Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Tukisema chama chenu ni cha dini mnalia lia hapa!!
kwani utakuwa wa kwanza kusema...wajinga ni wengi.Baraka hata baba yako anaweza kubariki kwa kukuambia maneno ya kukutakia majaliwa mema.Hata wimbo wa taifa unabariki nchi na watu wake.Nao ni udini?Hutoafautiana sana na avatar yako.