Rufaa ya Babu Seya, tumuombee atoke?

..Kwani wanaokata rufaa huwa wanatoka kwa kuombewa au vipengele vya vya sheria ndio vinasababisha watoke au wasitoke????
Hata wakati unapotaka kufanya mtihani huwa unaomba kwanza ili wanaosahihisha mtihani wako wasahihishe kwa makini,
 
lakini waliwezaje kuwafanya matusi watoto wadogo bila kujulikana, watu watatu wababa kabisa wazini na vitoto vya miaka saba hadi 12 isijulikane hadi zaidi ya mwezi mmoja, mmh madaktari tufafanulieni hili, inawezekanaje mambo haya.
 
Nao wawekwe kitimoto waeleze ukweli hadhalani, maana hata baba akifanya hivyo na H/G haipiti wiki, kila kitu kiko adhalani, sembuse watoto wa shule na kwa siku kadhaa??

Mnakumbuka na yule jamaa maumba alituhumiwa hivi hivi, lakini alishinda rufaa
 
watanzania mbona tunakua wajinga sana?, hembu someni kesi yake ndo muweze kusema kabla hamjaamua kuchangia hapa. Wale jamaa UKISOMA KESI WAMEFANYA MAMBO MABAYA SANA, NA WANASTAHILI KUOZEA MULE JELA.

nashauri msome kesi.
 
Haki itendeke,
a) kama kweli alibaka watoto afie huko maisha yake yote shetani mkubwa iblisi laana, akitoka kwa umaarufu wake na kupindisha sheria watoto aliowaharibu nawashauri wamfizia wamuondoe kwa upanga
b) kama alionewa sheria itumike atoke na waliomsingizia wawekwe lupango kwa kumharibia heshima yake
BTWN wait and see.
 
God will be with u in all ua ways Babu seya and ua sons.Wish 2c u out soon.Your the one who knows the truth.....sheria ndo itaamua......God bless u.
 
Hta mimi namuombea atoke whether alibaka au hakubaka. Why? Coz naamini amejutia kosa lake kwa muda wote huo aliokuwa kifungoni, na mbaya zaidi akiwa na vijana wake, everybody needs forgiveness and a second chance. Kama Mungu angekuwa hatusamehi makosa yetu unadhani ingekuwaje, and we are repeteadly sinning, But God has mercy and gives us a chance to repent n be restored, so we have to forgive so that we can be forgiven.
 
Mimi sijui ukweli wa hili jambo.But,but please tell me you are not serious.Hata kama ali-do na vitoto atoke?Kha!
 
Mie akili yangu haijawahi kuukubali ukweli huu
sijawahi kuona baba akawa na akili moja na wanae wote angekuwa mmoja sawa lakini watatu wote wana kubaliana vitendo vya ajabu namna hii
ni mwenyezi mungu pekee atatoa hukumu ya haki kama walifanya au hawakufanya
Hainiingii akilini kabisaaaaaaa hasa nikianza ku -imagine kama ni baba yangu vile na kaka zangu watatu wote wanaakili ya kufanana ....aaah kweli !?
 
watanzania mbona tunakua wajinga sana?, hembu someni kesi yake ndo muweze kusema kabla hamjaamua kuchangia hapa. Wale jamaa UKISOMA KESI WAMEFANYA MAMBO MABAYA SANA, NA WANASTAHILI KUOZEA MULE JELA.

nashauri msome kesi.

shame on you for the red part!!! never repeat that again.
 
Ujue hii habari ya babu Seya wala haileweki, wengine wanasema kweli alifanya hayo makosa na watoto wake.
Ila kuna vitetesi huku mitaani kwamba hakufanya, ila kuna mtu mmoja ni mkubwa hapa nchini ndio kaamua kumuweka ndani yeye na watoto kwa sababu babu Seya alikuwa anamnyemelea mke wa huyo mkubwa flani. Hivyo eti hata wale mashahidi ni wakupikwa.
 
Kama hawakutenda mwenyezi mungu awasaidie watoke lakini kama wametenda wafuungwe. Ukweli wanao wenyewe kama wametenda au la....
 
Ujue hii habari ya babu Seya wala haileweki, wengine wanasema kweli alifanya hayo makosa na watoto wake.
Ila kuna vitetesi huku mitaani kwamba hakufanya, ila kuna mtu mmoja ni mkubwa hapa nchini ndio kaamua kumuweka ndani yeye na watoto kwa sababu babu Seya alikuwa anamnyemelea mke wa huyo mkubwa flani. Hivyo eti hata wale mashahidi ni wakupikwa.

Ni nanai atathibitisha ukweli huu Pretty ???
 
Ndio hapo hakuna wa kudhibitisha, kama ni mkubwa kaamua ndio kaamua........kama ujuavyo tena hii nchi yetu.
Ipo siku ukweli utakuja julikana,maana hakuna siri hapa duniani. Kama kweli walitenda itakuja julikana au kama mtu kawafanyizia nayo itakuja tu julikana huko mbeleni.
 
Hapa mi naona sheria ichukue mkondo wake, Maana kama ukweli upo na sio fitina basi ashinde poa au ashindwe nayo poa.
 
Mie akili yangu haijawahi kuukubali ukweli huu
sijawahi kuona baba akawa na akili moja na wanae wote angekuwa mmoja sawa lakini watatu wote wana kubaliana vitendo vya ajabu namna hii
ni mwenyezi mungu pekee atatoa hukumu ya haki kama walifanya au hawakufanya
Hainiingii akilini kabisaaaaaaa hasa nikianza ku -imagine kama ni baba yangu vile na kaka zangu watatu wote wanaakili ya kufanana ....aaah kweli !?
This is logic but not reality
 
Back
Top Bottom