Rubani wa pili wa Kenya Airways afariki kwa COVID-19

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kapteni Salah Salim Jeizan ambaye ni Rubani wa Shirika la Ndege la Kenya Airways amefariki dunia kutokana na Virusi vya Corona
-
Imeelezwa kuwa, Kapteni Jeizan (57) aliwasili Uwanja wa Ndege wa Heathrow, London akitokea Kenya na alipata changamoto za upumuaji akiwa hotelini na kukimbizwa Hospitali

Anakuwa rubani wa pili wa KQ kufariki kwa COVID19 baada ya Kapteni Daudi Kibati kufariki dunia kwa Ugonjwa huo mwezi Aprili. Tangu kuanza kwa mlipuko huo nchini Kenya watumishi mbalimbali wa sekta ya anga wamegundulika na maambukizi

=====

A senior Kenya Airways captain has died of Covid-19.

Captain Salah Salim Jeizan, 57, died at a London hospital on Wednesday, the airline's chief human resources officer Evelyne Munyoki said in a condolence message.

The captain flew London (Heathrow Airport) on November 7 from Jomo Kenyatta International Airport. He developed difficulties in breathing while in a London hotel.

He was rushed to a local hospital where he was admitted. He has been on and off oxygen, according to sources familiar with his last days of treatment.

"We have informed our staff about the passing away of our colleague. May he RIP. Our thoughts are with his family at this difficult time," communications director Dennis Kashero told the Star Wednesday.

Jeizan was born on October 31, 1963. He joined Flamingo, a subsidiary of KQ, on May 1, 2000. He switched to the national carrier on November 21, 2001 and worked there till his death.

The airline management said Jeizan rose through the ranks, flying various fleets until his last position as a senior captain on the Boeing 787 fleet. The company has eulogised him as a dedicated staffer.

"On behalf of the board of directors, the management and staff of Kenya Airways, we join the family of the late captain Jeizan in mourning their beloved one and pray that the almighty God will strengthen them during this time of sorrow," KQ said.

Kenya Airline Pilots Association, of which he was a member, had yet to give a statement on Wednesday evening.

General secretary and CEO captain Murithi Nyagah told the Star the association was waiting for consent from the family.

Jeizan served mainly the European, US and Middle East destinations.

He is the second senior captain at KQ to die of Covid-19 after captain Daudi Kibati who passed on in April.

Kibati fell ill on March 29. He died on April 1, a week after performing his last international assignment for Kenya Airways.

He had been in command of a flight from New York to Nairobi, an evacuation trip for Kenyan citizens who had been stranded in the US when the Covid-19 pandemic broke out.

The latest development points to the vulnerability of front-line workers in the aviation industry.

Several pilots, cabin crew, ground service personnel and flight attendants, have tested positive since the virus hit the country in March.

With international and domestic travel having resumed, they remain among the most exposed to the virus, which has affected more than 84,169 people in Kenya, with the country's fatalities at more than 1,474.
 
Duu Mungu tunusuru. Aghakan kwetu na Muhimbili na kwingineko hatutaki kusema. Ni bora kuwa wakweli ili watu wachukue tahadhari. Nafikiri nitaanza kuvaa mask tena kila niendapo kwenye mikusanyiko.
 
Jilinde Corona bado ipo haijaisha. Chukua tahadhari tulizoambiwa na Wizara ya Afya.
Kaka mbona hilo ndio tangazo la wizara ya Afya, kwamba japo sisi kama Tanzania hakuna taarifa za wagonjwa, lakini nchi zinazotuzunguka bado zinasumbuliwa na hilo tatizo, kwahiyo tuendelee kuchukua taadhari, au kuna tofauti na hilo?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Duu Mungu tunusuru. Aghakan kwetu na Muhimbili na kwingineko hatutaki kusema. Ni bora kuwa wakweli ili watu wachukue tahadhari. Nafikiri nitaanza kuvaa mask tena kila niendapo kwenye mikusanyiko.
Utatiwa mbaroni na wasiojulikana. Kuvaa mask Tanzania ni kinyume cha sheria
 
Duu Mungu tunusuru. Aghakan kwetu na Muhimbili na kwingineko hatutaki kusema. Ni bora kuwa wakweli ili watu wachukue tahadhari. Nafikiri nitaanza kuvaa mask tena kila niendapo kwenye mikusanyiko.
Juzi nilivaa mask kila mtu akaniona kituko. Nikaivua na kuweka mfukoni. Sijui nifanyeje?
 
Juzi nilivaa mask kila mtu akaniona kituko. Nikaivua na kuweka mfukoni. Sijui nifanyeje?
Ukweli kila mtu anakushangaa but afya ni ya kwako na uhai pia. Jana nilipata zile story za Aghakan na Muhimbili hivyo hakika tahadhari ni muhimu sana pamoja na kumuomba Mungu sana
 
Leo nilikuwa na kikao na nilivaa. Na nikipita mtaani nitavaa pia kama kuna msongamano. Yaani Corona ipo na tusidanganyane. Sema to what extent ndiyo hospital yanajua ukweli. Ila si kwa kiwango kile cha April_June
Uko sahihi.
 
Duu Mungu tunusuru. Aghakan kwetu na Muhimbili na kwingineko hatutaki kusema. Ni bora kuwa wakweli ili watu wachukue tahadhari. Nafikiri nitaanza kuvaa mask tena kila niendapo kwenye mikusanyiko.
Hivi unafikiri hizo hospital ni wewe tu ndio huwa unaenda?
 
Marehemu ni Kaka Yangu na Kaka zangu Wengine waliokwenda London kumzika Leo wamegunduwa vitu vingi saaana ikiwemo baadhi ya Abiria kufoji Madical Report Kama wameshapimwa COVID 19 Marehemu Nilipoongea nae aliondoka Nairobi akiwa mzima hata Screen test alifanyiwa yeye na cabin crew wake wote Kabla ya ku board.
Isitoshe ndio ilikuwa birthday yake walimzawadia Cake Asubuhi ya Jumamosi alipofika London Heathrow Ndio shida ikaongezeka akapelekwa hospital kwa ambulance alipopimwa akagundulika ameshaathirika vibaya na Covid 19
IMG-20201203-WA0063.jpg
 
Marehemu ni Kaka Yangu na Kaka zangu Wengine waliokwenda London kumzika Leo wamegunduwa vitu vingi saaana ikiwemo baadhi ya Abiria kufoji Madical Report Kama wameshapimwa COVID 19 Marehemu Nilipoongea nae aliondoka Nairobi akiwa mzima hata Screen test alifanyiwa yeye na cabin crew wake wote Kabla ya ku board.
Isitoshe ndio ilikuwa birthday yake walimzawadia Cake Asubuhi ya Jumamosi alipofika London Heathrow Ndio shida ikaongezeka akapelekwa hospital kwa ambulance alipopimwa akagundulika ameshaathirika vibaya na Covid 19 View attachment 1641191View attachment 1641192
Ploe sana RIP kwa kaka yako.

Hii ndio Kenya, nchi ya kiti kidogo, akina MK254 na genge lake kila kukicha wanaongelea utopia hapa JF wakati in real life hali ni mbaya Kenya.
 
Back
Top Bottom