RwandAir imepata hasara kwa miaka minne mfululizo

RwandAir imepata hasara kwa miaka minne mfululizo

Kwamba hayo mapato ya utalii ni kwa ajili ya ruzuku kwenye mindege siyo?
Wananchi hawana maji safi, elimu duni miundombinu mibovu na wengine hawajui wale nini wala walale wapi halafu wewe unajifanya kuelewa...!!
Shame on you..
Ukishakuwa mfuasi wa lumumba buku7 inaonekana akili zinahamia kwenye wenzere!
Come on guys mmekaa miaka mingapi bila maji wala dawa hospitali? We are so blind mpaka tunajifanya kusahau .JPM hamtampata tena kwa kizazi hiki subirini waingie wanaojilipa masurufu na kushinda angani mi naamini hao ndo wanaowafaa ila naamini mindset za watu wengi humu Ina myopia
 
Una uhakika upi kwamba wewe sio sehemu ya dark ideas. Usiweke watu wote kwenye kundi moja mkuu.

Kwa taarifa yako anayeongoza ATCL ni mtu aliyekubali kuacha kazi yake Senegal na kuja hapa Tanzania kwa sababu ya uzalendo wa taifa lake.

Usikariri jana ukadhani na leo itakuwa vile vile. Do not underestimate what we have in terms of having capable brains.
"Waafrika hamnaga akili"...eti kuacha kazi Senegal.. Ni sawa sawa na msenegal aache kazi Tanzania then arudi kwao aseme ameacha kazi Tanzania then tukajustify kwamba ana professionalism na modernity.

Kaangalie staff ya Ethiopian airline ndio utajua hii kazi inataka huge capital, resources, strong determined, world call staff and administrators e.t.c
 
Ingefurahisha kama facts zako zingeishia 2017, picha halisi ingeonekana, 2013 na 2014 sawa kabisa lakini miaka 2015, 2016, 2017 kunauwezekano yakawepo mabadiliko chanya. Hata hivyo biashara ya ndege ni biashara ya hasara average return ya biashara ya ndege ni hasi ( - negativie) kote duniani. Shirika la ndege inatunza hadhi ya taifa husika na mara nyingi huendeshwa na ruzuku kutoka serikalini. Hii nayo ni fact ambayo unatakiwa kuitilia maanani.
Nitajie mashairka ya ndege 10 duniani yanayomilkiwa na serikali ambayo yanapata faida. Ukifanya utafiti huu utashangaa. Hii nayo ni fact.
Sasa kuna haja gani ya kufanya biashara ambayo itatugharimu pesa nyingi kwa ajili ya kui run?

Ndio sababu Mimi naamini...Haikuwa muda sahihi kununua haya madege..tumeruka steji...hatujatambaa tunataka kutembea. Kuna sekta zimekuwa ignored ambazo ndio pillar ya kuendesha mashirika ya ndege kwa hasara ndogo tu.
 
[QUOTE=" Kuna sekta zimekuwa ignored ambazo ndio pillar ya kuendesha mashirika ya ndege kwa hasara ndogo tu.[/QUOTE]

Hebu toa mfano wa hii sentensi na useme tungesubiri mpaka lini ndio tuanzishe Airline.

Tatizo lako ni kwamba unatetea hoja kwa kuangalua faida za mauzo ya ticket+cargo tu na hutaki kukubali faida nyingine za airline hata uelezwe vipi. Hakuna utafiti wowote unaoonesha mnyororo wa biashara ya airline (airports, utalii, hotels etc kwa pamoja -collectively -vina hasara). Jitihada za sasa za kutuza utalii ni lazima ziende sambaba na kufufua airports na shirika la ndege.
Hata kama ATCL itapata hasara miaka miwili mitatu ya mwanza lazini ile ripple effect itakuza utalii toka 20-30% kwa sasa mpaka mara mbili yake au zaidi.

Niambie nchi inayoingiza watalii zaidi ya millioni tatu/nne kwa mwaka ambayo haina shirika lake la ndege.
 
"Waafrika hamnaga akili"...eti kuacha kazi Senegal.. Ni sawa sawa na msenegal aache kazi Tanzania then arudi kwao aseme ameacha kazi Tanzania then tukajustify kwamba ana professionalism na modernity.

Kaangalie staff ya Ethiopian airline ndio utajua hii kazi inataka huge capital, resources, strong determined, world call staff and administrators e.t.c
Mkuu, watu waliopewa hizi nafasi wanajua wanafanya nini. Usidharau taaluma ya watu kwa kutegemea kwamba unachokijua ndicho kilicho juu kupita elimu walizonazo wengine.

Kuna mengi sana yanayofanyika ndani ya mamlaka ya anga kwa sasa ambayo huko nyuma hayakuwepo.

Kwa taarifa yako kwenye suala la management nzima ya sekta ya anga kwa mujibu wa viwango vya ICAO kwa sasa tumefikia asilimia 65, kumbuka wakati wa awamu ya JK tulikuwa na asilimia 37 tu ya ubora kimataifa.

Mheshimiwa rais anatarajia kupewa na ICAO zawadi maalum kutokana na mapinduzi hayo makubwa ya sekta ya anga.

Jitahidi usiwe nabii wa majanga tu, tafuta pia taarifa positive kwa faida ya jukwaa hili na kwa faida ya kuukuza uelewa wako binafsi.
 
Ila kwa vile hatukujiandaa vya kutosha kwenye hili...sio siri I can't see at the end of the tunnel.
umeambiwa hiyo hasara ni kutokana na kuwa na dreamliner au matumizi na uongozi mbovu?
Weka statement za Qatar Airways hapa
 
Usilinganishe Rwanda na Tanzania Rwanda haina soko la ndani ndege ikinyanyuka tu iko nje ya mipaka. Usilinganishe, wakati mwingine hata kama moyo wa chuki ukikuuma jitahidi kuvumilia utajipasua moyo. Huwezi kuzuia tren kwa mkono.
 
Nakupa hii hapa overall ya miaka miwili imesainiwa na mamlaka za serikali ya Rwanda kabisa.

Hii jumla ya mwaka 2013 na 2014 shirika la Rwandair lilikuwa na hasara ya zaidi ya dola million $222m.

Hakuna asiejua hii biashara ya aviation ni pasua kichwa mkuu.

Tujikaze tu tuone kama tutafanikiwa.View attachment 809315
sasa na hayo maneno yako unataka Tanzania isiwe na ndege zake kwasababu ya hiyo taarifa yako ...acha ujinga wa kishamba hivyo basi mashirika yote ya ndege yasingeendelea na biashara ya ndege.

always think positively sio huo ujinga wako unaoandika.
 
Bora cc tutasubiri sana, wewe ni hamna wala huna cha kusubiri bwabwa kuu!
Huu ndio ujinga mlobakisha, unadhan upumbavu na matusi yanafuta ujinga. Akili ndogo sana. Unataka shirika lianze kukuletea faida muda huohuo unapoanza biashara.

Je, umeangalia hasara ya kipindi cha nyuma na sasa? Je, kuna matokeo chanya au hasi?

Tatizo mmkiambiwa akili ndogo mnazidisha ujinga
 
Afadhali ujinga kuliko upumbavu...
Mjinga huerevuka lakini mpumbavu atazidi kupumbazwa tu...!
Pole sana, bahati mbaya huo ugonjwa wako unaokusumbua hautibiki tena, umechelewa!
Endelea kujidanganya na bahati mbaya sana haujitambui.

Unafanya analysis ya faida ya kampuni kwa kuangalia hesabu za mwaka mmoja bila kuangalia miaka ya nyuma kujua matokeo ni hasi ama chanya na pengine shirika la ndege lina mipango gani kujitanua na kuvutia biashara zaidi.

Mmekalia upumbavu tu kama mfuasi wa madhehebu ya kilokole pumbavu wewe ukiambiwa kitu hauchanganui
 
watalii hawaongezwi na uwepo wa ndege wewe acha uzuzu wako. inamana watu wanaenda israel kwasababu kuna ndege nyingi? kama hutangazi vivutio kutwa kucha wazir anashinda mitandaoni na kupiga picha na bunduki . kama una makodi ya ajabu kwa wageni kama haya mlionayo nyie hapa huyo mtalii atakuja kufanya nn?
Acha ujingana upumbavu wewe. Kwa hiyo watalii watakuja kwa miguu au utawasafirisha kutoka Arusha hadi Kigoma hadi Iringa hadi Mikumi kwa malori?

Je, huna ndege watalii watakuja kwa kuunga unga safari wakatikule wanapotelemkia kuna kila kitu wanachohitaji kuona?

Ujinga ukichanganyika na upumbavu ni mzigo mkubwa sana kwa taifa. Sijui shule mlosoma mlisomea ujinga kisha dunia ikawapumbaza.

Matangazo ya utalii ni kitu kingine ambacho ni muhimu lakini lazima uwe supported na miundo mbinu mingine kama usafiri wa uhakika na haraka, hoteli na huduma nzuri, usalama.
 
Endelea kujidanganya na bahati mbaya sana haujitambui.

Unafanya analysis ya faida ya kampuni kwa kuangalia hesabu za mwaka mmoja bila kuangalia miaka ya nyuma kujua matokeo ni hasi ama chanya na pengine shirika la ndege lina mipango gani kujitanua na kuvutia biashara zaidi.

Mmekalia upumbavu tu kama mfuasi wa madhehebu ya kilokole pumbavu wewe ukiambiwa kitu hauchanganui
Zwazwa katika ubora wako, ungekuja na hoja ya msingi badala ya kuja na hivi viroja vyako ambavyo zaidi vinazidi kukuweka uchi ulivyo mweupe kichwani!
Nishakuambia kwa ugonjwa wako ulionao huponi, endelea kurorohoja kama beberu lililonusa tupu ya kondoo tu!
 
Jamani eeh; ni ngumu sana kwa kampuni ya ndege kupata faida.
Ngoja tujiingize kichwa kichwa ndo tutajua ukweli..!!
 
Tangu itue 787, Humble African a.k.a mjukuu wa nyani (kama alivojiita mwenyewe) amekuwa akipata tabu sana kujaribu kutafuta negativity huku na kule dhidi ya ATCL. Endelea kupata tabu tu, hii ni thread yako ya ngapi kuhusu negativity towards ATCL? Mbona hupost kampuni zinazopata faida?

Watu kama nyie mkipewa nchi tunaweza kurudi kutumia mawe kuwashia moto
 
Nyani mwenzangu.. Cousin wangu! [emoji23] Mimi sina lengo la kudidimiza juhudi za serikali kwenye hii biashara wala kusema negativity juu yake ninachotaka kusisitiza ni biashara tunayoingia sio lele mama kuna makampuni lukuki kila siku yanafilisika kabisa. Hivyo hii biashara iheshimiwe unless serikali italipa ruzuku shirika hadi kihama.

Mashirika yanayopata faida ni machache sana...can you imagine kwa kila kichwa wanapata faida ya dola $6 kwa kichwa na haya ni makampuni makubwa ya ulaya na arabuni yanayofanya safari za international long haul Ndio yanaweza kuweka kibindoni kiasi hicho..afrika kuna makampuni manne tu yanayopata faida kati ya Mashirika zaidi ya 50. Ethiopian airline, Egypt airline, Morocco airline, South African airline waliobaki hata faida ya laki moja hawapati ni hasara za mamilion kwa mamilion annually.

Hii biashara inataka discipline, professionalism, and world class administrators. Ndio dhumuni langu kutahadharisha kwamba aviation business is easy by saying and not done.
 
Ingekuwa hakuna mikakati ya kukuza utalii na hatuna airport ya kisasa dar ningekubali tusubiri kununua ndege. Lakini kwa hii airport mpya dar, ukarabati wa airport za mikoani na hatua za kukuza utalii kwa sasa TZ iko tayari kuwa na shirika la ndege in full swing. Juzi nimemuona Obama akiwa KIA pembeni wa ndege ya kukodi baada ya ziara ya Serengeti. Ile ndege ya kukodi ingetakiwa kuwa ya ATCL si mfanyabiashara binafsi anaeingiza millions kwa hiyo biashara.

Faida za shirika la ndege:

1. Fahari ya nchi (national pride) na kukuza jina (kutambulika kwa nchi - "brand"). Hii inaongeza watalii na hata wawekezaji. Kenya Airways imekuza sana jina la Kenya. Mnalalamika watalii wanasema mt. Kilimanjaro na wanyama wako Kenya hamfikirii kwamba shirika lao la ndege linawaongezea umaarufu.
2. Kurahisisha biashara na kufika maeneo mbali mbali ya nchi kwa haraka. Kuna maeneo mengi ya Tz tunayoweza kulima maua (roses) kama Kenya ila tumeshindwa. Wao wanapeleka Amsterdam kila siku kwa ndege zao. Kilimo cha kuuza nje bidhaa zinazoharibika haraka (perishables) kinakuzwa na national airline. Hapo watu wanapata ajira greenhouses na serikali inapata kodi.
3. Kukuza viwanja vya ndege na watu wanaoajiriwa kwenye viwanja hivyo + kodi kwa serikali.
4. Kukuza utalii na mnyororo (chain) yake (mahoteli, wahudumu, tour guides, etc). Serikali inapata kodi na watu wanapata ajira.
5. Kukuza fani ya anga (vyuo/mafunzo ya anga -flight crew, piloting. utafiti, nk). Vile vile mawakala (travel agents). Kumbuka travel agency inajumuisha kuuza tickets na tour packages. Hii inaongeza ajira na kodi kwa serikali.
6. Mahoteli yanayohusiana na utalii. Sijui mlimsikia Makonda kwamba hoteli zitajegwa maeneo jirani na airport ya dar mara itakapoanza kutumika?

Balalance sheet uliyoitoa ya Rwanda na mifano yako mingine unayofikiria haioneshi serikali ya Rwanda imefaidika vipi kwa mambo kama haya. Takwimu nyingi zinazofuatilia airlines haziangalii faida zake kwa upana kama "development stimulus".

Utakuta mtu anaponda Emirates na Qarar kwa kupata hasara na kutumia ruzuku za serikali bila kukumbuka kwamba kukua kwa Dubai na Doha kama business na tourism hubs kumechangiwa na mashirika hayo hayo ya ndege.

Tatizo wa TZ huwa mnaogopa ogopa tu na yet mkiona vitu vinafanywa na wengine mnalalamika kwa nini sisi hatuna.
 
Umeandika mengi sana lakini umeignore kitu kimoja kwamba mashirika kama Qatar airline, fly Emirates haya yameanzishwa kwa motives za kuburst uchumi via logic and facts kuhusu hii business na kwa uchumi wao wale waarabu hata wapate hasara miaka 100 haiwezi kuyumbisha wala kufikisha uchumi wao.

Tofauti na sisi tumenunua ndege kwa political motives na sio economical reasons ndio maana hatujatumia facts wala logic katika kufikiria outcomes.. Na ndio sababu ndege imeandikwa "hapa kazi tu" huku ya Kenya ikiandikwa "Serengeti plain" its way more political and prestige motives than economical.

We are doomed to fail sir!
 
Back
Top Bottom