Mabibi na Mabwana wapinzani wamebwagwa maendeleo sasa ni kama Uraya uraya tu.
Uraya = ulaya = uropa.
Siku ya pili leo habari kutoka Nyabugombe baada ya kimvua kidogo huko sasa mambo ni kama Ulaya!
Kumenuna vilivyo hapiti mtu! Bila shaka hata Uraya ni hivyo hivyo. Ajabu ni kuwa wahanga walioko huko ni misonyo na laana kwa kwenda mbele!
Wanasonya na kulaani ya ulaya? Wanataka ya wapi sasa?
Hiiii bagosha!