Rusahunga Benako kama Ulaya!

Rusahunga Benako kama Ulaya!

[emoji44][emoji44][emoji44].
Jangwani unapajua kweli?.
Jangwani sipajui,najua palipokuwa na daraja la KAJIMA, kwa Hussein Macheni na pale palikuwa panafanyika mikutano ya "The Big November Crusade" na "Dar Back to GOD". Pia pale paliwahi kuwa makazi ya magari ya mizigo napajua.
 
wewe ndie ulipaswa kuandika umetulia..umeandika kama unakimbizwa!!

Tatizo ni kuwa wengine wetu hatujawahi kukimbizwa huwa tunakimbiza tu.

Sasa kupata hisia za kukimbizwa si rahisi kabisa labda utupe wewe uzoefu huo.
 
Nimejuta kufungua huu uzi

Utakuwa unatumiwa na mabeberu wewe. Si bure!

Mambo ya uraya yakuletee majuto vipi wakati tunasherekea mafanikio na vishindo vya awamu hii?

Go Magu go tuko nyuma yako Mzee baba!

Chezea TANZANIA ya Magu wewe? Kama uraya nyomi ya malori 20km bumper to bumper. Uchumi umekua sana, malori yote hayo yako kwenye display tu?

Ni ulaya tu vitu kabila hiyo huonekana "and that's right here!"
 
Acheni wivu nyie chandimu, tunafanya kazi tunasubiri 2025 tufanye tathmini!

Utakuwa unatumiwa na mabeberu wewe. Si bure.

Hilo pambio la sifa wewe ulitaka alaumiwe jiwe kwa baya lipi?

Wakati njia kutopitiki leo siku ya pili ni moja ya maonyesho tu, kuwa nchini kwa wastani tuna magari hasa malori mangapi?
 
Tutapiga kelele na kina nani? Kwahiyo hiyo lugha ya picha na hayo mazingira ambayo mleta mada amejaribu ku portray wewe yamekuridhisha? Ni vizuri sometimes kuficha upumbavu na udumavu wa akili ili ustirike.

Magu and CCM ikiwa Chama dola hata miaka 1000 unafikiri ni msiba kwangu au kwa hao unaodhani wanaumia Sana? I bet umaskini ba ufukara umeharibu sana mfumo wako wa fikra na maisha kwa ujumla.

Nipo ulaya mwaka wa 25 sasa na nilikuja as a top diplomat na nikafanya kazi kwenye high reputable international organization wala hizo kauli zako za kimaskini eti sijui mtalia CCM Chama dola hazinihusu. Kwahiyo wewe unaetambia wenzio uchama dola huli vumbi hapo bongo?

Wasted sperm!!

Mkuu wasikupe taabu mandondocha ndondocha wasiokuwa na mbele wala nyuma.

Sasa hivi mbona tutamwimbia sana mapambio ya kusifu kuliko hata wao?

Keshapewa aliowataka: gwaji boy, mboga na kina katawi atatupa uraya. Mungu atupe nini tena?
 
Tutapiga kelele na kina nani? Kwahiyo hiyo lugha ya picha na hayo mazingira ambayo mleta mada amejaribu ku portray wewe yamekuridhisha? Ni vizuri sometimes kuficha upumbavu na udumavu wa akili ili ustirike.

Magu and CCM ikiwa Chama dola hata miaka 1000 unafikiri ni msiba kwangu au kwa hao unaodhani wanaumia Sana? I bet umaskini ba ufukara umeharibu sana mfumo wako wa fikra na maisha kwa ujumla.

Nipo ulaya mwaka wa 25 sasa na nilikuja as a top diplomat na nikafanya kazi kwenye high reputable international organization wala hizo kauli zako za kimaskini eti sijui mtalia CCM Chama dola hazinihusu. Kwahiyo wewe unaetambia wenzio uchama dola huli vumbi hapo bongo?

Wasted sperm!!
Wewe Jamaa ni Mshamba ( Mbwiga ) sijapata kuona. Kuna Mtu amekuuliza unafanya Kazi gani au uliwahi kufanya Kazi gani? Huku 'Kujimwambafai' Kwako hapa kunaweza kutupa 'Hisia' kuwa huenda ukawa siyo Mwanaume 'Riziki' kabisa kwani 'Majisifu' haya tumeyazoea kutoka kwa Dada zetu ( nikimaanisha Wanawake )

Kuhusu Umasikini wala hujakosea na ni kweli GENTAMYCINE nina Umasikini mkubwa kuliko unavyodhani ila kitu pekee tu ambacho nakishukuru ni kwamba nina 'Shani' na 'Talanta' ya Kipekee ambayo Mwenyezi Mungu ametupa Wachache wetu mno na kwamba pamoja na 'Kujisifu / Kujimwambafai' Kwako kote sijui unakaa Ulaya ( Mamtoni ) huna na kamwe hutokuja kuwa nayo.

Wakati Wewe ukiuendeleza 'Utambaliziwaji' wako 'uliotukuka' huko Ulaya / Marekani kwa 'Wazungu' Mimi GENTAMYCINE nipo Dar es Salaa hii hii na Tanzania ambayo ipo chini ya 'Jemedari' na 'Mwamba' ambaye ni 'Kiboko' ya 'Wapumbavu' na 'Wanafiki' kama Wewe pamoja na Wote waliokupa 'Likes' kwa ulichokiandika aitwae Dk. John Pombe Joseph Magufuli. Na CCM itatawala Tanzania hadi muamue 'Kujinyonga' kabisa.
 
Teh teh teh!! Kwahiyo Akitawala milele unahisi mimi napungukiwa nini? Nimekuuliza simple question vipi wewe huogi vumbi na tope huko ushenzini bongo?

Unaonekana dhahiri kupitia comments zako ni mtoto wa kipumbavu sana! Utakua mtoto wa zinaa wewe ndo maana huna akili.
 
Eti umefanya Kazi sijui katika reputable international organization. Umeulizwa? Kuna Mijitu hapa ni 'Mipumbavu' na 'Mishamba' sijapata kuona. Na wengi wenu wenye 'Umasikini' wa 'Kifikra' huwa mnapenda sana 'Kujionyesha' hapa JamiiForums kuwa mna Maisha Mazuri wakati huenda hata 'Kiuhalisia' tu mkawa hampo Ulaya na mpo zenu huko Kyaka Nkunde au Ikupilipa Nkoba mnalima 'Mbaazi' na 'Mmechoka' kweli kweli.

Sasa kama Wewe kweli unajiamini una Maisha Mazuri na sijui upo Ulaya katika Kampuni Kubwa Wewe hapa Jina lako ili tujiridhishe nawe na Uumbuke.Kuhusu Mimi kuwa na 'Comments' za 'Kipumbavu' yawezekana ukawa hujakosea ila unachonionyesha nawe huenda ukawa ni 'Senior' Kwangu 'Kiupumbavu' ni kwamba bado nawe 'unazisoma' vile vile. Umezaliwa na 'Ukoma' wa Akili na ndiyo maana huna Akili na ni 'Juha' hivi.
 
Mtapiga sana Kelele huku mkiendeleza Majungu yenu ya Kipumbavu na Kishamba ila CCM ndiyo Chama Dola na Dk. Magufuli ndiyo Rais halali pia.

CCM mtakuja juta kwa kuiharibu nchi iliyokuwa ya Amani na heshima; mmempa rungu kichaa sasa mtaona hasara ya ujinga wenu!!! Fikra na mawazo ya visasi anavyoendekeza JIWE havijengi taifa bali zinaliangamiza. Umoja wa dhati katika nchi ndio huleta maendeleo na sio vinginevyo.

Leo hii JIWE anadhani amezungukwa na watu huko ccm wanaompenda; ukwell ni kwamba hawampendi bali wanayapenda matumbo yao!! Ushahidi wa hili nisemalo ni pale siku atakapoondoka madarakani kwa njia yeyote ile hao hao wanaomsifia na magwanda ya kijani ndio watakaoandamana barabarani na kushangilia kwa mbwembwe kwa kuondoka kwake!!! Huo ndio huwa mwisho wa MADICTATOR popote pale ulimwenguni!!!
 
Eti umefanya Kazi sijui katika reputable international organization. Umeulizwa? Kuna Mijitu hapa ni 'Mipumbavu' na 'Mishamba' sijapata kuona. Na wengi wenu wenye 'Umasikini' wa 'Kifikra' huwa mnapenda sana 'Kujionyesha' hapa JamiiForums kuwa mna Maisha Mazuri wakati huenda hata 'Kiuhalisia' tu mkawa hampo Ulaya na mpo zenu huko Kyaka Nkunde au Ikupilipa Nkoba mnalima 'Mbaazi' na 'Mmechoka' kweli kweli.

Sasa kama Wewe kweli unajiamini una Maisha Mazuri na sijui upo Ulaya katika Kampuni Kubwa Wewe hapa Jina lako ili tujiridhishe nawe na Uumbuke.Kuhusu Mimi kuwa na 'Comments' za 'Kipumbavu' yawezekana ukawa hujakosea ila unachonionyesha nawe huenda ukawa ni 'Senior' Kwangu 'Kiupumbavu' ni kwamba bado nawe 'unazisoma' vile vile. Umezaliwa na 'Ukoma' wa Akili na ndiyo maana huna Akili na ni 'Juha' hivi.
Naona imekugusa sana! Hiyo ni kukuonesha tu kuwa hata huyo mshamba mwenzio atawale milele mi hainigusi kwa chochote!! Nipo mbali hata Mkapa hajaingia ikulu sembuse huyo?

Haha, we ndo unaonekana HAYAWANI hapa maana kila mwenye akili atajiuliza ubovu wa barabara hapo Rusahunga jibu lake linahusianaje na mtu kutawala milele?

Bwanamdogo mi si sehemu ya fukara wenzako mliokulia kwenye madagaa kauzu na mnaoishi kwenye dimbwi la mavi mvua zikinyesha!

Pole sana kama imekuuma kunywa panadol upooze maumivu.

Nikutajie na ninacholipwa kabisa?
 
Natamani mno Siku moja hizi ID's zetu zigeuke ghafla za zitaje Majina yetu halali ili tujue Wauza Mkaa Bigwa ni akina nani na Washua kweli ni nani.
 
Back
Top Bottom