compressor
Member
- Nov 26, 2009
- 76
- 0
tumuombe mungu mpe malipo ya aliyoyafanya,mungu mjuzi wa yote anajua yenyekuonekana kwa macho na yaliyojificha ndani ya nafsi
bado nashangaa waliwezaje kutembea pamoja nakukandamizwa mbele na nyuma. ?
She said one day as she was going to school, Babu Sea who was latter identified to be the 1st appellant called her, asked her where she lived and with whom. He then asked her if she was being given school money, to which she replied that it was not daily. The 1st appellant is alleged to have given her chewing gum and promise that he would be giving her money. Then one day as she was going home from school, the 1st appellant called her, gave her a soda, took her into his room, told her to close her eyes, tied her with a black peace of cloth over her eyes, undressed her, applied an ointment in her private parts and raped her. During the process the 1st appellant also told her to suck his penis, which she did.
She was not alone. She told PW 2 that she had gone to the 1st appellants house with her friends whom she mentioned. After she had been told this sad story, PW 1 did a visual examination of PW 2s private parts and found fresh blood and pus oozing there from. Her immediate reaction was to take PW 2 to hospital where she was turned down and told that this was a police case. At around 8.00 p.m. of the same date 9/10/03 she reported to Urafiki Police Station, was given a PF 3 with which she took PW 2 to Mwananyamala Hospital after being referred there from Magomeni Hospital. Examinations revealed that PW 2 was infected with gonorrhea. She was treated.
Ujue hii habari ya babu Seya wala haileweki, wengine wanasema kweli alifanya hayo makosa na watoto wake.
Ila kuna vitetesi huku mitaani kwamba hakufanya, ila kuna mtu mmoja ni mkubwa hapa nchini ndio kaamua kumuweka ndani yeye na watoto kwa sababu babu Seya alikuwa anamnyemelea mke wa huyo mkubwa flani. Hivyo eti hata wale mashahidi ni wakupikwa.
Hapa tunaangalia sheria za kibongo zinavyoendeshwa kibongo bongo, ukifuatilia Marando alivyoongea jana, utaona kuwa wanaonewa tu, na wanastahili kutoka hata leo.lakini kwa nini tunaomba atoke?kwamba hajafanya kosa au? kwamba ametumikia vya kutosha au? kwa sababu anaonewa au?
siamini kama sheria ipo.......kama ipo tuiache itende kazi yake kama haipo basi tuwaache wakubwa wafanye wajuavyo.................
Dunia hii imejaa mambo ya ajabu sana. Great people do great mistakes!. Nilipata kusoma ile hukumu ya mwanzo ya Babu Seya na wanawe. Kwa ushahidi ulivyokuwa ni vigumu sana kuamini kama haya mambo waliyotuhumiwa nayo yote ni ya kupika/kupangwa tu. Na hata ukisoma utetezi wao (kupitia wakili wao) hakuna mahala wanalalamika au wamemtaja mtu kwamba amewa'frame'.
Binafsi siamini kama wanaweza kushinda hiyo rufaa na wakaachiwa huru. Labda adhabu inaweza kupungua tu.
hapa tunaangalia je wanaotafsiri sheria zetu wanatenda sawa?
mkuu hiyo avator lol!Hawa wanao andaa mashtaka ndo vilaza wa kutupwa kabisa hawafai bado mbumbumbu.
bora unyamaze wewe..inaonekana hata hujafuatilia kesi...ametajwa mwanamke aliekuwa inasemekana amem-frame..
ni kweli mtoto wa miaka sita - nane abakwe mbele na nyuma atembee, mmh amakweli dunia inashangaza.[B said:MARANDO[/B];686690]aidha, alidai mmoja wa watoto hao alidai kubakwa hadi kutoka damu, lakini taarifa ya daktari iyowasilishwa mahakamani hapo ilionyesha kuwa mtoto huyo ni bikira na wala haonyeshi aliwahi kubikiriwa wala kuingiliwa kinyume na maumbile, hivi tujiulize, kibaiolojia kweli inawezekana mtoto wa miaka sita abakwe na wanaume hawa (warufani) nyuma na mbele halafu mtoto huyo aweze kutembea? Haiingii akilini hata kidogo, nasema kesi hii ni ya kutunga, kwani hata mwanamke mwenye umri wa utu uzima akifanyiwa unyama huo hawezi kutembea," alidai marando.
.
kaka/Dada umejikatia tamaa..?kama ipo tuiache itende kazi yake kama haipo basi tuwaache wakubwa wafanye wajuavyo.................
bora unyamaze wewe..inaonekana hata hujafuatilia kesi...ametajwa mwanamke aliekuwa inasemekana amem-frame..
Wale wote waliotunga/kutengeneza kesi hii, na walio hukumu isivyo sahihi walaaniwe, hata hivyo Mungu yupo, Babu seya na wanawe atawajalia watatoka na kuungana na familia zao.ni kweli mtoto wa miaka sita - nane abakwe mbele na nyuma atembee, mmh amakweli dunia inashangaza.
ni kweli mtoto wa miaka sita - nane abakwe mbele na nyuma atembee, mmh amakweli dunia inashangaza.