Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

Mie kwa upande wangu nashanga kuhusu hiyo rufani yake kweli kuna ukweli wowote cos kila wakati inahairishwa je nani mkweli kwenye hili suala lake:israel:
karibu JF
 
Mkuu rulling ya hayo mapingamizi ndo imetolewa.
Mahakama imeamaua marekebisho yakafanyike na baada ya siku 14 kesi ya msingi itaendelea.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
muombeeni dua pia SHEIKH PONDA
 
Lema kashinda Pingamizi la kesi leo, kesi inaanzwa kusilizwa kesho then Hukumu after 14 days OK MWANZO MZURI CHEZEA LISSU WEWE
 
Mkuu rulling ya hayo mapingamizi ndo imetolewa.
Mahakama imeamaua marekebisho yakafanyike na baada ya siku 14 kesi ya msingi itaendelea.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hivi watu leo mmerogwa!? na wewe unadhani jibu hili linawatosha wana JF waliowengi bila kuwaacha na maswali zaidi? kama kutoa ufafanuzi kwa kiswahili ni tabu basi toeni ufafanuzi kwa Kiingereza.
 
Ukweli utafahamika tu ni subira ndo inayohitajika
 
Thanks kamanda kwa ufafanuzi. Sasa nimewapata bara-bara.

Mkuu rulling ya hayo mapingamizi ndo imetolewa.
Mahakama imeamaua marekebisho yakafanyike na baada ya siku 14 kesi ya msingi itaendelea.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu kama hukulijua hili, tambua basi Marekani wao upiga kura siku kadha kabla ya siku ya uchaguzi na tarehe ya uchaguzi ni maalumu tu kwa kura ya masenator, na wale waliokuwa hawajavote pia kwa ajili ya majumuisho ya kura zote kati ya wananchi na za baraza la senators.
Mwongo mkubwa wewe, katafute vijiwe vya kahawa ndio uende kuwadanganya wajinga na wapuuzi wenzio.
 
Ooopppsss! kamanda bado sijakupata Kabisa, hata sijui ni kwanini sikuelewi.
Kama kuna mdau amemuelwa ama anaweza kusaidia kunyoosha maelezo, msaada tafadhali.
Mkuu kabla ya rufaa kuanza kusikilizwa pale arusha, upande wa ccm waliweka pingamizi juu ya usikilizwaji wa rufaa hii kutokana na makosa yaliyofanywa na mahakama kuu ya arusha ktk documents zilizowasilishwa na wakili wa cdm, maamuzi juu ya mapingamizi hayo ndio yametolewa leo ambapo mahakama imeamua marekebisho yakafanyike na kesi ya msingi itaendelea baada ya siku 14.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Lema kashinda Pingamizi la kesi leo, kesi inaanzwa kusilizwa kesho then Hukumu after 14 days
 
Lema kashinda Pingamizi la kesi leo, kesi inaanzwa kusilizwa kesho then Hukumu after 14 days OK MWANZO MZURI CHEZEA LISSU WEWE
Ni jambo jema sana mkuu...tatizo wengi wetu hatuna uelewa wa mambo ya kisheria na uendeshaji wa kesi mahakamani
 
Naona defender kama nne zimejaa askari na gari la maji ya kuwasha yamepita maeneo ya
tazara yanaelekea mjini,sijui ndio mahakamani.Hivi watanzania tutaishi kwa kutishana hivi
mpaka lini?

...amani ya nchi haiwezi kulindwa kwa mabom ya mchozi na maji ya washawasha...amani ya nchi ulidwa kwa sheria zenye kutoa HAKI,hayo mengine ni ufahari wa kijinga na kutojiamini kwa serikali dhaifu iliyopoteza uhalali wa kutawa...
 
kwani anayejua haki imetendeka au haijatendeka kwa mujibu wa utaratibu ni nani?mimi najua ni mahakama na huko ndiko ishu ya lema ilipo.sasa kwa nini unaanza kuwa biased na hukumu kabla haijatolewa?
Anayejua haki imetendeka au haijatendeka ni sisi wananchi ambao tulimpa kura mbunge wetu si mahakama,na haki isipotendeka ndio nimesema wataumia.
 
Hivi watu leo mmerogwa!? na wewe unadhani jibu hili linawatosha wana JF waliowengi bila kuwaacha na maswali zaidi? kama kutoa ufafanuzi kwa kiswahili ni tabu basi toeni ufafanuzi kwa Kiingereza.

Aliyeuliza swali ameshaelewa jibu langu mkuu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi watu leo mmerogwa!? na wewe unadhani jibu hili linawatosha wana JF waliowengi bila kuwaacha na maswali zaidi? kama kutoa ufafanuzi kwa kiswahili ni tabu basi toeni ufafanuzi kwa Kiingereza.

Haahaaa mkuu Matola unahasira kweli,

Subiri kidogo niandae maelezo murua juu ya mapingamizi husika na lililopelekea kesi kuahirishwa!
 
Back
Top Bottom