Rusahunga Benako kama Ulaya!

Rusahunga Benako kama Ulaya!

mkuu angalia usije ukaibukiwa ghetto na watu wasiojulikana

Wasiojulikana = ni genge la wauaji la huyu anayeitisha kuombewa kila uchao?

Malipo ya udhalimu wao yataanzia hapa hapa duniani wala tusitishane.
 
Kuna watu wapumbavu sana tu,sasa hapo kweli kuna jamaa wana roho kama ya zitto kabwe na tundu lissu
Kinachochekesha ni kitu gani hapo?nyie ndio wapinga kilakitu serikali inafanya mambo kwa mipango sio wakurupuke tu,huko rusahunga ni special sana kiasi waanze huko sababu we unapita pumbavu weye,mbona huzungumzii mazuri chunya huko kuna barabara ya maana wakati enzi hizo tuliopita huko balaa siku 3-4 unaiona Itigi.
Barabara ya Iringa -Mtera-Dom Huelezei kwa sasa zinateleza yutong tu enzi zetu tunapita huko na vyuma Scania na Renault mabasi kina SHALA-WAMBE,king kross mpaka luxury Urafiki ndio akaleta ruti iringa dom via moro ulikuwepo?
Mnakaa mnapinga kila kitu kisa hata umejua kuandika tu hapa JF sijui HATA NANI KAKULETA.
Mimi si mnufaika wa chochote na hii serikali ila panapo ukweli tuunge mkono na kama kuna mahali wanakosea ni kuwakumbusha tu sio kuleta dhihaka
We unaanzisha dhihaka eti Rusahunga KM Ulaya so what?
Jiwe anaweza sema wakae hivyohivyo si wananisema huko,utawaponza wenzio unga juhudi kwa upole itapigwa simu tarura jioni ausbuhi utawaona wapo hapo wanamanua kiwango cha lami.
Siku ingine jifunze kuleta mada kiungwana sio mada chochezi hazisaidii
 
Usitutishe wala kutufokea.

Jombi mpumbavu ni wewe na ndiyo maana uko kama zuzu tu. Mazuzu ndiyo hupelekwa pelekwa na huwa yanaletwa letwa kama ulivyoletwa wewe humu JF. Kuletwa kwako humu usidhani kuwa ni applicable kwa kila mtu.

Nani kakwambia ni unakopita wewe ndiyo uletee mada hapa? Tanzania ni yetu sote. Makongolosi ni muhimu kama ilivyo Nghungumalwa. Kote kukichanganya chereko na nderemo zitasikika.

Tutayashangilia mafanikio ya kiuraya uraya bila kujali kuwa yapo Tarime Chatto, Kawe, Arusha, Jangwani au Tunduma kwa wakati huo.

Kutumiwa kwenu na mabeberu hakutatufanya tuache kushangilia mambo ya kiuraya uraya kokote yatakapojiri nchini hata kama kwa sasa yamejiri rusahunga!

Dhihaka? Hayo unasema wewe sisi tunaita sifa na vishindo vya awamu ya tano!
 
kanye ulale/ulalwe mpuuzi ww uliendamana sa ngapi kwanza?
 
Ya kulalwa umeyajuaje mkazi wa sengerema we?

Kama unadhani yaliyo applicable na kwa wengine ni hivyo weka matangazo ya biashara kabisa!

Biashara matangazo!
 
we ni wa kupigwa mpini tu ndio utaacha kelele
 
Back
Top Bottom