machomanne
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 822
- 925
Kwa marais wa US, ni yupi asiye memba wa Illuminati? Au unadhani mke wa Clinton sio Illuminati?. Wote hao ni mamemba.
Unafikiri US wanapigwa tu kama mwizi aliyeanguka chini?Waswahili wanasema "kumchinga kobe inahitaji timing"Safi sana, walikuwa wana beep, wanapigiwa sasa
Unafikiri US wanapigwa tu kama mwizi aliyeanguka chini?Waswahili wanasema "kumchinga kobe inahitaji timing"Safi sana, walikuwa wana beep, wanapigiwa sasa
Koh koh koh koh koh koh kohSafi sana, walikuwa wana beep, wanapigiwa sasa
Hilo sio Tatizo sababu hao lao moja.Fuatilia World's reaction baada ya US kupiga Syria. Angalia nchi kubwa zimesemaje zikiwemo German, UK,Australia, Turkey, France nk. Zote zinaunga mkono Trump
Ila hum ndan Leo kunafurahisha sanaaaaUnafikiri US wanapigwa tu kama mwizi aliyeanguka chini?Waswahili wanasema "kumchinga kobe inahitaji timing"

Sawa msemaji wa KremlinHilo sio Tatizo sababu hao lao moja.
Na hawakuanza leo kuunga mkono huwa ujanja wao.
Mwisho wa yote hayo ni kwa Urusi tuu. Na siku Muamerika akizichapa usitegemee kama wataingiza pua zao maana mziki wanaojua wenyewe.
Wamcbokoze basiSasa Urusi nae kimeli chake kimoja anataka shindana na mwenye Tatu maeneo hayo
Hicho cheo ulimpa..!?Baada ya Trump kushindwa kuleta machafuko Marekani kama ilivyokuwa imepangwa na Illuminati kwa kutumia Presidential Decrees zake za kijinga chokozi,sasa anajaribu kete nyingine kama pia ilivyopangwa na Illuminati.And that is, confrontation with Russia,ili hatimaye kuleta WW III.Kama atafanikiwa kwa sasa sijui,lets wait and see.Tusisahau kwamba Trump ni senior member of the Illuminati.
Kamebaki kale ka kijana ka Korea Kaskazini Kim Jong Un, Lazima Trump atakashughulikia kasipobadili giaWakuu meli ya kivita ya Urusi inaelekea ktk uwanjani wa mapambano
Source Fox news
![]()
Hata Walibya na Wairak walifanya hivyohivyo ...Leo kipo wapi? Si wanajuta kukubali propaganda za CIASyria lazima itandikwe,wananchi wa syria wamefurahi kwa kuandamana leo kuipongeza USA.source,associate press,AP
Safi kabisa lakini 2sikubali kutawaliwa kama zamani ili 2pate mademu ya kizungu
That's just a chess game my brother... Unafikiri watatwangana?? Hell no, watarudi kwenye round table na negotiations zitakuwa zile zile. Sanasana atakayeendelea kuumia ni Syria. Just wait and see...
Muacheni urusi na putin walete pua zao tu,atachapwa na hatafanya lolote lile.
unavyo sema utazani ni mechi ya mpira wa miguu kumbuka kuna watu wanalia na kufa wana poteza mali makazi wewe likilia bom la machozi tuu hukai hapa je hilo bom la kuua?WWW3 ikitokea mwaka huu itakuws poa sana