GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,650
- 128,058
Dotard.Mbona unarudia rudia hizo terms kama kasuku huna zingine?
Dotard.Mbona unarudia rudia hizo terms kama kasuku huna zingine?
Kwi kwi kwi kwi!! Bwahahahaha! Una mengine au nikusaidie?Kicheko hiki kama chako huwa wanacho wale 'Wanyabengwaji' je, na Wewe ni miongoni hivyo hapa sasa unawawakilisha vyema mkitafuta Wateja?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dotard.
Kumiliki Tiketi za Daladala za Tandale - Kivukoni tena ulizozisahau katika 'Mfuko' wako wa 'Shati' ndiyo Kumiliki 'Diplomatic Passport' huko? Swine!Teh teh teh 25 years now nipo mamtoni aisee. Nina diplomatic pass.. napanda business na first class ktk 5 star airlines...
Tatizo huyo anaetomaswa hapo keshachakaa ningempa mchongo aachane na hayo madhila hapo!!
Ha ha ha ha!! Hii itakuuma ila ndo ukweli!! vipi ashamaliza kutomaswa?Kumiliki Tiketi za Daladala za Tandale - Kivukoni tena ulizozisahau katika 'Mfuko' wako wa 'Shati' ndiyo Kumiliki 'Diplomatic Passport' huko? Swine!
Moron.Kwi kwi kwi kwi!! Bwahahahaha! Una mengine au nikusaidie?
Sottish.Ha ha ha ha!! Hii itakuuma ila ndo ukweli!! vipi ashamaliza kutomaswa?
Hili na lile cretin unajua yanarandana tuu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Moron.
Drivel.Hili na lile cretin unajua yanarandana tuu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lete mapya basi
Vipi ana hali gani sasa baada ya kutomaswa?Sottish.
Sasa naona umechoka. Mpeleke akapumzike ila fanya bidii walau umtafutie kakibanda huko porini. Umri huo kutomaswa ni laana.Drivel.
Bedlam.Vipi ana hali gani sasa baada ya kutomaswa?
Utaokoteza sana leo. Mi nishamaliza. Mkande kwa maji ya moto alale.Bedlam.
Cranky.Sasa naona umechoka. Mpeleke akapumzike ila fanya bidii walau umtafutie kakibanda huko porini. Umri huo kutomaswa ni laana.
Haya mpeleke akalale nawewe upumzike.
Dimwitted.Utaokoteza sana leo. Mi nishamaliza. Mkande kwa maji ya moto alale.
[emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]Dimwitted.
Mlichobakiza ni huu upuuzi wa kejeli kwenye forums kama hii.
Watanzania wamemuelewa sana JPM na wanajua udhaifu wake wa matamshi sio udhaifu wake katika utendaji kazi.
Anachokifanya nchi nzima ni kikubwa sana.
Hakuna wa kukufokea ni katika kukumbushana tu.Upuuzi ni huu ulioandika. Watu wa namna gani nyie? Mapambio ya sifa muimbe nyie tukiimba sisi inakuwa nongwa?
Mbona mnataka kuleta wivu wa kiuke wenza?
Au kunya anye kuku lakini si bata?
Au ndiyo kutumiwa kwenyewe na mabeberu huku?
Maajabu makubwa kama haya ndani ya muda mfupi tu na sasa tumempa 5 mingine wewe bado unataka kutufokea?
Aaaah Wapi!
Umeamka bar leo?
Hakuna wa kukufokea ni katika kukumbushana tu.
Majimbo yote ya kimkakati yamerudi CCM ni kwamba kiongozi mkuu ameeleweka.
Kule Hai walimaliza kila kitu saa tisa usiku, hawakusubiri jogoo awike wakawa wameshamchinja macho manne.