Rubani wa kike wa Kenya Airways apata sifa kwa kutua Heathrow Airport licha ya kimbunga kikali

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Ujuzi wa rubani huyu umewashangaza watu wengi sana kwa kuweza kutua ndege akiwa anapambana na kimbunga kikali kilichokuwa kinayumbisha ndege lakini umahiri wake ulifanya ndege utue salama salmini. Rubani huyu kweli anaifahamu kazi yake. Hongera sana dada.

She doesnt deserve kupewa sifa, very dangerous risk, ndio maana sipendi kupanda KQs. Do you remember Kenyan idiot piloting Boeing 737 who forced to fly from Younde Cameron despite being warned not to, amid bad Weather, kilichofuata he killed all passengers onboard
 
other pilots were landing, it takes skill to do such. wacha kelele za chura
 
Hivi wakenya bado hamjaelewa what the hype is for?

Sio ndege kutua. Ndege hutua hapo katika hali mbaya zaidi ya hiyo.

Kitu kinacholeta hii yote in "an African doing it" tena ni mwanamke.

Idiots will still not get it!

Kenyans, your inferiority complex is getting out of hand!
"An African doing it"

Hivi hiyo haitaji sifa?

Si mupo humu mnapigia kelele vitu vilivyo vya kawaida kwengine kama bridges kisa vimejengwa Afrika?
 
She doesnt deserve kupewa sifa, very dangerous risk, ndio maana sipendi kupanda KQs. Do you remember Kenyan idiot piloting Boeing 737 who forced to fly from Younde Cameron despite being warned not to, amid bad Weather, kilichofuata he killed all passengers onboard

Hizi ndo roho za kiafrika. Wivu hatari. Mwenzio amefanya vizuri badala umpe moyo wewe unaona anakuzidi.
 
Heh! Yaani leo ile povu Watanzania wamemwaga hapa sio mchezo. Punguzeni wivu kidogo, tumpe hongera huyu dada.
 
Ungesema 'abiria wamenusurika (akiwemo rubani)' ingependeza kuliko kutuletea mambo za rubani ya Kikenya kurusha ndege. Kwani nchi gani haina female pilots? Ako Kenya only? Wakenya ni gani?
Pumbavu hebu weka female pilot wenu anayeoperate Boeing 787.
 
Ungesema 'abiria wamenusurika (akiwemo rubani)' ingependeza kuliko kutuletea mambo za rubani ya Kikenya kurusha ndege. Kwani nchi gani haina female pilots? Ako Kenya only? Wakenya ni gani?
Ana risk maisha. Lolote laweza kutokea.leo kabahatika siku nyingine itabaki kwa historia.
 
Crosswind landing huwa challenging sana and for her landing the aircraft at one go deserves respect, most aircrafts had to execute a missed approach and do a go around, so yes she deserves recognition wachen wivu
 
Back
Top Bottom