Rusahunga Benako kama Ulaya!

Rusahunga Benako kama Ulaya!

Niliwahi kupewa 'BAN' hapa kwa Kumtaja Mama wa Mtu hivi hivi hivyo basi ngoja nami niwaite hawa 'Wakubwa' tuone kama uko juu ya Sheria JF.

Cc: Invisible, Moderator, Paw na JamiiForums
Wewe ulivyowataja wazazi wa wenzio hapo juu kuwa walipoteza sperm zao bure ulijisikia raha eeh? Huwa unacheza na mbugila wenzio leo umeingia kwenye kina kirefu! Nitakutwanga nyundo hadi ufurahi. Uliza wajinga wenzio Lusungo ni nani unapomchokoza!

Mjadala ulikua mzuri tu hapa ukaingiza mbigiri zako za kitoto now unalia lia.

Uwe unapima kina cha maji kabla hujaingia kuoga.

Then u mtoto bado si ajabu nakuzaa kabisa koma kudandia mijadala ya watu wazima kwa maneno ya shombo.

Then mimi kuulizia mama yako ana hali gani baada ya kuanguka kwenye matope sio matusi.
 
Mbona sasa hivi umtaji tena 'Mama' yangu kama Mwanzo? Na naendelea 'Kukupanikisha' Makusudi ili 'yakutoke' mengi nikutafutie 'Adhabu' ukome.
Teh teh teh mwanaizaya mtokea pabaya huwezi nipanikisha. Imepenya iyooooo
 
Teh teh sasa umehamisha magoli kuwa siishi ulaya eeh hahahaha!! Pole sana Kisonoko utakufa kwa shombo la dagaa
Anayeishi Ulaya ana muda wa kuyajua maneno ya Kiswahili na Uswahili kama Shombo la Dagaa? Tena sasa ndiyo unatuonyesha ulivyo wa Tandale.
 
Hahahaha hayawani kama wewe huwezi nipanikisha abadan!!

Nikae Tandale mimi? Nishakwambia 25 years back nimeingia hapa ulaya as a top diplomat!!

Pole sana endelea kuruka hivyo vidimbwi vya kinyesi huko mavumbini.
Mbona sasa hivi humtaji tena Mama yangu 'Kidhihaka' katika 'Comments' zako? Unaogopa nini wakati Wewe ni wa Ulaya ya Tandale kwa Mapaka?
 
Wewe ulivyowataja wazazi wa wenzio hapo juu kuwa walipoteza sperm zao bure ulijisikia raha eeh? Huwa unacheza na mbugila wenzio leo umeingia kwenye kina kirefu! Nitakutwanga nyundo hadi ufurahi. Uliza wajinga wenzio Lusungo ni nani unapomchokoza!

Mjadala ulikua mzuri tu hapa ukaingiza mbigiri zako za kitoto now unalia lia.

Uwe unapima kina cha maji kabla hujaingia kuoga.

Then u mtoto bado si ajabu nakuzaa kabisa koma kudandia mijadala ya watu wazima kwa maneno ya shombo.

Then mimi kuulizia mama yako ana hali gani baada ya kuanguka kwenye matope sio matusi.
Usinipotezee muda sana sana subiria tu haki yako ya 'Kinidhamu' kutoka kwa wenye JamiiForums, ili Siku zingine usiwe na Fikra za Tandale huko.
 
Mbona sasa hivi humtaji tena Mama yangu 'Kidhihaka' katika 'Comments' zako? Unaogopa nini wakati Wewe ni wa Ulaya ya Tandale kwa Mapaka?
Nishamtaja sana hapo sina sababu tena yakumtaja asije akaingia hasara ya flot kwa kuzidishiwa hesabu ya Vizibo bure.
 
Usinipotezee muda sana sana subiria tu haki yako ya 'Kinidhamu' kutoka kwa wenye JamiiForums, ili Siku zingine usiwe na Fikra za Tandale huko.
Teh teh teh siku nyingine ukome kuingia anga za wakubwa wako.

Karibu ulaya kama utaweza.
 
Ratiba yako ya hapo 'Magomeni' Mapipa kwa 'Macheni' umeshaimaliza kwa Usiku huu au sasa ndiyo Kwanza 'Kumekucha' na hao 'Waarabu' hapo?

Kwa akili yako unafikiri wote sisi ni wa grade yako!!! Hapa umekutana na matawi marefu!!! Hatuishi kwa buku saba.
 
Teh teh teh mwanaizaya mtokea pabaya huwezi nipanikisha. Imepenya iyooooo
Imepenya wapi? Hujiulizi ni kwanini nakwepa Kumtaja Mama yako katika 'Mabishano' yetu hapa? Tena 'nimekusakizia' pazuri kweli tu. Kaa tayari.
 
Bado nakuuliza mbona hivi sasa humtaji tena 'Mama' yangu katika 'Majibu' yako? Tatizo ni nini wakati Wewe ni wa Ulaya na Mambo safi Kimaisha?
Nishamtaja sana sasa imetosha mwache afungue Vizibo huko asijing'ate bure.
 
Imepenya wapi? Hujiulizi ni kwanini nakwepa Kumtaja Mama yako katika 'Mabishano' yetu hapa? Tena 'nimekusakizia' pazuri kweli tu. Kaa tayari.
Teh teh we mtoto kweli umehamia kwenye mijadala ya kusubiria nipigwe BAN eeh? Si mjanja wewe njoo na ule moto wa awali mbona umepoa.

Teh teh teh sasa hivi unaongelea BAN haya wapigie simu basi.
 
Nishamtaja sana hapo sina sababu tena yakumtaja asije akaingia hasara ya flot kwa kuzidishiwa hesabu ya Vizibo bure.
Kwani unadhani kwa kuacha Kwako 'Kumtaja' tena ndiyo utakuwa 'automatically' umelikwepa 'Rungu' la 'Adhabu' ambayo wengine tulishapewa pia?
 
Hahahaha unatia huruma mwenyewe kwi kwi kwi kwi!! Haya tulia sasa ntapigwa BAN soon. Siku nyingine utajifunza adabu.
 
Teh teh teh siku nyingine ukome kuingia anga za wakubwa wako.

Karibu ulaya kama utaweza.
Wewe ukiwa Mkubwa 'Rais Mteule' wa Marekani Joe Biden atakuwa nani? Kama kuishi Kwako hapo Tandale ndiyo Ulaya Kesho asubuhi nakutimbia.
 
Kwa akili yako unafikiri wote sisi ni wa grade yako!!! Hapa umekutana na matawi marefu!!! Hatuishi kwa buku saba.
Wenye Akili wakiombwa wajitokeze mbele Wewe unaweza kweli nawe 'ukathubutu' kabisa tena mazima Kujitokeza Kweli?
 
Wewe ukiwa Mkubwa 'Rais Mteule' wa Marekani Joe Biden atakuwa nani? Kama kuishi Kwako hapo Tandale ndiyo Ulaya Kesho asubuhi nakutimbia.
Pamoja na kukaa bongon25 years back sijawahi hata ikanyaga tandale.

Ooh kumbe ukubwa hadi uwe rais wa marekani? Teh teh teh
 
Hahahaha unatia huruma mwenyewe kwi kwi kwi kwi!! Haya tulia sasa ntapigwa BAN soon. Siku nyingine utajifunza adabu.
Leo mbona nina Wewe tu. Na 'nakukasrisha' Kimakusudi tu ili 'uhamanike' kisha ujae 'upepo' na 'Unikashifu' wenye Jamvi lao wakutie Adabu upesi.
 
Back
Top Bottom