Thubutuu...wafike wapambane sasa, hatutaki kusikia story nyingine, make US keshashambulia bila shaka russia nae anaenda kukidestroy kile chombo kilicholauch yale mashambulizi
Bibilia haipaswi kutafsiliwa kwa namna unayoisema wewe.Long live Israel. Bwana Mungu wa Yakobo akiwa upande wako, nani wa kushindana nawe? Na ameapa hatokuacha kamwe sawa sawa na Neno lake. Mwisho unajulikana kabla ya mwanz haujawepo.. Bwana jina lako libarikiwe. Amen.
Walisema Ni puppet wa Putin. Sasa Ngoja tuone puppet na puppeter wanavyopepetana.

Hapo ndiyo itakuwa mwisho wa Marekani, maana ana maadui wengi Russia,North Korea, Iran na China pia hawa wote watamchapa kupitia Syria.
haya bhana ngoja tuuone huo mwisho.Si walisema wana mitambo mikali ya kulinda anga S-400, mbona haijazuia, usicheze na USA, Tomahawk cruise missiles, makombora 60 yametua Syria.!!!urusi afyate tu mkia. kama angekuwa na uwezo kuilinda syria alitakiwa ailinde tangu mwanzo. anasubiri imeshasambaratishwa hajabakiwa na kitu halafu ndio anajifanya kuilinda, si unafiki huo? jaribu kufikiri unaye rafisi anayejiita rafiki yako, anasubiri umepigwa kipigo cha mbwa mwizi ndio anakuja kukulinda wakati alikuwa na uwezo wote kukulinda usitolewe meno...si unafiki huo?
Si walisema wana mitambo mikali ya kulinda anga S-400, mbona haijazuia, usicheze na USA, Tomahawk cruise missiles, makombora 60 yametua Syria.!!!urusi afyate tu mkia. kama angekuwa na uwezo kuilinda syria alitakiwa ailinde tangu mwanzo. anasubiri imeshasambaratishwa hajabakiwa na kitu halafu ndio anajifanya kuilinda, si unafiki huo? jaribu kufikiri unaye rafisi anayejiita rafiki yako, anasubiri umepigwa kipigo cha mbwa mwizi ndio anakuja kukulinda wakati alikuwa na uwezo wote kukulinda usitolewe meno...si unafiki huo?
Safi kabisa lakini 2sikubali kutawaliwa kama zamani ili 2pate mademu ya kizunguAcha vita ianze na sisi tuanze kupokea wakimbizi wa kizungu.....
Wamefanikiwa Irak,walisema watamuindoa Sadam Hussein madarakani, na alinyongwa, na mafuta wanagema kama kawaida.Samtaimu vita ni mbinu siyo vifaru na nguvu ya pesa
Mbona USA ilifeli vita ya Ghuba na Vietnam?
Amen RaNaam! Katika uzao wa Yuda jamii ya binadamu itabarikiwa.
Eti asante vladimir...hio asante unampa kwa yeye kumsapot assad kuua watu kwa sumu hasa watoto wadogoAsante Vladmir
That's just a chess game my brother... Unafikiri watatwangana?? Hell no, watarudi kwenye round table na negotiations zitakuwa zile zile. Sanasana atakayeendelea kuumia ni Syria. Just wait and see...U won't enjoy the show my brother,u will also be a victim coz this war might even reach to African countries.we need to pray so that this miss understandanding can be peacefully resolved.u won't enjoy the show brother
Hii ishu ya Syria wakuu ukiitizama kwa jicho la tatu itakuja kuwa na mwisho mbaya Sana kwani mambo yanavyoenda hata hayaeleweki kabisa tena Kama hii ishu ya chemical gas ya juzi inaonekana Kama imesukwa makusudi kwa lengo mahususi ,vita ya nyuklia inanukia kabixa
Mikwara ya Put in imeshaanza.....
Muacheni urusi na putin walete pua zao tu,atachapwa na hatafanya lolote lile.duh ubabe juu ya ubabe