RWANDA REFUGEES IN Tanzania...KAGAME ....

RWANDA REFUGEES IN Tanzania...KAGAME ....

Mokala hii tabia ya kupiga mkeo acha!​
Masikini! Namwonea huruma huyu mama. Haya mambo ya kupigana bado yapo? Litazame hili libaba, laonesha woga tu, hathubutu kupigana na mume mwenzie atatoka unyoya!
 
inashangaza kusikia hadi sasa wahamiaji haramu alfu nane 8,000 wameondoka nchini, hivi walikuwa wanaishije jamani wato wote hawa, hili si jeshi kubwa kabisa? na si nilisikia wapo si chini ya 36,000, hivyo bado kuna watu zaidi ya 20,000 hapa tz wanaishi kama haaramu? serikali tuambieni mlikuwa wapi? uhamiaji mmejenga majumba kwa kuchukua ng'ombe za wahamiaji hawa sana kama rushwa? where is the government?
 
Back
Top Bottom