RWANDA REFUGEES IN Tanzania...KAGAME ....

RWANDA REFUGEES IN Tanzania...KAGAME ....

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2008
Posts
2,502
Reaction score
743
Tanzania imekuwa kimbilio la amani kwa mataifa mengi kama Rwanda, Burundi na Congo kwa miaka mingi. ukienda mkoa wa kagera hata kigoma, wakimbizi hadi wamekuwa raia, tumewalisha na kuwapa maeneo hadi ya kulima...lakini utashangaa mtu kama PAUL KAGAME, asiye na shukran, amesahau yote hayo. labda kwasababu tuliwapokea wakimbizi walio wengi wahutu?...mbona wakimbizi wa kitusi wengi tu tumekuwa tukiwapokea tangu miaka ya 1950? tumewapokea, nimezaliwa mimi nikiona wakimbizi wapo hapa tz na kuambiwa wametoka Rwanda na Burundi. tumepokea watusi na wahutu kwa miaka mingi, lakini angalia kagame anavyokuja kututukana sisi watz na rais wetu kana kwamba hatujawahi kuwapatia makazi kipindi wanakimbia kifo.....SHUKRAN YA PUNDA SIKU ZOTE NI MATEKE.
 
Mimi bado siamini kama ni PK kweli aliyetamka yale maneno ya kejeli kwa JK!
 
Mkuu kosa la JK hujaliona bado?
JK anakosa la kwenda kuongea nje mambo ya chumbani kwanini asingemwita kagame na kuongea naye? yeye kaenda kusema mataifa makubwa? Najua TZ kwanza lakini nadhani hata jk kakosea sana kuropoka!

acha kuongea kama mtoto na wewe lile swala limejadiliwa kwenye kikao cha nchi za umoja wa afrika wala haikuwa siri sasa mambo ya chumani yanatoka wapi mbona juzi obama naye kampa ushauri kama huo.
 
Ndio tatizo la kusema bila kufikiri after effect. Wanasema ukesha toa neno si lako tena na huwezi kulirudsha . JK must think before he opens his mouth
Mkuu kwani kosa lake nini???kumshauri PK kupatana na wapinzani wake??mbona Mseveni aliafiki,na Kabila hajareact kama alivyofanya PK???duniani kote sasa hivi huo ndio mpango mzima nilikuwa naangalia CCN hapa raisi wa Columbia ameitisha baraza la katiba kuomba mabadiliko ya katiba ili kuruhusu serikali izungumze na FARC wanaopambana nao miaka nenda rudi vita ya ndani achana nayo haiishi.
 
acha kuongea kama mtoto na wewe lile swala limejadiliwa kwenye kikao cha nchi za umoja wa afrika wala haikuwa siri sasa mambo ya chumani yanatoka wapi mbona juzi obama naye kampa ushauri kama huo.

achana na obama bwana Tanzania na rwanda tumekuwa marafiki kwa mda mrefu, inakuwaje tunashindwa kuongea kama marafiki mpaka tupeleke kwenye vikao mkuu, tungeanza kumaliza home kwanza tukishindwa ndo tupeleke huko, nashanaa mnashindwa kupata pointi na kosa la jk! Hawa jamaa hata mikotano yao walikuwa wanafanya arusha imekuwaje leo mkuu?
 
sifurahishwi na hali ya hewa inayoendelea kati yetu na Rwanda, kwasababu wanyarwanda nawapenda sana na siku zote nimekuwa nikiwaonea huruma kutokana na kilichotokea 1994. wamefikia mafanikio makubwa ambayo naamini yanahitaji kuendelezwa na si kuvurugwa na vita; Mungu aepushie mbali ugomvi kati yetu na Rwanda. ni kweli wengi wao wameishi sana tz kama ndugu pamoja na kwamba walikuja kama wakimbizi, sitegemei kwamba tutaanza kuchukiana sisi na wao kwa jambo hili tu. viongozi hawa wawili wakutanishwe wapatanishwe ili tuendelee kuwa na urafiki na Rwanda badala ya kuonana kama maadui kama inavyoonekana kwenye mitandao mingi watu wakijadili kwa sasa. sisi sote tunaishi kwa kufaidiana.
 
Mkuu kwani kosa lake nini???kumshauri PK kupatana na wapinzani wake??mbona Mseveni aliafiki,na Kabila hajareact kama alivyofanya PK???duniani kote sasa hivi huo ndio mpango mzima nilikuwa naangalia CCN hapa raisi wa Columbia ameitisha baraza la katiba kuomba mabadiliko ya katiba ili kuruhusu serikali izungumze na FARC wanaopambana nao miaka nenda rudi vita ya ndani achana nayo haiishi.

kagame kazoea kuishi kama mkimbizi tangu akiwa kinda hivyo anatafuta namna yoyote ya kurudi ukimbizini na ameona Tanzania ndiyo nchi pekee watakaomtimua na kumfanya arudie yale maisha yake ya ukimbizi! na wakimbizi wa kinyarwanda ndani na nje ya nchi wanafurahia uchokozi wa nkagame bila kujua maana yake halisi.
 
Mkuu kosa la JK hujaliona bado?
JK anakosa la kwenda kuongea nje mambo ya chumbani kwanini asingemwita kagame na kuongea naye? yeye kaenda kusema mataifa makubwa? Najua TZ kwanza lakini nadhani hata jk kakosea sana kuropoka!

MKUU Henge nadhani haujui kinachoendlea..
kiukweli simpend JK ila kwa hili ntamtetea,.
ni mataifa makubwa yapi alooenda kuongea.?au ulihadithiwa tu haukuelewa ukajua kaongoa hayo mambo U.S.?
ishu ni hivi AU walikua wanajadili kuhusu amani sehemu za maziwa makuu na kila mwenye mchango wake alitakiwa kuchangia,KIKWETE akachangia kua inabidi kila nchi(Rwanda,Congo,Uganda) ambazo hazina amani zkae na vikundi vya waasi zmalize tofauti zao,M7 aliikubali ushauri kafungua majadliano na waasi..
kwakua ule ulikua n ushauri tu,Kagame alitakiwa kukubali au kuukataa hamna ambae angemlazimisha,chakushangaza akaanza kumtukana kikwete na kuongea maneno ya vitisho..

NIKUULIZE MASWALI YA FUATAYO:-
1.JE MTU AKIKUPA USHAURI UNACHUKUA HATUA GANI KAMA HAUUTAKI.?
2.JE USHAWAHI KUMSIKIA JK AKIONGEA TENA KUHUSU HAYO MAMBO.?
3.UNADHANI KWANINI KAGAME BADO ANAONGEA TU HADI LEO HII.?
4.UNADHANI KWANINI KIKUNDI CHA M23 KINAONGELEA JWTZ TU WAKATI MALAWI NA S.AFRICA NAO WAMEPELEKA MAJESHI YAO KULE.?
 
Last edited by a moderator:

1. inafuatana ushauri aliutolewa wapi? kwanini asimuite kama rafiki?
2. Sijawahi sikia akiongea najua ni sababu anajua alikosea
3.Alishikwa na bado anahasira nasisi anashangaa mbona hukumwambia kama rafiki badala yake umeenda kumtangaza mbele za watu
4. Wanaongelea kwasababu wanajua Tanzania ni jeshi kubwa wanaogopa
 
Kimsingi Jk hakukosea, alitoa ushauri sahihi , mahali sahihi. Kukubali au kukataa ushauri siyo ajabu, naamini hata Pk anajua sasa kuwa hakustahili kupaniki kwa kiasi hicho maana amesababisha tension isiyo ya lazima kwa ukanda huu. Lakini ndg zetu wa Rwanda lazima waone hatari hii mbele ya kagame maana kama wakichukulia poa wajue kwa staili hii hakutakuwa na mshindi bali hasara tu. Tangu Enzi za mwalimu sisi watanzania tumefundishwa kuwa waafrika wote ni ndg zetu sasa kama Wanyarwanda wakiamua ( kwa kukaa kimya) kuukana udugu huu basi sisi tutakua hatuna jinsi nasi tutakaapembeni, vyema nao tuwaskie.......
 
katika advocacy kunanjia nyingi sana za kufikisha ujumbe,moja wapo ni media,ljn hiii inafanyika pale amabpo mlengwa hataki mazungumzo ,mazungumzo yamefanyika lkn hakuna matekelezo....sasaa jiulize maswali kadhaa unaweza jua kam wamezungumza ama la,je labda JK alisjazungumza na PK lkn akapuuza,ama labda PK ni mbishi,saa that was the right place...stp blaiming our Prez

Back
Top Bottom