kumbe chadema ni kama paka??? Nimependa sana huo uwakilishi
yani ukisimamisha paka na ccm huku kwetu tunachagua paka eti.... Usilete mchezo na wabarikiwa ....
kumbe chadema ni kama paka??? Nimependa sana huo uwakilishi
Tukisema chama chenu ni cha dini mnalia lia hapa!!yani ukisimamisha paka na ccm huku kwetu tunachagua paka eti.... Usilete mchezo na wabarikiwa ....
hivi hawa Guests huwa ni kina nani? inamaana ni wengi kuliko members
Kha ha ha ha ha ha ha ha haaaaa!! Hata angewekwa kipofu atashinda tu! Hapa ccm wakirudisha hili jimbo mikononi mwao itakuwa ndoto ya saa nne ya asubuhi!
Panua fikra ndugu yangu. hapa una wanyanyapaa ndugu zetu wasio na uwezo wa kuona. Nataka kuamini unajua kuwa wapo wengi wana uwezo mkubwa kiuongozi kuliko wengi tu wasio na ulemavu huo. Pengine umepitiwa tu ndugu yangu ukaandika hivi.
huyu ndio mchuuuuuuu wa M4C? safi sana, makamanda tunaweza! Hongera mama LemaMahakamani leo.
![]()
Angalau wewe sasa nimekuelewa bila kuacha chembe ya shaka hata kidogo, Ikiwa maelezo yako yatakuwa sahihi.
Lakini angalau umejitahidi kunyoosha maelezo na umeeleweka.
Hebu sahihisha kwanza hapa!! kwa data nilizo nazo Tanzania kwa sasa haina mbunge yoyote anayeitwa Lema
Tukisema chama chenu ni cha dini mnalia lia hapa!!