hawajui wala hawaelewi,news waliibandua kutoka afroline(extremist website affiliated with FDLR),hawajiulizi kwanini hiyo news haikuwepo kwenye any credible news source?I hope hao wote waliocoment khs video ya kagame wanaelewa kinyarwanda au wana knowledge yyte khs lugha ya kinyarwanda bla hvo wa TZ 2takuwa wajinga wa kudanganywa na wa2 wengne wanavotaka ndg zangu