RwandAir imepata hasara kwa miaka minne mfululizo

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
4,781
Reaction score
14,442
Maisha haya! Kwa siasa za kiafrika politics its all about "influence" and not "facts" once ukijitokeza una facts, logics, and innovative idea unaonekana traitor and snitch asie mzalendo lakini nafahamu siasa na facts havikai sehemu moja na Daima siasa inapoingilia dirishani kwenye nyumba uhalisia unatokea mlangoni..hivi havijawai kukaa sehemu moja labda kwa wenzetu wa majuu ambao wamepevuka tangu zamani kiakili.

Hili suala la kununuliwa kwa Dreamliner limemebwa zaidi kisiasa kuliko uhalisia na hata mkuu wa kaya alisema dhumuni lingine pia mbali na mingine yote ilikuwa ni kuondoa aibu..! Loh! Siasa ilitawala then uhalisia ukaruka dirisha ukaondoka zake maana hawa wawili ni Nuru na Giza kamwe akiwepo mmoja sharti mwingine aondoke. Baada ya kununuliwa Dreamliner siasa aliingilia dirishani na uhalisia utakuwa ushatutoroka na ndio maana hata mtandaoni tunabishana kwa siasa bila uhalisia wa mambo.

Nimebahatika kufahamu mechanism ya haya mawili ndio maana nakuletea uhalisia huu toka Rwandair ili tujue kwamba kuanzisha successful airline ni rahisi sana kusema ili utekelezaji wake ni Pasua kichwa...kwa hizi rekodi fupi zilizovuja zinathibitisha Rwandair ilipata hasara kwa miaka minne mfululizo kuanzia 2013.

Kwenye hii picha hapa chini inaonyesha statement of comprehensive income ya Rwandair kwa mwaka 2013-2014 ambapo kwa mwaka 2013 ilipata hasara ya dola milion 48 na serikali ikatoa dola milion 54 ili kuipiga jeki shirika liendelee kufanya kazi na waendelee kupata national prestige wakati kihualisia wanagugumia machungu. Nasisitiza juhudi zetu sisi wakosoaji wa hili suala sio kudidimimiza juhudi za serikali bali kutoa angalizo kwamba vita tulivyochagua kuvipigana ni vita vigumu na wanaoshinda ni wale walio na huge capital, innovative idea, resourceful, strong determined ambao ni wachache sana hapa afrika na Dunia.

Ila kwa vile hatukujiandaa vya kutosha kwenye hili...sio siri I can't see at the end of the tunnel.

Picha zingine za statement of comprehensive income nazileta kwenye comments hapa chini.

Stick around!
1-K3hpqaULhkXW2kdVOA6_Yw%402x.jpeg
 
Mwaka 2015 Rwandair ilipata hasara ya dola milion 53 na serikali kutoa msaada wa zaidi ya dola milion 56 kulioiga jeki tena shirika ilhali wanyarwanda wanakula mlo mmoja kwa siku na Maisha yao yanazidi kuwa magumu maradufu. Picha hiyo hapo inaonyesha list ya mwaka 2014 hasara na grant
1-J5Xt4mzFjEZ_HBx0CczsiQ%402x.jpeg
 
Kwa hiyo unataka tufanyaje na hii habari yako..

Umeumia aana hiyo ndege kutua nchini.. inaonekana ukikuwa unafanya madunbshwa yako sasa umeshushuka.. na bado

Endelea kupiga domo na kusoma kila kona ya mitandao hadi macho yako yakupasuke..

Hapa kazi tu

Magufuli oyeeeeeeeee
 
Umetumia siasa kuwaza ndio maana uhalisia na logic vimekimbia unaandika tu Kama hayawani!

Siku ukipona urudi tena tuargue kwa logic and facts...na sio vijembe vya siasa.

Mnatumia siasa kuwaza ndio maana ndege yetu mmeiandika hapa kazi tu, huku Kenya yao wakiandika Serengeti plains.

Afrika no good!
 
Maisha haya! Kwa siasa za kiafrika politics its all about "influence" and not "facts" once ukijitokeza una facts, logics, and innovative idea unaonekana traitor and snitch asie mzalendo lakini nafahamu siasa na facts havikai sehemu moja na Daima siasa inapoingilia dirishani kwenye nyumba uhalisia unatokea mlangoni..hivi havijawai kukaa sehemu moja labda kwa wenzetu wa majuu ambao wamepevuka tangu zamani kiakili.

Hili suala la kununuliwa kwa Dreamliner limemebwa zaidi kisiasa kuliko uhalisia na hata mkuu wa kaya alisema dhumuni lingine pia mbali na mingine yote ilikuwa ni kuondoa aibu..! Loh! Siasa ilitawala then uhalisia ukaruka dirisha ukaondoka zake maana hawa wawili ni Nuru na Giza kamwe akiwepo mmoja sharti mwingine aondoke. Baada ya kununuliwa Dreamliner siasa aliingilia dirishani na uhalisia utakuwa ushatutoroka na ndio maana hata mtandaoni tunabishana kwa siasa bila uhalisia wa mambo.

Nimebahatika kufahamu mechanism ya haya mawili ndio maana nakuletea uhalisia huu toka Rwandair ili tujue kwamba kuanzisha successful airline ni rahisi sana kusema ili utekelezaji wake ni Pasua kichwa...kwa hizi rekodi fupi zilizovuja zinathibitisha Rwandair ilipata hasara kwa miaka minne mfululizo kuanzia 2013.

Kwenye hii picha hapa chini inaonyesha statement of comprehensive income ya Rwandair kwa mwaka 2013-2014 ambapo kwa mwaka 2013 ilipata hasara ya dola milion 48 na serikali ikatoa dola milion 54 ili kuipiga jeki shirika liendelee kufanya kazi na waendelee kupata national prestige wakati kihualisia wanagugumia machungu. Nasisitiza juhudi zetu sisi wakosoaji wa hili suala sio kudidimimiza juhudi za serikali bali kutoa angalizo kwamba vita tulivyochagua kuvipigana ni vita vigumu na wanaoshinda ni wale walio na huge capital, innovative idea, resourceful, strong determined ambao ni wachache sana hapa afrika na Dunia.

Picha zingine za statement of comprehensive income nazileta kwenye comments hapa chini.

Stick around!View attachment 809296
Kwahiyo unataka tufanye nini? Hii draft mtu yoyote anaweza kutengeneza acheni utoto kama siasa zimewashinda kaeni kimya nchi inasonga mbele
tapatalk_1531594975911.jpeg
tapatalk_1531594936696.jpeg
 
So what? Tesla na Uber tangia zianzishwe hazijawahi kutengeneza faida, miaka yote wako kwenye red, mbona hao huwasemi au kwa sababu ni Muzungu?
 
Kwahiyo ukipats hasara unaacha biashara?

Inawezekana shirika linapata hasara lakini watalii wameongezeka kwa hiyo inafidia ndio maana serikali inatoa ruzuku.

Vitu vingine ukichukulia juujuu unaweza usielewe.

..serekali wawe wakweli kwamba shirika hili litatuletea hasara hivyo inabidi kulipa RUZUKU ili liendelee kuwepo.

..mapato yanayotokana na utalii yanapaswa kutumika ktk miradi ya maendeleo inayowagusa waTz moja kwa moja, kuhudumia jamii zilizo karibu na vivutio vya utalii, na shughuli za uhifadhi.

..ni makosa mapato ya utalii kuwekeza ktk mradi usioweza kujiendesha au anaoendeshwa kwa HASARA.
 
Kagame anatuingiza chaka.
Magu alivyosema, Kagame alimwambia "we nunua tu, usiogope" nikasema hapa tushaingizwa cha kike.

Ina maana Magu kakosa wakumshauri bongo mpk Kagame?
 
Kwahiyo unataka tufanye nini? Hii draft mtu yoyote anaweza kutengeneza acheni utoto kama siasa zimewashinda kaeni kimya nchi inasonga mbeleView attachment 809307View attachment 809308
Nakupa hii hapa overall ya miaka miwili imesainiwa na mamlaka za serikali ya Rwanda kabisa.

Hii jumla ya mwaka 2013 na 2014 shirika la Rwandair lilikuwa na hasara ya zaidi ya dola million $222m.

Hakuna asiejua hii biashara ya aviation ni pasua kichwa mkuu.

Tujikaze tu tuone kama tutafanikiwa.
1-iPaARl3BvNz-CRF2rFN9yw%402x-1.jpeg
 
Back
Top Bottom