Rufaa ya Babu Seya, tumuombee atoke?

lakini kwa nini tunaomba atoke?kwamba hajafanya kosa au? kwamba ametumikia vya kutosha au? kwa sababu anaonewa au?
siamini kama sheria ipo.......kama ipo tuiache itende kazi yake kama haipo basi tuwaache wakubwa wafanye wajuavyo.................

Unajuwa unachokiongea??Ina maana utakubali kuonewa na mkubwa hata kama hauna kosa.....Kama hujasoma una haki ya kusema hivyo na kama umesoma na unaijuwa elimu vizuri naamini huwezi kusema hivyo...Wewe unaona hiyo kesi ipo sawa???Naona umependa sana kuona hivyo!!
 
Hivi hata kama mnapenda ngono kiasi gani, baba anaweza kufanya hivyo mbele ya watoto kweli?, na kama kweli kafanya hivyo iweje wananchi watake kuandamana kwa ajili yake? kwani ni wangapi wamefungwa kwa ajili hii na wananchi wako kimya?

hapa ni lazima kuna kitu, na mkitaka kupata ukweli fuatilia magazeti ya leo jioni (kwa wale walioko Dar) yatauzwa sana kwa ajili yake, hapo hampati jibu kweli?
Katika hali ya kawaida haiwezekani, lakini katika kizazi cha nyoka kilichojaa ushirikina kama hiki tulichonacho basi inawezekana kwa 100%!!! Je, wewe hujawahi kusikia mtu kajigjig na mamake mzazi kwa ajili ya kupata utajiri(baada ya kuambiwa na sangoma)? Sasa kama haya yanatokea, lipi gumu kufanyika-kati ya kujigjig na mama mzazi au kuvijigjig vitoto kwa kushirikiana na na watoto wako wa kiume?! by the way, hapa inasemwa alishirikiana na watoto wake wa kiume, lakini inawezekana dingi anaingia anapiga, kisha anatoka kisha wanafuata madogo, nao kila mmoja anapiga na kutoka!!! Je, hili ni gumu kulinganisha na kumvua chupi mama mzazi?! Katika kizazi kilichooza kama hiki, hamna kinachoshindikana!!! But all in all, ukweli upo nafsini mwao-kama wanaonewa basi mungu atawalipa na kama walifanya, basi dunia ya wastaarabu haiwahitaji hata kuwaona!!!!!
 
Sikuwapo wala sijui kama kweli walifanya au hawakufanya makosa waliyohukiwa nayo. Ila ushahidi uliotumika kuwatia hatiani una mashaka sana kisheria. Wakili Marando aliamua kutumbua sehemu chache tu ushahidi ule lakini kuna vipengele vingi sana vyeye udhaifu mabavyo nadhani hakupata muda wa kupitia vyote kutokana na ufinyu wa muda aliokuwa nao baada ya wakili Nyange kujitoa kwenye kesi ile.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom