Umejuaje kama zimetoka moshi?Kuna coaster kama tano hivi,zimeingia sasa hivi na watu kutoka Moshi.
"Non of your business"umechangia nauli ya kukodi hayo magari? Kupata haki ni gharama kubwa zaidi
ya kukodi magari,hata ingeahirishwa mara 1000 watu bado watakodi magari na kuja mahakamani mpaka
kieleweke"!!!!!!!
kwani anayejua haki imetendeka au haijatendeka kwa mujibu wa utaratibu ni nani?mimi najua ni mahakama na huko ndiko ishu ya lema ilipo.sasa kwa nini unaanza kuwa biased na hukumu kabla haijatolewa?Maana yake ni kutotenda haki,mbona imeeleweka vema tu!
....watarudi tena kuja kutuambia sasa wamerekebisha kasoro, halafu wataahirisha na kupanga siku ya kuanza kusikiliza mwakani Mungu akipenda! Hawa jamaa ni kama vile wanachezea mood zetu.
Ruling tayari,mapingamizi 2 yametupwa,moja limekubaliwa,lakini kwambain 14 days kasoro irekebishwe na kesi ya msingi iendelee
Huyu atafafanua, tusubiri.Mkuu Yericko Nyerere tafadhali funguka vizuri zaidi. Tumeambiwa hapa kwamba kesi imeahirishwa kwa muda wa siku 14 ili mahakama ifanye marekebisho ya kasoro zilizojitokeza.
Sasa hapa tena unasema Ruling tayari, mapingamizi mawili yametupwa na moja limekubaliwa. Nimeshindwa kukupata vizuri.
Leo ni hukumu ya pingamizi la kutupilia mbali rufaa lililotolewa na mawakili upande wa CCM, kama pingamizi litakubaliwa basi rufaa haitasikilizwa, kama pingamizi litakataliwa basi rufaa ya Lema itasikilizwa na kupangiwa tarehe nyingine ya hukumu.
mungu yuko pamoja nae ni lazima ashinde tuu... Na ubunge wake atarudishiwa.......
Huenda kilio cha Lissu kiko sahihi[/QUOTE
Kama hadi leo wewe ni miongoni mwa watu, ofcourse wachache, wasioelewa na kuona ukweli ktk hoja ya Tundu juu ya uteuzi wa majaji, tena kwa ushahidi mzito ambao hawajaweza kukanusha, basi kuna matatizo makubwa.