RwandAir imepata hasara kwa miaka minne mfululizo

RwandAir imepata hasara kwa miaka minne mfululizo

Sio kila biashara inaanza na faida, cha muhimu ni kuwa na positive Cashflows projections in the future.

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app

..haina tatizo.

..wanachotakiwa waueleze umma HASARA ya kila mwaka, mpaka pale shirika litakapoweza kusimama lenyewe.

..pia umma uelezwe fedha zilizotumika kununua ndege zitakuwa zimerejeshwa baada ya miaka mingapi.

Cc Chakaza
 
Rwanda wameonyesha financials zao hopeful when time comes ATCL would do the same. Nafikiri bado wanatengeneza mwelekeo by the way uliona vacancy kibao walizotangaza, wanajipanga labda.

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi tumekuwa wataalam wa aviation kwa kusoma google badala ya kufanya utafiti wa kutosha au kuwatafuta wataalamu wa fani husika watufafanulie.

Most of state owned airline company haziingizi faida directly lakini zinachochea sana ukuaji wa sekta nyingine nyingi indirectly ndio maana licha ya kupata hasara lakini still serikali zao wanaendelea kuwapa fedha badala ya kuyafuta hayo mashirika
 
Kwahiyo ukipats hasara unaacha biashara?

Inawezekana shirika linapata hasara lakini watalii wameongezeka kwa hiyo inafidia ndio maana serikali inatoa ruzuku.

Vitu vingine ukichukulia juujuu unaweza usielewe.
mkuu ,ili biashara iendelee inahitaji kwanza kupata wateja,pili kupata faida,tatu kukua.

kama unafanya biashara na hakuna wateja ,ni vigumu kupa faida ,na kama unapata faida na haikui basi kuna uzembe pia na kukosa malengo.

huwezi ukawa na frem 2 za duka na wafanyakazi wake halafu uchukue mapato ya frem moja ukalipie ingine .
hakikisha kila sekem inajitegemea ili kuweka rekodi sawa.
 
Wabongo bhana kumbe uchawi ulianza zamani. Hakika Mtapata tabu Sana
 
mkuu ,ili biashara iendelee inahitaji kwanza kupata wateja,pili kupata faida,tatu kukua.

kama unafanya biashara na hakuna wateja ,ni vigumu kupa faida ,na kama unapata faida na haikui basi kuna uzembe pia na kukosa malengo.

huwezi ukawa na frem 2 za duka na wafanyakazi wake halafu uchukue mapato ya frem moja ukalipie ingine .
hakikisha kila sekem inajitegemea ili kuweka rekodi sawa.
Hapa ndio mnapokosea aviation business iko tofauti faida kubwa inakuja indirectly
 
Kwahiyo ukipats hasara unaacha biashara?

Inawezekana shirika linapata hasara lakini watalii wameongezeka kwa hiyo inafidia ndio maana serikali inatoa ruzuku.

Vitu vingine ukichukulia juujuu unaweza usielewe.
Yaani Bongo kiukweli ni shida.hivi mtoa mada hana taarifa anaamini kabisa kama serikali haitambui kama kuna hasara kuanzisha mradi huu? Anadhani ana taarifa za Rwandair kushinda serikali iliyopata ushauri kwa mhusika? Hana taarifa kama nchi ina wachumi? Naamini watanzania mengine tunaji overload hatuna uwezo navyo
 
1. Kufufua ATL ilikuwa ni moja ya kipaumbele cha UKAWA mbona hakuna aliyemkosoa LOWASSA? 2. Vyovyote vile, kufufuliwa kwa ATL itabaki kuwa hoja nzuri na makini kama kichocheo cha kukua kwa uchumi wa nchi. 3. Ndege ni ASSET, inawezekana asset hii isikufae wewe leo lakini ikamfaa mtanzania wa miaka 20 au 30 ijayo. 4. Biashara yoyote duniani ina hasara na faida na si wakati wote ni hasara au faida tu, tunawezapata hasara mfululizo hata miaka 4 au zaidi lkn kupitia ndege hiyo hiyo tukawa tunapata faida kwenye sekta nyingine pia, ikafika miaka ya mbele tukapata faida zaidi.
 
Nilikuwa sijaiona hii! HAPA KAZI TU! Afu kule Mkenya kaandika yake SERENGETI PLAINS! Shabash
Uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo sana. Maandishi kama hauo 'hapa kazi tu', hayana hata maana yoyote. Kama ndege ililenga utalii hata maneno yanayoandikwa yalistahili kulenga hilo. Halafu tunaandika ujinga mtupu, eti HAPA KAZI TU.
 
Kwahiyo ukipats hasara unaacha biashara?

Inawezekana shirika linapata hasara lakini watalii wameongezeka kwa hiyo inafidia ndio maana serikali inatoa ruzuku.

Vitu vingine ukichukulia juujuu unaweza usielewe.
Kwamba hayo mapato ya utalii ni kwa ajili ya ruzuku kwenye mindege siyo?
Wananchi hawana maji safi, elimu duni miundombinu mibovu na wengine hawajui wale nini wala walale wapi halafu wewe unajifanya kuelewa...!!
Shame on you..
Ukishakuwa mfuasi wa lumumba buku7 inaonekana akili zinahamia kwenye wenzere!
 
Hivi kuna mfanyabiashara ambaye hakuwahi kupata hasara? Je,mfanyabiashara akipata hasara anaikacha biashara yake? Mazingira ya kanchi kama Rwanda na turasilimali twake yanaweza kulinganishwa na Tanzania na rasilimali zake? Fikiria upya mkuu kisha andika tena kuimarisha hoja yako
 
Waafrika chini ya jangwa na sahara tunaamua kwa hisia kuliko uhalisia wa jambo hapo ndio tuna feli,Tanzania ingeliidhatiti kwenye usafari wa ndani "domesic",baada ya kufanikiwa kwa usafiri wa ndani, ndio tungelipeleka nguvu zetu kwenye safari za nje (International)...
 
Kwahiyo ukipats hasara unaacha biashara?

Inawezekana shirika linapata hasara lakini watalii wameongezeka kwa hiyo inafidia ndio maana serikali inatoa ruzuku.

Vitu vingine ukichukulia juujuu unaweza usielewe.
Kama unafanya biashara lkn kuna bidhaa kila mara inakupa hasara unaachana nalo, hamna namna hapo vinginevyo hujui unachokifanya make hiyo hali lazima itaathiri "Profitability".

Kwa upande wa nchi, ukiona wanang'ang'ania kitu sana hata kama halina faida kwa taifa basi ujue ni kwa sababu ya ufisadi au kicks za kisiasa zisizo na faida kwa wananchi.
 
Kuna mazingira tofauti ya kijiografia kati ya Rwanda na Tanzania. Rwanda went into this business hoping that rwandair would serve Uganda, Tanzania, Burundi, Drc and South Sudan. Unfortunately Tanzania and Uganda have re-established their airlines. Kwa rwandair I don’t believe west Africa route is profitable. The airline will face lean time to compete with KQ and ET who have wider connections. Sisi tukishindwa tunaweza kutoa huduma ndani kama Dar-Mwanza/Mbeya/KIA na bado ikalipa, wao hawana route za ndani ya nchi
 
Siku hizi tumekuwa wataalam wa aviation kwa kusoma google badala ya kufanya utafiti wa kutosha au kuwatafuta wataalamu wa fani husika watufafanulie.

Most of state owned airline company haziingizi faida directly lakini zinachochea sana ukuaji wa sekta nyingine nyingi indirectly ndio maana licha ya kupata hasara lakini still serikali zao wanaendelea kuwapa fedha badala ya kuyafuta hayo mashirika

..naona unataka kusema UKWELI lakini unasita.

..na ukweli wenyewe ni kwamba waTZ tukae mkao wa kula HASARA na kutoa RUZUKU kwa ATCL.

..tayari tumeshachoma Usd 100++ million kununua hizo ndege. Lakini bado tunataka kuongeza na ruzuku ya mwaka hadi mwaka. Je, hiyo ni busara, au kubana matumizi?

..Tanzania ilishaweza kuongeza idadi ya Watalii bila kuwa na shirika letu la ndege. Tunapata watalii wengi kuliko Kenya yenye shirika la ndege.

..Tulichotakiwa kufanya ni kusumbua bongo zetu tuongeze idadi ya watalii bila kujiingiza kwenye mradi wa hasara kama umiliki wa shirika la ndege.

..Binafsi siamini kama maeneo yote ya utalii yameboreshwa kuweza kupokea watalii. Vivutio vilivyoko kusini bado havina miundombinu ya kuweza kupokea watalii wengi. Zaidi, vivutio hivyo havijatangazwa vya kutosha.

..Again, binafsi naangalia OPPORTUNITY COST ya kununua hayo madege. Naamini mabilioni hayo yalipaswa kuwekezwa kwa waTz wenyewe ktk sekta ambazo zinagusa watu wengi na kuleta faida ya moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom