Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,608
- 4,265
Kama yule wa kule Dom!Kichaa kapewa rungu! Anakwenda vitani bila ya Congressional approval!
Kama yule wa kule Dom!Kichaa kapewa rungu! Anakwenda vitani bila ya Congressional approval!
Mrusi aliwahi kushinda ipi? Sometimes ni kuheshimiana tu.Samtaimu vita ni mbinu siyo vifaru na nguvu ya pesa
Mbona USA ilifeli vita ya Ghuba na Vietnam?
Urusi analindwa na sheria za UN hawezi kuingia moja kwa moja kuzuia though amesaidia kutoa silaha kwa serikali.hii vita naona wewe umeifuatilia sio muda mrefu. mimi tangu siku ile watu wanaandamana hadi vita inaanza, hadi waasi kupoikea silana uwa naifuatilia syeria. pia huwa nafuatilia sana actions za urusi dhidi ya hilo. walitakiwa palepale mwanzoni kabisaaa wachukue hatua kuilinda syria. binafsi naumia kwanini imebaki magofu vile halafu mnafiki mmmoja anakuja ati anaitetea? anaitetea syria au anamtetea mtu binafsi assad?
jaribu kufikiri, mchezo kama ule ungetokea dhidi ya israel, marekani ingeingilia kijeshi ndani ya wiki moja na hakuna hata jiji moja la israel lingesambaratishwa. lakini hivi tunavyoongea, syria ni magofu kabisa, imeharibiwa kiuchumi, hata akirudi madarakani assad anamuongoza nani? amerudishwa nyumba zaidi ya miaka 2000. ujenzi tu wa nyumba, wananchi wake ambao ndio human resource wamekimbilia nje/ulaya karibia wote walio bako hao wamejitoa mhanga tu na wanaishi kwa misaada hawafanyi kazi yeyote. syria kwasasa hakuna tofauti sana na somalia...kwasababu hata shughuli za kiuchumi maeneo mengine zimeshikiliwa na waasi. kwanini russia kama wanafikiri wao ni marafiki wa syria wasingezuia hili mapema? ni wanafiki tu.
Presidential orderKichaa kapewa rungu! Anakwenda vitani bila ya Congressional approval!
Uko sawa mkuu. Kuna zoezi la kufa mtu walifanya juzi kati US, Israel and allied. Nilijua wazi someting gonna hapen.Ngoja ajilengeshe atwangwe vilivyo! Dunia nzima kwenye hili inamuunga mkono Trump ispokuwa Russia, labda na china na vile vikorea kask.
Illuminati ndio nini?Baada ya Trump kushindwa kuleta machafuko Marekani kama ilivyokuwa imepangwa na Illuminati kwa kutumia Presidential Decrees zake za kijinga chokozi,sasa anajaribu kete nyingine kama pia ilivyopangwa na Illuminati.And that is, confrontation with Russia,ili hatimaye kuleta vita ya Armageddon.Kama atafanikiwa kwa sasa sijui,lets wait and see.Tusisahau kwamba Trump ni senior member of the Illuminati.
hakuna mkataba ndugu, jua kuwa syria, iran, misri na nchi kadhaa za kiarabu na kiafrika ni marafiki wa russia miaka mingi sana. wala wasingesita.Iko hv, usikute Assad mgumu ku signe mikataba ya kusaidiwa na urusi , anasubr apigwe ndo aweke sahh ya fidia
urusi afyate tu mkia. kama angekuwa na uwezo kuilinda syria alitakiwa ailinde tangu mwanzo. anasubiri imeshasambaratishwa hajabakiwa na kitu halafu ndio anajifanya kuilinda, si unafiki huo? jaribu kufikiri unaye rafisi anayejiita rafiki yako, anasubiri umepigwa kipigo cha mbwa mwizi ndio anakuja kukulinda wakati alikuwa na uwezo wote kukulinda usitolewe meno...si unafiki huo?





mbavu zanguRussian Defence Secretary anasema mashambulio hayo dhidi ya small airbase huko Syria haya maana yoyote na hayana faida yoyote kijeshi hasa ukizingatia kuwa hiyo airbase inaweza kuendelea kutumika.Trump ni mpango mzima.
U won't enjoy the show my brother,u will also be a victim coz this war might even reach to African countries.we need to pray so that this miss understandanding can be peacefully resolved.u won't enjoy the show brotherChess game began.. Lets wait and enjoy the show..