shosti tafadhali, mshindi ni mwanangu charminglady na twasubiri miziwadi wala hajatoka kwenda popote
my pleasure king! Kusalimiwa na wewe ni faraja sana. Upendo wa mungu ukutangulie.
Lundenga atakuwa anakula gud tym na mshindi
Ruhazwe JR na charminglady wapo kwenye honeymoon, wakimaliza watatangaza zawadi kwa washindi
mie nilitaka mshindi utie neno hapa. hongera sana ila si ulikuwa karibu na lundenga bana!!! lol.
mshindi bado kidogo anitemee mate. upo poa shem? heri ya mwaka mpya kwa kiinglish happy new year.
hivi unajua kuwa ngumi ya kulia inauma zaidi ya ngumi ya kushoto, lakini ngumi ya kushoto ndio huwatoa sana manundu mabondia wengi....sasa chagua mwenyewe unataka niRIP na ngumi ipi maana hiyo ni kashfa kwa mteja na mwanangu CL...
we umesikia wapi charminglady analalamika kuhusu zawadi yake? mwache lundenga acheze sebene na totoz charminglady, wakirudi wanatangaza zawadi
Umeona eeeeeeeeeeeehhhhhhhhhh........
TUNATAKA ZAWADI ZETUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Wapi Gazeti letu pendwa la udaku la JF????
Naomba kichwa cha habari cha leo kisomeke hivi
SHINDANO LA MISS CHIT CHAT LAINGIA DOA... MUANDAAJI AINGIA MITINI NA ZAWADI ZA WASHIRIKI
copy to: Chimbuvu, Slave, Mu-sir, watu8, Erickb52, Nicas Mtei, Arabela, Madame B masopakyindi Samaritan na kitalolo bila kuwasahau Invisible na Moderator
Unajua nini kitalolo kama kuna tatizo si aliweke wazi???? Kwanini atuachie "Sintofahamu" ????
Ruhazwe JR hebu kuja pande hii uliweke wazi!!!!!
Naona ushapenda chongo wewe, utaona mwenyewe
Nae Mshiriki mwenzetu charminglady kama yuko na anko Lundenga si atuambie tu,
Mimi na Arabela tuko radhi kusamehe zawadi zetu!!!!!!!!!!!!!!
We waache wataona nguvu ya Dola.
Bado tupo kwenye kikao cha wadhamini na tunataka kupiga picha na washindi pamoja na kuwapa maua,sasa aliyepewa tenda ya kusambaza maua kala nyasi
Nae Mshiriki mwenzetu charminglady kama yuko na anko Lundenga si atuambie tu,
Mimi na Arabela tuko radhi kusamehe zawadi zetu!!!!!!!!!!!!!!