RWANDA REFUGEES IN Tanzania...KAGAME ....

1. inafuatana ushauri aliutolewa wapi? kwanini asimuite kama rafiki?
2. Sijawahi sikia akiongea najua ni sababu anajua alikosea
3.Alishikwa na bado anahasira nasisi anashangaa mbona hukumwambia kama rafiki badala yake umeenda kumtangaza mbele za watu
4. Wanaongelea kwasababu wanajua Tanzania ni jeshi kubwa wanaogopa

hakukuwa na urafiki wowote kati ya jk na pk,kwanza pk huko nyuma alishaonyesha dharau kwa jk na watanzania wote,unakumbuka statement yake akidai apewe tanzania kwa miezi kadhaa na atainyoosha!!!na siyo ajabu alishamshauri jamaa akamtolea nje!!!kwa maoni yangu hakutakuwa na amani kwenye hili eneo la maziwa makuu mpaka pk atoke madarakani!!!!
 
Mkuu kosa la JK hujaliona bado?
JK anakosa la kwenda kuongea nje mambo ya chumbani kwanini asingemwita kagame na kuongea naye? yeye kaenda kusema mataifa makubwa? Najua TZ kwanza lakini nadhani hata jk kakosea sana kuropoka!

Kilicho sirini kitawekwa wazi! Ww unatetea ujinga gani? Kushauriwa jambo la amani unataka lifanyiwe chumbani, una akili kweli ww! Unajari maisha ya watu wanaopoteza maisha kwa kuwa Pk anajifanya hana mdowo na akili za kuweza kukaa ktk meza ya majadiliano! Upungu wa hivi ndio unaturudisha nyuma! Amwambie 'private' kwani anamtongoza! Unasema Jk karopoka, ww hapa unafanya nini! Ni vizuri Jk alilisema waziwazi ili na dunia yote wajue nia kamili ya Pk na kundi lake juu ya uthamini wa amani na maisha ya binadamu!?
 
1. inafuatana ushauri aliutolewa wapi? kwanini asimuite kama rafiki?
2. Sijawahi sikia akiongea najua ni sababu anajua alikosea
3.Alishikwa na bado anahasira nasisi anashangaa mbona hukumwambia kama rafiki badala yake umeenda kumtangaza mbele za watu
4. Wanaongelea kwasababu wanajua Tanzania ni jeshi kubwa wanaogopa

teh teh teh.... kazi ipo...
 
Ningeshauri mapori yote korofi yawe chini ya uangalizi na usimamizi wa JWTZ.

Na kama kuna uhitaji wa kuongeza kambi kwa sasa mapori hayo yangefaa sana.

Ni maoni tu.
 
1. inafuatana ushauri aliutolewa wapi? kwanini asimuite kama rafiki?
2. Sijawahi sikia akiongea najua ni sababu anajua alikosea
3.Alishikwa na bado anahasira nasisi anashangaa mbona hukumwambia kama rafiki badala yake umeenda kumtangaza mbele za watu
4. Wanaongelea kwasababu wanajua Tanzania ni jeshi kubwa wanaogopa

Ni vizuri ujifunze mwelekeo wa siasa za kanda yako na sio kubaki kuwa-brainwashed na kubaki kusoma magazeti ya udaku. Hili sio suala la JK ni suala Tanzania kimkakati
 
Mkuu kosa la JK hujaliona bado?
JK anakosa la kwenda kuongea nje mambo ya chumbani kwanini asingemwita kagame na kuongea naye? yeye kaenda kusema mataifa makubwa? Najua TZ kwanza lakini nadhani hata jk kakosea sana kuropoka!

Mambo ya chumbani? hivi umeshapiga viroba vingapi mpaka saa hii? mataifa makubwa yepi?
 
sifurahishwi na hali ya hewa inayoendelea kati yetu na Rwanda, kwasababu wanyarwanda nawapenda sana na siku zote nimekuwa nikiwaonea huruma kutokana na kilichotokea 1994. wamefikia mafanikio makubwa ambayo naamini yanahitaji kuendelezwa na si kuvurugwa na vita; Mungu aepushie mbali ugomvi kati yetu na Rwanda. ni kweli wengi wao wameishi sana tz kama ndugu pamoja na kwamba walikuja kama wakimbizi, sitegemei kwamba tutaanza kuchukiana sisi na wao kwa jambo hili tu. viongozi hawa wawili wakutanishwe wapatanishwe ili tuendelee kuwa na urafiki na Rwanda badala ya kuonana kama maadui kama inavyoonekana kwenye mitandao mingi watu wakijadili kwa sasa. sisi sote tunaishi kwa kufaidiana.

Ni kweli tumeishi na wanyarwanda km ndugu. Na hatutaki ugonvi nao. Lkn nani alianza uchokozi? It is that tyrant, kagame. So it is up to them to make this come to an end. Afu ndgu yngu unawajua watutsi vizuri kweli? Sio watu hao kabisaaa
 
Hata kama wakikutanishwa wakapatana,tatizo litabaki pale pale.

Utatuzi pekee ni demokrasia/kupokezana madaraka kwa

viongozi wa Afrika katika nchi zao.
 
Ni kweli tumeishi na wanyarwanda km ndugu. Na hatutaki ugonvi nao. Lkn nani alianza uchokozi? It is that tyrant, kagame. So it is up to them to make this come to an end. Afu ndgu yngu unawajua watutsi vizuri kweli? Sio watu hao kabisaaa
Interahamwe mkiingia sehemu lazima mmwage sumu,Rwanda mlifanya genocide mkakimbia na Congo mnachofanya only God knows mmebaki kusingizia Kagame,sasa mnataka kuifanya TZ iingie kwenye ugomvi wenu na tutsi on your behalf,i hope many Tanzanians are smarter kuliko unavyofikiria na hizo hating and cheap propaganda against tutsi wont work,mmeigeuza JF international kuwa hating propaganda machine against Tutsi/Kagame,yaani tabu kweli kweli nyie interahamwe!
 
Video ilikuwa ya lugha ya kinyarwanda. Kwa wenzetu mnayoizungumza, nani katafsiri?
Naona yote yanaletwa hapa na makabila ya wahutu na watutsi na wote warudi kwao wapigane huko huko. Wasituingize kwenye mambo yao!
 
Hakuna vita wala chuki btn TZ and Rwanda and not even close hizo ni fantasy tuu na wishful thinking za wapinzani wa Kagame,wanajaribu kukuza mambo madogo yaonekane makubwa,the case of "The enemy of my enemy..."

sisi tupo Tanzania na rwanda tunaijua hali halisi, wewe utajua nini kuhusu rwanda angali upo ukimbizini marekani ?
 
I hope hao wote waliocoment khs video ya kagame wanaelewa kinyarwanda au wana knowledge yyte khs lugha ya kinyarwanda bla hvo wa TZ 2takuwa wajinga wa kudanganywa na wa2 wengne wanavotaka ndg zangu
 
JF imevamiwa na interahamwe!

sasa napata picha kwanini mlichinjana mwaka 1994, unaleta ubaguzi mpaka kwenye mtandaousiokuhusu? jamii forum ingemilikiwa na wanyarwnda hakika wangeruhusiwa vibaraka wa kagame tu kumpamba kama zilivyo media za rwanda bila kujali ya binafsi au serikali tulio kinyume na siasa za kikabila na kibaguzi za kagame tungepigwa ban hata kabla ya kuchangia! nalipenda taifa langu kwa kujali na kuheshimu utu wa binadamu bila kujali kabila, rangi na itikadi, shame upon u wanyarwanda mnaoongozwa na kivuli cha -------- kagame!
 
Video ilikuwa ya lugha ya kinyarwanda. Kwa wenzetu mnayoizungumza, nani katafsiri?
Naona yote yanaletwa hapa na makabila ya wahutu na watutsi na wote warudi kwao wapigane huko huko. Wasituingize kwenye mambo yao!

hata kama tulitafsiriwa na wahutu/watusi ukweli uliopo kwenye video utaendelea kuwa uleule kama ilikuwa video ya kuchonga tulitegemea kagame na serikali yake wajitokeze na kuipinga video hiyo mara moja, lakini sasa kachelewa asubiri kuvuna alichokipanda.
 
sasa napata picha kwanini mlichinjana mwaka 1994, unaleta ubaguzi mpaka kwenye mtandaousiokuhusu? jamii forum ingemilikiwa na wanyarwnda hakika wangeruhusiwa vibaraka wa kagame tu kumpamba kama zilivyo media za rwanda bila kujali ya binafsi au serikali tulio kinyume na siasa za kikabila na kibaguzi za kagame tungepigwa ban hata kabla ya kuchangia! nalipenda taifa langu kwa kujali na kuheshimu utu wa binadamu bila kujali kabila, rangi na itikadi, shame upon u wanyarwanda mnaoongozwa na kivuli cha -------- kagame!
Ile wanted list umeiona? tunajua unajua uncle zako walipo na usisahau zawadi kubwa tutakupa,achana na Kagame focus na ile list ujikomboe kimaisha maana kuchimba mihogo ya wizi hailipi
 
sisi tupo Tanzania na rwanda tunaijua hali halisi, wewe utajua nini kuhusu rwanda angali upo ukimbizini marekani ?
ha haha ahaha,mokala States hapa ni home tuu kama popote pale na tumefanikiwa sana tuu na sasa ni summer time karibu ule bata,TZ na Rwanda naijua kuliko unavyoijua wewe so worry not!!
 
Mkuu kosa la JK hujaliona bado?
JK anakosa la kwenda kuongea nje mambo ya chumbani kwanini asingemwita kagame na kuongea naye? yeye kaenda kusema mataifa makubwa? Najua TZ kwanza lakini nadhani hata jk kakosea sana kuropoka!

Ili iwe nini? Kuwaambia waongee na raia wao ni swala la chumbani? No wonder hizi nchi za kiafrika haziendelei mambo ya kipumbavu tu ndio wanashadidia. Je, nani angewaita wapinzani pamoja na M7 kuwaambia maneno hayo? Mbona Uganda hawakutaharuki wakati na wao ni washiriki? Au Rwanda wanajiona zaidi? Kwa hili JK yuko spot on. Kilichobaki kwa JK ni kumwaga ugali sasa, wao si wamemwaga mboga.
 
Back
Top Bottom