Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

Leo ni hukumu ya kesi ya lema au ni hukumu ya pingamizi ya rufaa ya lema please nielewesheni.

Ok nimekupata@ Nyerere kama ambavyo nilikuwa najua kesi ya msingi ya Lema bado. Kilichokuwa kinajadiliwa na mahakama ni mapingamizi ya awali ya hiyo kesi.
 
Mkuu Yericko Nyerere tafadhali funguka vizuri zaidi. Tumeambiwa hapa kwamba kesi imeahirishwa kwa muda wa siku 14 ili mahakama ifanye marekebisho ya kasoro zilizojitokeza.

Sasa hapa tena unasema Ruling tayari, mapingamizi mawili yametupwa na moja limekubaliwa. Nimeshindwa kukupata vizuri.
Nilimaanisha,
ruling tayari inaendelea kusikilizwa, mapingamizi 2 yametupwa,moja limekubaliwa,lakini kwamba in 14 days kasoro irekebishwe na kesi ya msingi iendelee
 
Last edited by a moderator:

Bila shaka yupo njiani kwani makamanda wanaelekea ofisi za CDM kwa maandamano,akifika nadhani
ataeleza vizuri
 
Who is Lema kwani?????? Kwanini habar yake ipewe mvuto. KUna mambo mengi sana ya kuandika na yenye uzito..siyo habari kama hii!!

Mzigo wa pua unaathiri fikra sahihi
 
Mods rekebisheni hapo kidogo,

Nilimaanisha,

"Ruling tayari inaendelea kusikilizwa",

mapingamizi 2 yametupwa,moja limekubaliwa,lakini kwamba in 14 days kasoro irekebishwe na kesi ya msingi iendelee
 
Mie kwa upande wangu nashanga kuhusu hiyo rufani yake kweli kuna ukweli wowote cos kila wakati inahairishwa je nani mkweli kwenye hili suala lake:israel:
 
Mkuu yericko naomba utoe ufafanuzi kuhusu mapingamizi yaliyo tupiliwa mbali na mahakama na hilo lilo kubaliwa, maana hata hilo moja linaweza kubariki maamuzi ya awali ya mahakama! Kama hutojali ungetoa ufafanuzi kwa hilo. Tukumbuke kosa moja linaweza sababisha ubunge wa mtu kutenguliwa!

Nilimaanisha,
ruling tayari inaendelea kusikilizwa, mapingamizi 2 yametupwa,moja limekubaliwa,lakini kwamba in 14 days kasoro irekebishwe na kesi ya msingi iendelee
 
Nilimaanisha,
ruling tayari inaendelea kusikilizwa, mapingamizi 2 yametupwa,moja limekubaliwa,lakini kwamba in 14 days kasoro irekebishwe na kesi ya msingi iendelee
Samahani lakini, leo umeamka na hangover? hivi unajuwa kwamba haujajibu swali na wala haujasaidia lolote wanajamvi kwa bandiko hili zaidi ya kutuacha na maswali zaidi?
 
Marekani wamefanya uchaguzi matokeo yametoka ndani ya saa tano,hapa kurekebisha kosa 14days?ee Mola tuepushe na majaji hawa vilaza maana sijui wanakotaka kutupeleka.
 
Mkuu Yericko Nyerere tafadhali funguka vizuri zaidi. Tumeambiwa hapa kwamba kesi imeahirishwa kwa muda wa siku 14 ili mahakama ifanye marekebisho ya kasoro zilizojitokeza.

Sasa hapa tena unasema Ruling tayari, mapingamizi mawili yametupwa na moja limekubaliwa. Nimeshindwa kukupata vizuri.
Mkuu rulling ya hayo mapingamizi ndo imetolewa.
Mahakama imeamaua marekebisho yakafanyike na baada ya siku 14 kesi ya msingi itaendelea.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Lema kashinda Pingamizi la kesi leo, kesi inaanzwa kusilizwa kesho then Hukumu after 14 days
 
mwanangu na mpendwa mheshimiwa lema, siku zote mtu mwema anajaribiwa na shetani na wakati fulani mungu anaruhusu ili watu wengine wajue jinsi mungu anavyoweza kumlinda mtu anayedhulumiwa.

Umedhulumiwa wadhifa wako pasipo na sababu lakini sasa imetosha, mungu anakwenda kuingilia kati na utarudishiwa ubunge wako uliopewa na wananchi wa arusha
mungu akubariki asubuhi hii unaposubiri matokeo ya case yako
amina

ameen ... naamini katika nguvu ya maombi siku zote
 
Nilimaanisha,
ruling tayari inaendelea kusikilizwa, mapingamizi 2 yametupwa,moja limekubaliwa,lakini kwamba in 14 days kasoro irekebishwe na kesi ya msingi iendelee

Ooopppsss! kamanda bado sijakupata Kabisa, hata sijui ni kwanini sikuelewi.
Kama kuna mdau amemuelwa ama anaweza kusaidia kunyoosha maelezo, msaada tafadhali.
 
Marekani wamefanya uchaguzi matokeo yametoka ndani ya saa tano,hapa kurekebisha kosa 14days?ee Mola tuepushe na majaji hawa vilaza maana sijui wanakotaka kutupeleka.

Mkuu kama hukulijua hili, tambua basi Marekani wao upiga kura siku kadha kabla ya siku ya uchaguzi na tarehe ya uchaguzi ni maalumu tu kwa kura ya masenator, na wale waliokuwa hawajavote pia kwa ajili ya majumuisho ya kura zote kati ya wananchi na za baraza la senators.
 
Back
Top Bottom