Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

Lema kashinda Pingamizi la kesi leo, kesi inaanzwa kusilizwa kesho then Hukumu after 14 days

Angalau wewe sasa nimekuelewa bila kuacha chembe ya shaka hata kidogo, Ikiwa maelezo yako yatakuwa sahihi.
Lakini angalau umejitahidi kunyoosha maelezo na umeeleweka.
 
Sina muda wa kupoteza kupiga porojo na kilaza wa kijiweni kama wewe, maana ndiyo asili yenyu watanzania ngoja nikapige kazi
Kwa akili yako ndogo unadhani kila mtu ni mtumwa!! box oyee, mimi nasubili makusanyo ya biashara zangu jioni.
 
Nilikusifu kweli kwa kumuelewa Bara-bara.

Mkuu nadhani umeona maelezo ya wadau yanavyojichanganya, so nilikuwa najaribu kumpeleka taratibu ili angalau nifike mahali nimuelewe, na nielewe exactly ni kitu gani kilichotokea mahakamani. Kwahiyo nilimuelewa bara-bara kwa makusudi.
 
Kwanini hii Ruling waihamishie Dar Es Salaam? Halafu pia chakushangaza hata viombo vya habari kupitia magazeti ya leo ni kwamba vilikua havina habari na Ruling hii zaidi ya gazeti la Majira peke yake! Hapa kuna mchezo mchafu unaoendelea kupitia mahakama zetu!
 
arusha.jpg

Hataka uchanguzi ukirudiwa bila ya lema
 
Sina muda wa kupoteza kupiga porojo na kilaza wa kijiweni kama wewe, maana ndiyo asili yenyu watanzania ngoja nikapige kazi
Mwea, unajua umemkosoa Matola na maneno makali huku ukimuaminisha kuwa wewe upo Marekani na kuwa ulipiga kura mapema. Tatizo lako uliposema sehemu ulipo kuwa ni Uhio hapo ndio uka-raise doubts kwa Matola maana kwa hakika hiyo sehemu haipo, si tu Marekani, bali pia duniani kote! Sasa wewe uko sayari gani? Au uko mwezini?
 
Mkuu Mwita Maranya hata nami kuchelewa kuonekana kwa Ngongo nimejiuliza na hata hivyo nikajua atakuwa busy na hata hivyo kuna member sijawaona ila nina IMANI watatua punde ktk uzi huu!


Mkuu Ngongo kwa kipindi hiki tafadhali jitahidi kusahau tofauti zako na Lema, endelea kumtabiria mambo mema ili hatimaye haki yake ionekane ikitendeka na kupatikana.
 
Last edited by a moderator:
There are currently 971 users browsing this thread. (204 members and 767 guests)
hivi hawa Guests huwa ni kina nani? inamaana ni wengi kuliko members
 
Wanabodi na wanaushirika.

Tujenge utamaduni wa kuheshimu uhuru wa mahakama tukubali hukumu yoyote itakayotolea na mahakama.

hata hukumu zinazotolewa na majaji vihiyo waliochaguliwa kinyume na sheria na dhaifu kwa lengo la kuibeba serikali iliyoingia madarakani kwa mtandao wa wizi wa epa (KAGODA)kutumia rushwa,na mashabiki wajinga waliohongwa skafu,fulana na ubwabwa mara moja kila baada ya miaka mitano?
 
Kha ha ha ha ha ha ha ha haaaaa!! Hata angewekwa kipofu atashinda tu! Hapa ccm wakirudisha hili jimbo mikononi mwao itakuwa ndoto ya saa nne ya asubuhi!


QUOTE=Mzee Wa Rubisi;4988119]View attachment 70619

Hataka uchanguzi ukirudiwa bila ya lema[/QUOTE]
 
hivi hawa Guests huwa ni kina nani? inamaana ni wengi kuliko members
Wamo kina Salva Rweyemamu humo, Mkwele mwenyewe akipata muda huwa tunakuwa naye humo pamoja na Members wengine ambao huwa hawapendi kulog in kuchangia.
 
Rais kesha sema atak tena Lema awe mbunge....kesi hyo ni pcha la kihindi kama lile la ulmboka
 
Huyu Kamanda ni ugonjwa fluu kwa mafisadi amekuwa mweupe kusema aliyonayo moyoni bila chenga na hana cha kusema anambebea mtu rohoni na ni jambo ambalo linawagharimu sana chichiem mafisadi! Heko CDM daima!


Jembe Lema anaongea na wanahabari, jamaa anajiamini sana!

Pipoooooooz Pawaaaaaa!

CCM mtatafuta hifadhi ya kisiasa mwaka huu hadi ifike 2015 mtakuwa hoi!
 
Lema ni mbunge wa zaidi ya watu laki 2, na mwanaharakati wa chama nyenye mamlioni ya wafuasi wenye mapenzi makubwa sana kwa chama nchini.

Hujaona bado wapi umihmu wake unaonekana?hembu fikiria kinachoweza tokea ktk ya wafuasi wote hao nyumba yake kama hakiwezi kuwa habari tena ya kutisha kama si ya kushangaza sana.
Hebu sahihisha kwanza hapa!! kwa data nilizo nazo Tanzania kwa sasa haina mbunge yoyote anayeitwa Lema
 
Huyu alikimbia shule kati ya darasa la tatu na la tano.

Hilo sio tatizo maana katiba inaruhusu mtu yeyote anaejua kusoma na kuandika. Soma CV ya mbunge wa Kinondaoni - Azani
 
Zitakuja zaidi n amagari binafsi pamoja na pikipiki za kutosha,hasa kwa wale watu waliokuwa hawana hakika sana kuwa ni dar au arusha.Watu wa arusha wamezoea kudrive na kwenda mbali.Hata timu ya wazee huenda nzhi nzima kucheza mechi za kujifurahisha na watu wa huko, na huko hupiga mechi kuanzia asubuhi hadi jioni kwa viwanja tofauti ktk hiyo mikoa.So usisngae kuona rubega za kutosha siku hiyo.


bAHELEZE MAGARI HATUKODISHI TUNAYOKIBAO TUNACHANGIA MAFUTA TU .... HAHAHA.. NA MIE NTAKUWEPO SIKU HIYO NINI BANA...
 
Back
Top Bottom