Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,524
- 42,676
Wewe huwezi nikasirisha mimi... yaani hapa I wish ungeniona ninavyocheka huku nimekamatia glass yangu ya Bellaire. Naona kama nakachezea kakima vile huku nakadolishia ndizi.Leo mbona nina Wewe tu. Na 'nakukasrisha' Kimakusudi tu ili 'uhamanike' kisha ujae 'upepo' na 'Unikashifu' wenye Jamvi lao 'Wakunyooshe' vyema.