RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

wewe unasema nyota 3 (ASP -SSP) wanapewa Kamisheni na kula kiapo cha utii mbele ya Rais...Naomba nitajie na kwa mfano ulio hai Mh.Rais Magufuli toka aingie madarakan amewaapisha lini na kuwapa ukamisheni kuanzia ngazi Nyota 3 Polisi hado SSP,,Ilikuwa lini na mwaka gani...
Marehemu ASP MASOUD aliyefariki na kuzikwa majuzi alikuwa ametoka kuvaa Nyota ya 3 (ASP) hiv karibuni na hazikupita hata Wiki 3 akakutwa na Mauti...
Jee!! nani aliyemvalisha Nyota ya 3 ambayo unasema COMMISION ndo inapoanzia na wakati RAIS YUPO LIKIZO..
N.B KAMISHENI YA RAIS ANATOA YEYE TUU.. KAMA AMESAFIRI NA HAYUPO KAMISHENI HAITATOLEWA NA YOYOTE YULE
kwenye hilo naweza kumtetea jamaa,ndugu angu alitunukiwa nyota ya tatu mwaka 2018 December pale chuo cha police kilwa road, aliyewatunuku ni Rais Magufuli.hiyo ilikuwa baada ya kumaliza mafunzo ya miezi sita.baada ya pale alipelekwa kuwa RTO mkoa flani huko nyanda za juu kusini.
 
Jaman mim niwe mkweli napenda xaan kutumikia JWTZ japo ni mtumishi wa afya cjaajiliwa serikalin lakin napenda jeshi la wananchi jwtz kuliko ki2 chochte lakin nakosa pa kuanzia japo na mfumo wa sas umebadilika kidg

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Hata mwaka Jana walitangaza nafasi JWTZ kwà waliosoma Afya ulikuwa wapi Mkuu!? Anyway nenda pale Lugalo Hospital unaweza kupata Cha kuanzia

Typed Using KIDOLE
 
kwenye hilo naweza kumtetea jamaa,ndugu angu alitunukiwa nyota ya tatu mwaka 2018 December pale chuo cha police kilwa road, aliyewatunuku ni Rais Magufuli.hiyo ilikuwa baada ya kumaliza mafunzo ya miezi sita.baada ya pale alipelekwa kuwa RTO mkoa flani huko nyanda za juu kusini.
Rais kuwepo katika kufunga mafunzo Haina maana kuwa ndio Kamisheni hiyo!! Mfano Rais akishiriki hafla ya kumaliza mafunzo ya awali kabisa ukuruti, nayo hiyo tutaita Kamisheni Mkuu!?

Typed Using KIDOLE
 
M
Rais kuwepo katika kufunga mafunzo Haina maana kuwa ndio Kamisheni hiyo!! Mfano Rais asishiriki hafla ya kumaliza mafunzo ya awali kabisa ukuruti, nayo hiyo tutaita Kamisheni Mkuu!?

Typed Using KIDOLE
Usiwe mbishi kama hujui!
 
kwenye hilo naweza kumtetea jamaa,ndugu angu alitunukiwa nyota ya tatu mwaka 2018 December pale chuo cha police kilwa road, aliyewatunuku ni Rais Magufuli.hiyo ilikuwa baada ya kumaliza mafunzo ya miezi sita.baada ya pale alipelekwa kuwa RTO mkoa flani huko nyanda za juu kusini.
Nilichogundua humu Kuna watu wanabisha Kwa kutumia hisia hawana taarifa sahihi.
 
Unatakiwa kwanza kuelewa nini maana ya neno Kamishen. Hiyo kamishen wether imefanywa na Rais au Waziri ni kamishen tu. Na kwakawaida Kamishen ni ya Rais hata ifanywe na nani hakuna kamisheni ya Waziri au Katibu Mkuu unapaswa uelewe hicho. Rais hawezi kuwepo kila sehemu na akafanya kila kitu.

Je hao maafisa woote wa kati wanaovalishwa vyeo na wakuu wa vikosi au Generali sio commissioned officers kwa sababu hawajapewa na Rais?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu vyema,Kuna watu wana Stori za vijiweni hawana taarifa sahihi.Halafu mtu hana hoja,anapinga tu.
 
Rais kuwepo katika kufunga mafunzo Haina maana kuwa ndio Kamisheni hiyo!! Mfano Rais akishiriki hafla ya kumaliza mafunzo ya awali kabisa ukuruti, nayo hiyo tutaita Kamisheni Mkuu!?

Typed Using KIDOLE
Chief, umezidi kufafanua vizuri tu asieamini au asiyeelewa huyo hataki yeye binafsi.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Naomba tukubaliane kutokubaliana[emoji120][emoji120] kwa Muktadha huu kuna mtu atakuja niambia kuwa OCS, OCD,RPC and DCI ni rank lakini hazina nembo rami kama ilivyo IGP (Rank=Nembo rasmi)

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah we jamaa unachanganya ma file sasa yaani OCS, occid ,OCD, RPC hivyo sio vyeo bali ni madaraka tu ,kwa maana OCS ni mkuu wa kituo, OCD ni mkuu wa police wilaya rpc ni mkuu wa polisi mkoa ila sio ranks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye hilo naweza kumtetea jamaa,ndugu angu alitunukiwa nyota ya tatu mwaka 2018 December pale chuo cha police kilwa road, aliyewatunuku ni Rais Magufuli.hiyo ilikuwa baada ya kumaliza mafunzo ya miezi sita.baada ya pale alipelekwa kuwa RTO mkoa flani huko nyanda za juu kusini.
Hakuna kitu kama hicho na wala haitokuja kutokea kamwe....Huenda alihudhuria kama mgeni rasmi
 
Ndio nyota moja anaetoka Leo kozi JW ni kubwa kijeshi kuliko aliokuwa nayo Polisi kwa miaka kadhaa hizi ni protocol za kijeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa, kwasababu tange ya kijeshi kwa Tanzania:
1. JWTZ,
2. POLICE
3. MAGEREZA
4. UHAMIAJI
5. ZIMAMOTO

Hivyo vyeo vikilingana tange hii inafuatwa

NB. Sina uhakika sana hapo kati ya Uhamiaji na Zimamoto ila nafikiri ipo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujuaji mwingi wapi nimesema kilikuwa na Generals wawili?Nilikujibu kuwa hakuna Lt.Generals wanne Kwa pamoja,bali Kuna lt.Generals wawili,mmoja ni chief of staff na mwingine ni mkuu wa chuo cha kijeshi Monduli(TMA).

Kwa mara ya Kwanza Kwa JWTZ kuwa na luteni jenerali wawili.Tena ni kipindi hichi cha CDF Jenerali Mabeyo.Na yeye alikuwa meja jenerali ndio akateuliwa kuwa CDF na kupandishwa cheo cha ujenerali.

Maj Gen balozi Paul Ignas Mela,ni lini katanganzwa kuwa luteni jenerali?
Haki ya mungu

Unapinga ukiwa huna taarifa

Kwa taarifa yako Meela ni Ltgen, Kisamba ni LtGen, Ryoba ni LtGen, Makakala ni LtGen na Massao pia ni LtGen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakiwa kwanza kuelewa nini maana ya neno Kamishen. Hiyo kamishen wether imefanywa na Rais au Waziri ni kamishen tu. Na kwakawaida Kamishen ni ya Rais hata ifanywe na nani hakuna kamisheni ya Waziri au Katibu Mkuu unapaswa uelewe hicho. Rais hawezi kuwepo kila sehemu na akafanya kila kitu.

Je hao maafisa woote wa kati wanaovalishwa vyeo na wakuu wa vikosi au Generali sio commissioned officers kwa sababu hawajapewa na Rais?

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi hujiulizi kwa akili yako maofsa wanaovalishwa vyeo na wakuu wa vikosi wanakuwa wanavaa nyota ya ngapi...JWTZ kamishen ya Rais ni ile nyota ya kwanza anapowatunuku Maofisa...kuendelea vyeo vya mbele ni taratibu zingine zinaendelea ila Rais yey alishatoa KAMISHENI tayari
 
Back
Top Bottom