not fall into RwandAir’s trap. The airline is a disastrous experiment — it is no model for any country with a clear vision and people-centered priorities."

Mwisho wa kunukuu.
 
Lkn waheshimiwa, hivi mlitaka taifa kubwa kama Tanzania lisiwe na ndege?
 
Statement zetu ziko wapi?
Thubuutu!! Haiwezi kuwekwa public but muda utasema nini kilifanyika. Kuna viwili ambavyo huwezi kuvidanganya muda na kifo hawa wako smart sana muda ukifika umefika na kifo kikifika kimefika.

Don't worry, I'll wait.
 
So what? Tesla na Uber tangia zianzishwe hazijawahi kutengeneza faida, miaka yote wako kwenye red, mbona hao huwasemi au kwa sababu ni Muzungu?

..Tesla na Uber hazikuanzishwa na fedha za serekali / umma.

..Pia hivi Muzungu akifanya jambo na sisi inabidi tuige?

..Je, unataka kusema it is OK kwa ATCL kutuingiza hasara kwasababu Tesla ya Muzungu inapata hasara?
 
Lkn waheshimiwa, hivi mitaka taifa kubwa kama Tanzania lisiwe na ndege?
Tulitaka sana kuiona midege ya aina hii but kwa kununua ndege yenye uwezo ule kwa wakati huu, Haikuwa right time..sio muda sahihi.

Kila kitu ni hatua, kuna hatua tumeziruka tunataka kupita shortcut wakati inajulikana wazi shortcut is always a wrong way.

Tutarudi kuanza tu tulipoparuka.
 
..serekali wawe wakweli kwamba shirika hili litatuletea hasara hivyo inabidi kulipa RUZUKU ili liendelee kuwepo.

..mapato yanayotokana na utalii yanapaswa kutumika ktk miradi ya maendeleo inayowagusa waTz moja kwa moja, kuhudumia jamii zilizo karibu na vivutio vya utalii, na shughuli za uhifadhi.

..ni makosa mapato ya utalii kuwekeza ktk mradi usioweza kujiendesha au anaoendeshwa kwa HASARA.
Huko tuendako Serikali isifiche udhaifu wa uendeshaji wa shirika kwa kisingizio cha utalii. Kama target ni watalii ATcl wasaini makuliano na Tanapa ya kushare profit ili tujue atcl itachangia kiasi gani kwenye utaliii
 
..Tesla na Uber hazikuanzishwa na fedha za serekali / umma.

..Pia hivi Muzungu akifanya jambo na sisi inabidi tuige?

..Je, unataka kusema it is OK kwa ATCL kutuingiza hasara kwasababu Tesla ya Muzungu inapata hasara?
Umetumia uhalisia kuwaza na sio siasa...utaona mengi ambao wanasiasa hawayaoni.

Siasa si asa bali visa na mikasa.
 
Kwa hiyo unataka tufanyaje na hii habari yako..

Umeumia aana hiyo ndege kutua nchini.. inaonekana ukikuwa unafanya madunbshwa yako sasa umeshushuka.. na bado

Endelea kupiga domo na kusoma kila kona ya mitandao hadi macho yako yakupasuke..

Hapa kazi tu

Magufuli oyeeeeeeeee
Mkuu yamkini ndugu zako kule kijijini bado wanahangaika na shida ya maji na hata nishati ya umeme.. Yumkini nao wanatafuta elimu kwa ugumu uliotafuta ww... Unafikiri ni sahihi wao kupitia shida ulizopitia ww???? Kwann haufikirii ndugu zako hao wapate elimu bora na hata maji safi na salama????... Kwann hufikirii ndugu zako hao wafikiwe na nishati ya umeme.... Hayo ni machache tyuuu

unafikiri kwa hasara iliyopata serikali kweny bombadier isingeweza kutumika kununua vitabu mashuleni ili mdogowako asome???? Hufikirii ingeweza kumlipa mwalimu aweze kupata moyo wa kufundisha????

cjui nani alituloga watanzania
 
kumbe mwalimu paulo ndo amemfundisha .. ndo ubaya wa kufundishwa na mwalimu alyepata three
 
Mkuu yamkini ndugu zako kule kijijini bado wanahangaika na shida ya maji na hata nishati ya umeme.. Yumkini nao wanatafuta elimu kwa ugumu uliotafuta ww... Unafikiri ni sahihi wao kupitia shida ulizopitia ww???? Kwann haufikirii ndugu zako hao wapate elimu bora na hata maji safi na salama????... Kwann hufikirii ndugu zako hao wafikiwe na nishati ya umeme.... Hayo ni machache tyuuu

unafikiri kwa hasara iliyopata serikali kweny bombadier isingeweza kutumika kununua vitabu mashuleni ili mdogowako asome???? Hufikirii ingeweza kumlipa mwalimu aweze kupata moyo wa kufundisha????

cjui nani alituloga watanzania
Inashangaza yaani mtu hata kufikiri kwa kutumia akili ya kawaida anashindwa kabisa.

Yaani kama hadi Leo serikali haijajua exactly kwanini Watanzania ni maskini na kujua mechanism za kuutatua huu umaskini then tunaqualify kuitwa nyani na wazungu maana Nyani ndio hawajielewi licha ya kuwa na civilization flani huko kwenye clan zao porini.

At least Mwl Nyerere aliweza kuanisha maadui wa tatu..ujinga akiwa wa kwanza maana alijua watu walihitaji kubalidi mindset na kupata quality education tu then kila kitu kinaweza badilika. Alijaribu na kila mtu aliona.

But kwa zama hizi sijui?
 
Tulitaka sana kuiona midege ya aina hii but kwa kununua ndege yenye uwezo ule kwa wakati huu, Haikuwa right time..sio muda sahihi.

Kila kitu ni hatua, kuna hatua tumeziruka tunataka kupita shortcut wakati inajulikana wazi shortcut is always a wrong way.

Tutarudi kuanza tu tulipoparuka.
Ahaaa! Hapo nimekuelewa sasa. Kumbe tulichofanya ni sawa na machinga kuamua kununua gari aina ya Hammer wakati hajui hata gharama za kumiliki Corola.
 
Inashangaza yaani mtu hata kufikiri kwa kutumia akili ya kawaida anashindwa kabisa.

Yaani kama hadi Leo serikali haijajua exactly kwanini Watanzania ni maskini na kujua mechanism za kuutatua huu umaskini then tunaqualify kuitwa nyani na wazungu maana Nyani ndio hawajielewi licha ya kuwa na civilization flani huko kwenye clan zao.

At least Mwl Nyerere aliweza kuanisha maadui wa tatu..ujinga akiwa wa kwanza maana alijua watu walihitaji kubalidi mindset na kupata quality education tu then kila kitu kinaweza badilika. Alijaribu na kila mtu aliona.

But kwa zama hizi sijui?
Zama hizi zimebadilika mkuu... Wasio na elimu wanapewa nyazfa za juu kabisa... Halafu wenye elimu nao wameamua kulamba makalio Yawalio juu

so sad
 
Mkuu mbona hizi ni habari za siku nyingi sana sema wewe ndo umeziona leo ukadai zimevuja. Kama ni kuvuja zilivuja zamani like some months back.
 
Umetumia siasa kuwaza ndio maana uhalisia na logic vimekimbia unaandika tu Kama hayawani!

Siku ukipona urudi tena tuargue kwa logic and facts...na vijembe vya siasa.

Mnatumia siasa kuwaza ndio maana ndege yetu mmeiandika hapa kazi tu, huku Kenya yao wakiandika Serengeti plains.

Afrika no good!


Jibu lako zuri sanaa..
 
Ahaaa! Hapo nimekuelewa sasa. Kumbe tulichofanya ni sawa na machinga kuamua kununua gari aina ya Hammer wakati hajui hata gharama za kumiliki Corola.
Wala haihitaji akili kubwa kuelewa haya...its just that simple mkuu.
 
Back
Top Bottom